Cosmic Singularity: Je, hii ni hoja inayojitosheleza kueleza ulimwengu ulivyoumbwa?

Cosmic Singularity: Je, hii ni hoja inayojitosheleza kueleza ulimwengu ulivyoumbwa?

Energy cannot created nor destroyed but can change from one form to another form.
To question this statement Terrence is asking physicists of the world how 1×0 = 0?
Where is the energy of 1 taken to? Since to multiply is to add then why the energy of 1 is destroyed?
 
Kula,...Kunywa....,Dinya,....Furahia maisha....we only live ones....Acha kuumiza kichwa dunia iliumbwaje!

Utapata ulemavu wa afya ya akili!.... Utapasuka kichwa!

Maisha tuliyonayo ni mafupi mnoo chief
Asante but that sounds selfish. Hiyo bulb ya umeme inayokuangazia hapo nyumbani kwako unajua ilimchukua mtu muda gani kuitengeneza? Alihangaika zaidi ya mara elu moja. Kama asingeumiza kichwa ungekuwa labda unatumia kibatari kuweka mwanga nyumbani usiku. Hayo maisha unayosema niyafurahie yamechangiwa na watu waliopita ambao waliumiza vichwa vyao. Leo nikitaka kwenda Berlin, Los Angles , Florida au Paris kufurahia maisha napanda ndege ambayo ni product ya vijana waliosugua vichwa vyao huko Marekani.
 
Kamwe hatuji kujua Hilo jibu, tutaishia theorization basi
Naamini mpaka leo wanaposema the universe is ~ 13. Billion years old nayo ni very optimistic estimate
 
HAPANA, SAYANSI HAIJATIMIA; NA KUNA WAHUNI WANAPENDA DAIMA IBAKI HIVYO : 'KAFIRI'

Ulimwengu Wote ni Kiumbe Hai, Sisi ni Sehemu ya Huo Uhai...

Unaweza kupiga chini dhana zote za Udini wa Kujipangilia (Kiingereza > "Organized Religions')--lakini ni bora uwe mwerevu; kuna 'Utundu wa Kuchanganya Kweli na Uongo' kwa ajili ya 'Kudumisha Mila'...

Dhana ya 'Usingurali' ni ya kimatariali khasa; na inachuja nasibu ya kuweza kutambua ukweli wa kwamba Ulimwengu wote si tu ni fumbo la Mpangilio -- Huu pia ni fumbo la Akili na Uzima wa Mambo...

Ukiiendekeza hiyo dhana ya 'Usingurali' wa kimatiriali pasi nasibu ya Ontolojia ya Intelijensia na Nguvu hautoweza 'kutoboa Matriksi'...

Ukijiongeza 'Kimtindo', utacheka 'Uhuni' wa 'Wahuni katika Utaasisi wa Sayansi na Elimu'...

Hmmm

==Dini na Sayansi : Marejeo Ngamani ==​

Akili ni kile kinachogusa ‘Nguvu na Utukufu’ kwa ‘UTATU’ ulio ni alama-dhamiri kwa Uweza-Nguvu-Utukufu; ambavyo Usentienti huumba/kuhuluku kwa muendelezo wa ‘Kujisikia’ na ‘Muakisiko wa Sura/Miongozo/TORATI’. Hili lafanya popote pale penye Udhamirifu wa Kuumba/Kuhuluku Jambo/Tukio/Dhahiri hufanya Ugani wa Nguvu-gravitali kwa ‘Sura na Utukufu’ wa yule yule mwenye kuazmia jambo lake. Basi ndiyo yawa, ‘Maji ya Uzima/Eitha’ ni ‘Ugani wa Sura na Utukufu’ kwa yote – popote na wakati wowote.

