HAPANA, SAYANSI HAIJATIMIA; NA KUNA WAHUNI WANAPENDA DAIMA IBAKI HIVYO : 'KAFIRI'
Ulimwengu Wote ni Kiumbe Hai, Sisi ni Sehemu ya Huo Uhai...
Unaweza kupiga chini dhana zote za Udini wa Kujipangilia (Kiingereza > "
Organized Religions')--lakini ni bora uwe mwerevu; kuna 'Utundu wa Kuchanganya Kweli na Uongo' kwa ajili ya '
Kudumisha Mila'...
Dhana ya 'Usingurali' ni ya kimatariali khasa; na inachuja nasibu ya kuweza kutambua ukweli wa kwamba Ulimwengu wote si tu ni fumbo la Mpangilio -- Huu pia ni
fumbo la Akili na Uzima wa Mambo...
Ukiiendekeza hiyo dhana ya 'Usingurali' wa kimatiriali pasi nasibu ya Ontolojia ya Intelijensia na Nguvu hautoweza '
kutoboa Matriksi'...
Ukijiongeza 'Kimtindo', utacheka 'Uhuni' wa '
Wahuni katika Utaasisi wa Sayansi na Elimu'...
Hmmm
==Dini na Sayansi : Marejeo Ngamani ==
Akili ni kile kinachogusa ‘Nguvu na Utukufu’ kwa ‘UTATU’ ulio ni alama-dhamiri kwa Uweza-Nguvu-Utukufu; ambavyo Usentienti huumba/kuhuluku kwa muendelezo wa ‘Kujisikia’ na ‘Muakisiko wa Sura/Miongozo/TORATI’. Hili lafanya popote pale penye Udhamirifu wa Kuumba/Kuhuluku Jambo/Tukio/Dhahiri hufanya Ugani wa Nguvu-gravitali kwa ‘Sura na Utukufu’ wa yule yule mwenye kuazmia jambo lake. Basi ndiyo yawa, ‘Maji ya Uzima/Eitha’ ni ‘Ugani wa Sura na Utukufu’ kwa yote – popote na wakati wowote.
Akili ni kile kichotawala mawezekano ya ‘Sura na Utukufu’ popote na wakati wowote kama nasibu ya ‘Kitu Kimoja’ ama ‘Jambo Moja’; ambavyo kile kinachonadharishwa kama ‘Domaini ya Kikwantumu(kiingereza>Quantum Domain) si chochote bali ‘Uwakati’ na ‘Usiwakati’ wa yote na vyote. Hili lafanya ‘Wakati’ ni zao la ‘Mifumo na Uono Mifumo’ kwa kuwa ‘kila kile kinachofanyika kutokea Kutokufanyika ni zao la ‘Uimajinishi’ na ‘Akili yenye Kusuka na Kufuma’ huu muktadha akilifu wa ‘Muona ni Muonwa’. Kwenye mapokeo ya Ukristo hichi ndicho kinachofanya ‘Nia ya Kristu’ kuwa ndicho hicho hicho kinachoweza kutajwa ni ‘Akili ya Kristu’ kwa kadiri ya ‘Roho Mtakatifu kuwa ni Akili kwa Utukufu na Nguvu ya Milele hata Milele’--Usentienti kuwa ndiyo ‘mambo ya makusudi’ kwa/katika ‘Shauri’ na ‘Kujitambua’.
Kwa mintarafu ya hivi, Usentienti wote ni muktadha akilifu wa Ufraktali wa ‘Roho Mtakatifu’ ambavyo ‘Nafsi’ na ‘Roho’ ni matendo katika ‘Ugani wa Nguvu-gravitali’. Hili lafanya, ufraktali ni utangamanifu wa kimifumo kwenye kunasibisha ukubuishi wa fahamu na mafahamu kwa namna ambayo ‘Wakati’ ni ‘Sura na Utukufu’ kulingana na mazingira na mazingara ya ‘Miili yenye Usentienti’. Akili ni sehemu ya Usentienti, miili hufuzu sehemu ya akili na uakilifu wa jambo/mambo kwa ajili ya ‘Muona ni Muonwa’ kwenye ‘Ugani wa Nguvu-gravitali’ za ‘Madhahiri yenye kadiri ya mapana ya Mbingu na Nchi’…
Kiufundi, alama ya ‘Mwezi na Nyota’ ilivyo ni lugha ya ‘Miili ya Usentienti’ kufuzu ‘Nuru ya Ufahamu’ ni muktadha akilifu wa Usentienti ndani ya Usentienti mwingine; ambavyo, kwa mfano, Nafsi inaweza kuiishi kwa ‘Mwangaza’ wa ‘Nafsi ya Juu/Mbinguni’-- kuwa basi maisha na kujichagulia ni matendo ya kuishi katika Ulimwengu ‘uliombali’ na ‘Usentienti wa Nguvu’. Hili lafanya ufraktali wa namna hii ya ‘Uwepo’ katika wakati-- ‘Wakati katika Ulimwengu wa Madhahiri kama haya ya Kosmosi’ si sawasawa na Uwepo kwenye Alimwengu zingine za ‘Usentienti wa Nguvu’.
