Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Kwanza kabisa, maswali kama "where" "from" ni maswali yanayohusiana na causality, time, space, na mambo haya yanahitajika kufikiriwa upya na kwa undani zaidi.Let's us take it that way. Where did energy come from. I don't want to use terms like eternal or some misleading terms.
Mambo kama quantum physics yanaweza kutuongoza.
Katika quantum physics, kwa kadiri tunavyoelewa mpaka sasa, kuna vitu kama virtual particles huwa vinatokea tu. From nowhere. Vina pop up tu kwenye spacetime. From the very fabric of spacetime.
Sasa hapo ukitafuta where did these virtual particles come from, utakuwa unatumia mental model ya classical physics katika quantum physics.
Logical non sequitur fallacy.
Yani kwa sababu unaona causality inafanya kazi katika scale yetu ya ulimwengu, si lazima iwe hivyo katika scales zote za ulimwengu.
Katika quantum realm maswali yako yote yanakosa maana.
So, can we look at the universe as a whole, and not just operate with anthropic bias? Can we look at the equations too, not just look at the human experience?
Halafu kwa nini unafikiri dhana ya eternal ni misleading? Unaweza kuthibitisha kuwa dhana ya eternal ni misleading?