Akili ni kile kichotawala mawezekano ya ‘Sura na Utukufu’ popote na wakati wowote kama nasibu ya ‘Kitu Kimoja’ ama ‘Jambo Moja’; ambavyo kile kinachonadharishwa kama ‘Domaini ya Kikwantumu(kiingereza>Quantum Domain) si chochote bali ‘Uwakati’ na ‘Usiwakati’ wa yote na vyote. Hili lafanya ‘Wakati’ ni zao la ‘Mifumo na Uono Mifumo’ kwa kuwa ‘kila kile kinachofanyika kutokea Kutokufanyika ni zao la ‘Uimajinishi’ na ‘Akili yenye Kusuka na Kufuma’ huu muktadha akilifu wa ‘Muona ni Muonwa’. Kwenye mapokeo ya Ukristo hichi ndicho kinachofanya ‘Nia ya Kristu’ kuwa ndicho hicho hicho kinachoweza kutajwa ni ‘Akili ya Kristu’ kwa kadiri ya ‘Roho Mtakatifu kuwa ni Akili kwa Utukufu na Nguvu ya Milele hata Milele’--Usentienti kuwa ndiyo ‘mambo ya makusudi’ kwa/katika ‘Shauri’ na ‘Kujitambua’.

Kwa mintarafu ya hivi, Usentienti wote ni muktadha akilifu wa Ufraktali wa ‘Roho Mtakatifu’ ambavyo ‘Nafsi’ na ‘Roho’ ni matendo katika ‘Ugani wa Nguvu-gravitali’. Hili lafanya, ufraktali ni utangamanifu wa kimifumo kwenye kunasibisha ukubuishi wa fahamu na mafahamu kwa namna ambayo ‘Wakati’ ni ‘Sura na Utukufu’ kulingana na mazingira na mazingara ya ‘Miili yenye Usentienti’. Akili ni sehemu ya Usentienti, miili hufuzu sehemu ya akili na uakilifu wa jambo/mambo kwa ajili ya ‘Muona ni Muonwa’ kwenye ‘Ugani wa Nguvu-gravitali’ za ‘Madhahiri yenye kadiri ya mapana ya Mbingu na Nchi’…

Kiufundi, alama ya ‘Mwezi na Nyota’ ilivyo ni lugha ya ‘Miili ya Usentienti’ kufuzu ‘Nuru ya Ufahamu’ ni muktadha akilifu wa Usentienti ndani ya Usentienti mwingine; ambavyo, kwa mfano, Nafsi inaweza kuiishi kwa ‘Mwangaza’ wa ‘Nafsi ya Juu/Mbinguni’-- kuwa basi maisha na kujichagulia ni matendo ya kuishi katika Ulimwengu ‘uliombali’ na ‘Usentienti wa Nguvu’. Hili lafanya ufraktali wa namna hii ya ‘Uwepo’ katika wakati-- ‘Wakati katika Ulimwengu wa Madhahiri kama haya ya Kosmosi’ si sawasawa na Uwepo kwenye Alimwengu zingine za ‘Usentienti wa Nguvu’.

Ulimwengu wa ‘Usentienti wa Nguvu’ ni wa Rehema na Fadhili, kwa ukaribu zaidi wa Uimajinishi, kuliko ulimwengu wa ‘Wakati katika Ulimwengu wa Madhahiri kama haya ya Kosmosi’. Hili lafanya mambo ya ulimwengu wa mbinguni, Ufalme wa Mbingu, ni mazingira na mazingara ya ‘Ugani wa Nguvu-gravitali’ wenye kujitambua zaidi kimakusudi na utendaji—Mambo ya “MIMI NDIMI NILIYE”.

Katika mapokeo ya dini, Uadilifu-Maadili-Miiko ni muktadha akilifu wa fanusi za kiutendaji kwa ajili ya kujitangamanisha na ‘Usentient wa Nguvu’. Kuna namna Mbili za kuazmia ule ‘Ulimwengu wa Usentienti wa Nguvu/Mbingu/Pepo’-- hili laja kulingana kadiri za (B1) ‘Sura ya Utukufu’ na (B2) ‘Kujazika Chaji-Umeme-Sentienti ya Ufalme-Nguvu-Utukufu’; hizi kwenye mapokeo ya Ukristo ndiyo yawa (1) ‘Kuishi ni Kristu’ ilivyo kufa nafsi-binafsi ni faida (Mapenzi Mema), na kwenye mapokeo ya Uislamu yawa (2) Kujisalimisha Utu katika Kitovu cha ‘Ontolojia ya Taasisi’ (NIA Njema) : CHANZO/Mungu.