Ulimwengu wa ‘Usentienti wa Nguvu’ ni wa Rehema na Fadhili, kwa ukaribu zaidi wa Uimajinishi, kuliko ulimwengu wa ‘Wakati katika Ulimwengu wa Madhahiri kama haya ya Kosmosi’. Hili lafanya mambo ya ulimwengu wa mbinguni, Ufalme wa Mbingu, ni mazingira na mazingara ya ‘Ugani wa Nguvu-gravitali’ wenye kujitambua zaidi kimakusudi na utendaji—Mambo ya “MIMI NDIMI NILIYE”.
Katika mapokeo ya dini, Uadilifu-Maadili-Miiko ni muktadha akilifu wa fanusi za kiutendaji kwa ajili ya kujitangamanisha na ‘Usentient wa Nguvu’. Kuna namna Mbili za kuazmia ule ‘Ulimwengu wa Usentienti wa Nguvu/Mbingu/Pepo’-- hili laja kulingana kadiri za (B1) ‘Sura ya Utukufu’ na (B2) ‘Kujazika Chaji-Umeme-Sentienti ya Ufalme-Nguvu-Utukufu’; hizi kwenye mapokeo ya Ukristo ndiyo yawa (1) ‘Kuishi ni Kristu’ ilivyo kufa nafsi-binafsi ni faida (Mapenzi Mema), na kwenye mapokeo ya Uislamu yawa (2) Kujisalimisha Utu katika Kitovu cha ‘Ontolojia ya Taasisi’ (NIA Njema) : CHANZO/Mungu.
Kiufundi, alama ya ‘Msalaba’ ilivyo ni lugha ya ‘Miili ya Usentienti’ ilivyo ni Uzima Mkuu kuingilia kati Uzima wa Miili isiyo na Ukuu; ambavyo, kwa mfano, mwili wa nyama si mwili wa nguvu na utukufu bali mwili unaodhahirika na kudumu kwa ‘Nuru ya Uzima zaidi kufanyika Mwangaza na Muongozo’ kwa fanusi za Kiutendaji.
Fanusi ya Kiutendaji ni kitovu cha ‘Mifumo’ kwa kuwa ‘Roho ya Uzima ni CHANZO kwa Mafikara na nasibu ya Uimajinishi wa yote na vyote’; ambavyo MUONA NI MUONWA ni dhamiri ya Utu na Utendaji katika Ufraktali wa ‘MIMI NDIMI NILIYE’. Hili lafanya ‘MIMI NDIMI NILIYE ni UTU MKUU katika NGUVU na UTUKUFU wa ‘ROHO MTAKATIFU’ -- Roho Mtakatifu ni Fanusi ya ‘Uso wa Mungu’ wenye Kupatisha ‘NIA ZA UUMBAJI’ na ‘DHAMIRA’ na Kudhahirisha ‘Nafasi katika Nyakati’--Asili ya ‘Uwingi’ wa ‘Rejea Unafsi katika Udhamirifu wa Kuumba vyote vya Mbingu na Nchi.