Kiufundi, alama ya ‘Msalaba’ ilivyo ni lugha ya ‘Miili ya Usentienti’ ilivyo ni Uzima Mkuu kuingilia kati Uzima wa Miili isiyo na Ukuu; ambavyo, kwa mfano, mwili wa nyama si mwili wa nguvu na utukufu bali mwili unaodhahirika na kudumu kwa ‘Nuru ya Uzima zaidi kufanyika Mwangaza na Muongozo’ kwa fanusi za Kiutendaji.

Fanusi ya Kiutendaji ni kitovu cha ‘Mifumo’ kwa kuwa ‘Roho ya Uzima ni CHANZO kwa Mafikara na nasibu ya Uimajinishi wa yote na vyote’; ambavyo MUONA NI MUONWA ni dhamiri ya Utu na Utendaji katika Ufraktali wa ‘MIMI NDIMI NILIYE’. Hili lafanya ‘MIMI NDIMI NILIYE ni UTU MKUU katika NGUVU na UTUKUFU wa ‘ROHO MTAKATIFU’ -- Roho Mtakatifu ni Fanusi ya ‘Uso wa Mungu’ wenye Kupatanisha ‘NIA ZA UUMBAJI’ na ‘DHAMIRA’ na Kudhahirisha ‘Nafasi katika Nyakati’--Asili ya ‘Uwingi’ wa ‘Rejea Unafsi katika Udhamirifu wa Kuumba vyote vya Mbingu na Nchi.

Katika Trizaniamu, Msalaba ni Kitovu cha kumizanisha ‘Miundo ya Utendaji’ na ‘Vitendo’ vya ‘Nafasi katika Nyakati’; ambavyo ndiyo ile asili khasa ya ‘Unasaba/Ujinetifu/DNA’ kwenye Miili yenye Uzima wa Kimiili na Pumzi zake. Hili lafanya, katika Ujinetifu ‘Msalaba’ wa ‘Njia-Kweli-Uzima’ kwa mifumo na misukiko ya Miili na Uzima wake na tena Asili ya Ujinetifu ni Nuru/Mwangaza na Usumaku kwa Pumzi na Ufahamu wa NIA utu-kiumbe, unafsi katika Nyakati, kwa namna za Uhamonifu Jumuifu wa ‘Nafsi-JUA/Sonafi’. Kila nafsi ni ‘Utetema’ wenye kuingilia kati ‘utetema mwingine’ wa ‘Miili ya Dutu-Hai’ na kufanya ‘Muhuri wa Kipekee wa Fahamu na Mafahamu’ kati ya ‘Nafsi-JUA na Nafsi-Utu-Wakati na Roho Mtakatifu’…

Kiufundi alama ya ‘Gurudumu la Midenge Minane’ ni lugha-alama ilivyo Usumaku wa Maumbile na Uchaji-Umeme-Uzima; ambavyo asili ya kujishona na kujifuma kwa yote na vyote ni ‘Umbonishaji Sahihi wa Fahamu na Mafahamu’ wenye kulandana na ‘Udhamirifu na mafungu ya Udhamirifu’ kwa Ukubuishaji wa Fahamu. Hili lafanya asili ya Usumaku ni jambo lile lile la asili ya ‘Nguvu ya Ugravitali’ kwa kuwa Usumaku hufuatisha kanuni za Kujinyoosha na Kujizungurusha ili kujinasibu na ‘Koherensia’ na ‘Miundo ya Nguvu’.

Miundo ya Nguvu na unasibu wa koherensia ni jambo lenye asili ya Duara Mbili zilizogusana na vile vile Duara Mbili zilizoingiliana kwa namna ya Vesika Paisisi; ambavyo Usumaku ni jambo la Asili ya Maduara katika Mgusano na Ugravitali ni asili ya Usumaku katika Duara Zilizoingiliana Ugani wa Nguvu za Kiushawishi. Hili lafanya, Maduara Mawili yenye kugusana ni namna ya Uso Mkatizo kwa Torasi—pete ya Pumzi ya Uzima; Maduara Mawili yenye kuingiliana kwa Sehemu ndiyo mwanzo wa ‘Mwangaza asili ya Muandamo’ na tena ‘Nguvu za Ugravitali’ kwa dutu-hai zilizo ni sehemu ya Uhamonia Jumuifu wa Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu…