Katika Trizaniamu, Msalaba ni Kitovu cha kumizanisha ‘Miundo ya Utendaji’ na ‘Vitendo’ vya ‘Nafasi katika Nyakati’; ambavyo ndiyo ile asili khasa ya ‘Unasaba/Ujinetifu/DNA’ kwenye Miili yenye Uzima wa Kimiili na Pumzi zake. Hili lafanya, katika Ujinetifu ‘Msalaba’ wa ‘Njia-Kweli-Uzima’ kwa mifumo na misukiko ya Miili na Uzima wake na tena Asili ya Ujinetifu ni Nuru/Mwangaza na Usumaku kwa Pumzi na Ufahamu wa NIA utu-kiumbe, unafsi katika Nyakati, kwa namna za Uhamonifu Jumuifu wa ‘Nafsi-JUA/Sonafi’. Kila nafsi ni ‘Utetema’ wenye kuingilia kati ‘utetema mwingine’ wa ‘Miili ya Dutu-Hai’ na kufanya ‘Muhuri wa Kipekee wa Fahamu na Mafahamu’ kati ya ‘Nafsi-JUA na Nafsi-Utu-Wakati na Roho Mtakatifu’…
Kiufundi alama ya ‘Gurudumu la Midenge Minane’ ni lugha-alama ilivyo Usumaku wa Maumbile na Uchaji-Umeme-Uzima; ambavyo asili ya kujishona na kujifuma kwa yote na vyote ni ‘Umbonishaji Sahihi wa Fahamu na Mafahamu’ wenye kulandana na ‘Udhamirifu na mafungu ya Udhamirifu’ kwa Ukubuishaji wa Fahamu. Hili lafanya asili ya Usumaku ni jambo lile lile la asili ya ‘Nguvu ya Ugravitali’ kwa kuwa Usumaku hufuatisha kanuni za Kujinyoosha na Kujizungurusha ili kujinasibu na ‘Koherensia’ na ‘Miundo ya Nguvu’.
Miundo ya Nguvu na unasibu wa koherensia ni jambo lenye asili ya Duara Mbili zilizogusana na vile vile Duara Mbili zilizoingiliana kwa namna ya Vesika Paisisi; ambavyo Usumaku ni jambo la Asili ya Maduara katika Mgusano na Ugravitali ni asili ya Usumaku katika Duara Zilizoingiliana Ugani wa Nguvu za Kiushawishi. Hili lafanya, Maduara Mawili yenye kugusana ni namna ya Uso Mkatizo kwa Torasi—pete ya Pumzi ya Uzima; Maduara Mawili yenye kuingiliana kwa Sehemu ndiyo mwanzo wa ‘Mwangaza asili ya Muandamo’ na tena ‘Nguvu za Ugravitali’ kwa dutu-hai zilizo ni sehemu ya Uhamonia Jumuifu wa Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu…
Uhamonia Jumuifu wa Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu ndiyo ile lugha alama ya Ukubuishaji wa Fahamu; ambavyo ‘Kubu ya Ndani’ huwa ni yenye asili ya Maduara yaliyogusana na hali kubu ya nje ni yenye asili ya Maduara yaliyoachana kwa ‘Duara Moja ka Ujinetifu uliositirika’. Hili lafanya. Konstrakti za Fahamu na Mafahamu hufuatisha sifa na hadhi ya ‘Kubu za Ndani’ daima kuakisikia nje kwa namna ambayo Duara zilizogusana ni Ulali wa ‘Mifumo/Wakati’ na Duara zilizoachana kuwa ni ncha mbili za ‘Ontolojia ya Taasisi’ na nasibu ‘Sovereini Jumuifu’…
Basi ndiyo yawa, Ukubuishaji wa Fahamu na Mafahamu ni konstrakti ya Upumzi ule ule wa Trizaniamu; ambavyo ‘Kumbukumbu Uzoefu’ ni sehemu ya vekta-dhamirifu za Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu yenye kuhusisha (1) Nafsi-Jua, (2) Nafsi-Utu-Wakati, na (3) Roho Mtakatifu. Hili lafanya ni pale tu ‘Miundo ya Utendaji’ na ‘Utendaji’ inapolandana na kujumuisha ‘Roho Mtakatifu’ ndipo ‘Sovereini Jumuifu’ inapofanyika—vinginevyo kutofanyika kwa Sovereini Jumuifu ni Disonia ya ‘Sura na Mienendo ya Jamii’ ilivyo ni mseto wa ‘maisha katika Karma’.