Uhamonia Jumuifu wa Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu ndiyo ile lugha alama ya Ukubuishaji wa Fahamu; ambavyo ‘Kubu ya Ndani’ huwa ni yenye asili ya Maduara yaliyogusana na hali kubu ya nje ni yenye asili ya Maduara yaliyoachana kwa ‘Duara Moja ka Ujinetifu uliositirika’. Hili lafanya. Konstrakti za Fahamu na Mafahamu hufuatisha sifa na hadhi ya ‘Kubu za Ndani’ daima kuakisikia nje kwa namna ambayo Duara zilizogusana ni Ulali wa ‘Mifumo/Wakati’ na Duara zilizoachana kuwa ni ncha mbili za ‘Ontolojia ya Taasisi’ na nasibu ‘Sovereini Jumuifu’…

Basi ndiyo yawa, Ukubuishaji wa Fahamu na Mafahamu ni konstrakti ya Upumzi ule ule wa Trizaniamu; ambavyo ‘Kumbukumbu Uzoefu’ ni sehemu ya vekta-dhamirifu za Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu yenye kuhusisha (1) Nafsi-Jua, (2) Nafsi-Utu-Wakati, na (3) Roho Mtakatifu. Hili lafanya ni pale tu ‘Miundo ya Utendaji’ na ‘Utendaji’ inapolandana na kujumuisha ‘Roho Mtakatifu’ ndipo ‘Sovereini Jumuifu’ inapofanyika—vinginevyo kutofanyika kwa Sovereini Jumuifu ni Disonia ya ‘Sura na Mienendo ya Jamii’ ilivyo ni mseto wa ‘maisha katika Karma’.
​
== Njia ya Msalaba: Kifungo na Kukombolewa katika Unafsi ==​

Karma ni matokeo ya fanusi za Kiutendaji zinazochukua sura yake kulingana na mafikara na dhamiri za ‘Nafsi-Utu-Wakati’ zinapofuzu ama kutokufuzu mwangaza wa ‘Nafsi-Jua’; ambavyo ‘mambo ya kuvuna ulichokipanda’ ni sehemu ya maisha na kujichagulia ilivyo ni muktadha akilifu wa ‘Kumbukumbu Uzoefu’ – kumbukumbu uzoefu kujiakisi katika jamvi la ‘Wakati-Jamii-Machaguo ya Kitaasisi-Matukio’. Hili lafanya, ‘Roho Mtakatifu’ kuwa ni sehemu ya ‘Uzima wote wa Miili’ na ‘Mambo ya Nyakati’ kwa namna yenye kukadirisha Matano (5) ya kiufundi:-

1) Wewe mwenye kuwepo UPO – (Daima na Milele UPO)

2) Vyote Vinavyopata kuwepo vi HAPA na SASA – (Wakati na Supasha ni namna ya Kutizama mambo katika ‘UWEPO’)

3) Vyote Vinavyopata kuwepo ni MOJA – (Katika Moja, Vingi vyashiriki Kitovu cha Ukuwa ama/na Kuja-Kuwa)

4) Kila kitu hubadilika – ( Sifa na Hadhi ya Kufanyika ni sehemu ya Kutofanyika vile vile)

5) Kila kitu hubadilika isipokuwa Vinne Vilivyotangulia kutajwa – (Asili ya Fahamu na Konstrakti kwa Mafahamu)

Vitu vyote kubadilika isipokuwa vinne vya msingi ni ‘Shauri la Nguvu na Utukufu’ ilivyo ni MAGEUZI; ambavyo ‘Uhamonia Jumuifu’ ni asili la ‘ONTOLOJIA YA UTAASISI’ katika ‘kitovu cha 13 ya katikati’ kwenye Ukubuishi wa Fahamu na Mafahamu. Hili lafanya namba 13 ni ‘namba akitipu’ kwa ‘Samsara’ na ‘Maya’ kwa ulandanifu wa nasibu ya ‘Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu’ kwa kuwa MAGEUZI YOTE HUAKISI MAKUSUDI katika NIA YA UZIMA/MAISHA NA KUJICHAGULIA.