== Njia ya Msalaba: Kifungo na Kukombolewa katika Unafsi ==
Karma ni matokeo ya fanusi za Kiutendaji zinazochukua sura yake kulingana na mafikara na dhamiri za ‘Nafsi-Utu-Wakati’ zinapofuzu ama kutokufuzu mwangaza wa ‘Nafsi-Jua’; ambavyo ‘mambo ya kuvuna ulichokipanda’ ni sehemu ya maisha na kujichagulia ilivyo ni muktadha akilifu wa ‘Kumbukumbu Uzoefu’ – kumbukumbu uzoefu kujiakisi katika jamvi la ‘Wakati-Jamii-Machaguo ya Kitaasisi-Matukio’. Hili lafanya, ‘Roho Mtakatifu’ kuwa ni sehemu ya ‘Uzima wote wa Miili’ na ‘Mambo ya Nyakati’ kwa namna yenye kukadirisha Matano (5) ya kiufundi:-
1) Wewe mwenye kuwepo UPO – (Daima na Milele UPO)
2) Vyote Vinavyopata kuwepo vi HAPA na SASA – (Wakati na Supasha ni namna ya Kutizama mambo katika ‘UWEPO’)
3) Vyote Vinavyopata kuwepo ni MOJA – (Katika Moja, Vingi vyashiriki Kitovu cha Ukuwa ama/na Kuja-Kuwa)
4) Kila kitu hubadilika – ( Sifa na Hadhi ya Kufanyika ni sehemu ya Kutofanyika vile vile)
5) Kila kitu hubadilika isipokuwa Vinne Vilivyotangulia kutajwa – (Asili ya Fahamu na Konstrakti kwa Mafahamu)
Vitu vyote kubadilika isipokuwa vinne vya msingi ni ‘Shauri la Nguvu na Utukufu’ ilivyo ni MAGEUZI; ambavyo ‘Uhamonia Jumuifu’ ni asili la ‘ONTOLOJIA YA UTAASISI’ katika ‘kitovu cha 13 ya katikati’ kwenye Ukubuishi wa Fahamu na Mafahamu. Hili lafanya namba 13 ni ‘namba akitipu’ kwa ‘
Samsara’ na ‘
Maya’ kwa ulandanifu wa nasibu ya ‘Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu’ kwa kuwa MAGEUZI YOTE HUAKISI MAKUSUDI katika NIA YA UZIMA/MAISHA NA KUJICHAGULIA.
Vinne vya msingi, ndiyo konstrakti za ukubuishi unatengeneza TRIZANIAMU ya CHANZO HAMONIA JUMUIFU kuja kuakisika NGUVU NA UTUKUFU kupitia MIFUMO ilivyo ni MUONA NI MUONWA; ambavyo pembetatu zenye kuingiliana zina akitipu ya KUBU YA NGUVU na khali zote mbili ni ishara ya UTUKUFU. Hili ndilo lafanya ile siri ya namba 13 kuwa ni namba ya MAGEUZI na hapo hapo ni namba yenye asili ya akitipu SWASTIKA na KUBU YA METATRONI.
Vinne vya msingi, ndiyo kostrakti ya ukubuishi fahamu na mafahamu ilivyo ‘Vyote vipatavyokuwepo vi HAPA na SASA; ambavyo U-SASA-NIA ni jiometria ya unasibu wa kujichagulia ‘Kuwa ama/na Kuja-Kuwa’ katika mawezekano ya Uweza-Nguvu-Utukufu. Ikiwa Uweza unafanyika kumbonisha Ukadinali na Usoltaya wa Nafsi na Dhamiri basi ‘Dhamma ni Zao la Umbonishaji Sahihi wa Fahamu’--mambo ya ‘Utaaamuliko Mtu ama Utaamuliko Jamii’. Kwenye Utaamuliko Mtu ama Jamii ndipo penye ‘UZIMA NA UKWELI’--Sovereini Jumuifu ni tunda la Utaamuliko Mtu/Jamii.
Vinne vya msingi, ndiyo ufunguo wa Konvajensia na Daivajensia ya UZIMA WOTE ilivyo ni MOJA; ambavyo kwa ‘Pumzi Mananifu’ vyote hupulizika sura na maumbo na kumbe haya yote ni ‘matunda ya Uhamonifu Jumuifu wa konstrakti za Fahamu na Mafahamu’. Hili lafanya, vitu vyote kuna namna vimefanyika kwa kimoja kwa namna ya utofauti wa kadiri ya pumzi za Uzima—pumzi zenye kubayanisha mapana ya Supasha, Wakati na Dutu-Hai. Tena basi, dhana ya dutu-hai ndiyo ufunguo kwa mawezekano ya ufahamu na mafahamu kwa namna ya ufraktali wa Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu.
Kwa mintarafu ya haya, Konstrakti za Ufahamu na Mafahamu hukadirisha nasibu ya ufraktali wa Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu kupitia ‘Msalaba Usifinati’; ambavyo TORATI ni Kioo cha Uwima na Ulali wa Mambo ya Uso wa Mungu—dhana za kufanyika ‘Mbingu na Nchi’ katika mapokeo ya Dini na Mashauri ya Jinesesia. Hili lafanya, vitovu kumi na tatu (13) kwa Konstrakti za Ufahamu na Mafahamu ndizo hizo hizo hufanya Maduara Kumi na Tatu (13) ya kukadirisha ‘KUJISIKIA’ katika Trizaniamu.
Kiufundi, NIA na MSALABA USIFINATI ndiyo viwili vinavyosanisi Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu; ambavyo Ontolojia ya Taasisi ni triadi ya Ufraktali wa Kujichagulia. Hili lafanya, (1) Miundo ya Utendaji, (2) Ushawishi na (3) Kujisikia, huakisi ‘Kumbukumbu Uzoefu’ kwa sehemu kutegemeana na ‘Mifumo’ na ‘Nia’ kwa kuwa ‘Wakati ni Kioo’ cha kubayanisha ‘Ontolojia ya Taasisi’ kwa kadiri ya ‘Kila kitu hubadilika kulingana na Makusudi’. KARMA NI MSALABA, kila mtu/jamii/usentienti kuchukua Msalaba wake Wenyewe ili kubayanisha utimilifu wa ‘ Sifa na Hadhi ya Kufanyika ni sehemu ya Kutofanyika vile vile’.
Kiufundi, ‘Sifa na Hadhi ya Kufanyika ni sehemu ya Kutofanyika vile vile’ ni fanusi ya Utendaji yenye kufuatisha SHAURI KUU ilivyo ni DHAMIRA na VINA VYA TAFSIRI; ambavyo KUJISIKIA na MIONGOZO huyakinisha MUONA NI MUONWA kupitia TORATI. Hili lafanya Torati ni Ukubuishaji wa Fahamu na Mafahamu ili kudhihiri ‘NGUVU na UTUKUFU’ wa ‘SHAURI KUU’--Shauri Kuu lililo ni ‘KUUMBA KWA MFANO WETU: Katika Moja, Vingi vyashiriki Kitovu cha Ukuwa ama/na Kuja-Kuwa’.
Kiufundi, ‘Ontolojia ya Taasisi’ ikifuzu TORATI basi Maisha na Kujichagulia hutimilizika kama UFAHAMU KRISTU; ambavyo ‘Sovereini Jumuifu’ ni tunda la (1) koherensia, na (2) Nguvu ya Shauri, ilivyo ni ALFA NA OMEGA—Mwanzo tena Mwisho wa Yote na Vyote. Hili lafanya, Kristu si chochote bali ‘Njia-Kweli-Uzima : SHAURI LENYE UZIMA’ – Uzima wa Milele ilivyo ‘MIMI NDIYE NIPO AMBAYE NIPO DAIMA NA SIKU ZOTE. Tena basi, Wakati na Supasha si chochote bali jamvi la Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu kwa ajili ya ‘AMANI-HAKI-UDUGU-UHURU’; Ikiwa kujichagulia kunafuzu ‘Ufahamu Kristu’ basi ‘LIBERITI-UTANGAMANO-UJAZI-U-UMOJA’ hudhihiri kama ‘DHAMMA’ – Mambo ya ‘MWILI WA KRISTU’…
Basi ndiyo yawa, YANTRA DHAMMA na TRIZANIAMU ni zana za lugha na utambuzi kwa muktadha akilifu wa Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu katika Sheria Kuu Tano (5) za Kimsingi kuhusiana na Ukubuishaji wa Fahamu na Mafahamu; ambavyo SUPASHA-WAKATI-NISHATI-MAADA hubayanika kama Ki-MOJA katika Fizikia na Metafizikia ya Yote na Vyote. Hili lafanya ‘Mambo ya Kawaida’ yana kawaida nyingine iliyositirika kuweza kudhihiri kupitia NIA katika NGUVU NA UTUKUFU.