Vinne vya msingi, ndiyo konstrakti za ukubuishi unatengeneza TRIZANIAMU ya CHANZO HAMONIA JUMUIFU kuja kuakisika NGUVU NA UTUKUFU kupitia MIFUMO ilivyo ni MUONA NI MUONWA; ambavyo pembetatu zenye kuingiliana zina akitipu ya KUBU YA NGUVU na khali zote mbili ni ishara ya UTUKUFU. Hili ndilo lafanya ile siri ya namba 13 kuwa ni namba ya MAGEUZI na hapo hapo ni namba yenye asili ya akitipu SWASTIKA na KUBU YA METATRONI.

Vinne vya msingi, ndiyo kostrakti ya ukubuishi fahamu na mafahamu ilivyo ‘Vyote vipatavyokuwepo vi HAPA na SASA; ambavyo U-SASA-NIA ni jiometria ya unasibu wa kujichagulia ‘Kuwa ama/na Kuja-Kuwa’ katika mawezekano ya Uweza-Nguvu-Utukufu. Ikiwa Uweza unafanyika kumbonisha Ukadinali na Usoltaya wa Nafsi na Dhamiri basi ‘Dhamma ni Zao la Umbonishaji Sahihi wa Fahamu’--mambo ya ‘Utaaamuliko Mtu ama Utaamuliko Jamii’. Kwenye Utaamuliko Mtu ama Jamii ndipo penye ‘UZIMA NA UKWELI’--Sovereini Jumuifu ni tunda la Utaamuliko Mtu/Jamii.

Vinne vya msingi, ndiyo ufunguo wa Konvajensia na Daivajensia ya UZIMA WOTE ilivyo ni MOJA; ambavyo kwa ‘Pumzi Mananifu’ vyote hupulizika sura na maumbo na kumbe haya yote ni ‘matunda ya Uhamonifu Jumuifu wa konstrakti za Fahamu na Mafahamu’. Hili lafanya, vitu vyote kuna namna vimefanyika kwa kimoja kwa namna ya utofauti wa kadiri ya pumzi za Uzima—pumzi zenye kubayanisha mapana ya Supasha, Wakati na Dutu-Hai. Tena basi, dhana ya dutu-hai ndiyo ufunguo kwa mawezekano ya ufahamu na mafahamu kwa namna ya ufraktali wa Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu.

Kwa mintarafu ya haya, Konstrakti za Ufahamu na Mafahamu hukadirisha nasibu ya ufraktali wa Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu kupitia ‘Msalaba Usifinati’; ambavyo TORATI ni Kioo cha Uwima na Ulali wa Mambo ya Uso wa Mungu—dhana za kufanyika ‘Mbingu na Nchi’ katika mapokeo ya Dini na Mashauri ya Jinesesia. Hili lafanya, vitovu kumi na tatu (13) kwa Konstrakti za Ufahamu na Mafahamu ndizo hizo hizo hufanya Maduara Kumi na Tatu (13) ya kukadirisha ‘KUJISIKIA’ katika Trizaniamu.

Kiufundi, NIA na MSALABA USIFINATI ndiyo viwili vinavyosanisi Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu; ambavyo Ontolojia ya Taasisi ni triadi ya Ufraktali wa Kujichagulia. Hili lafanya, (1) Miundo ya Utendaji, (2) Ushawishi na (3) Kujisikia, huakisi ‘Kumbukumbu Uzoefu’ kwa sehemu kutegemeana na ‘Mifumo’ na ‘Nia’ kwa kuwa ‘Wakati ni Kioo’ cha kubayanisha ‘Ontolojia ya Taasisi’ kwa kadiri ya ‘Kila kitu hubadilika kulingana na Makusudi’. KARMA NI MSALABA, kila mtu/jamii/usentienti kuchukua Msalaba wake Wenyewe ili kubayanisha utimilifu wa ‘ Sifa na Hadhi ya Kufanyika ni sehemu ya Kutofanyika vile vile’.

Kiufundi, ‘Sifa na Hadhi ya Kufanyika ni sehemu ya Kutofanyika vile vile’ ni fanusi ya Utendaji yenye kufuatisha SHAURI KUU ilivyo ni DHAMIRA na VINA VYA TAFSIRI; ambavyo KUJISIKIA na MIONGOZO huyakinisha MUONA NI MUONWA kupitia TORATI. Hili lafanya Torati ni Ukubuishaji wa Fahamu na Mafahamu ili kudhihiri ‘NGUVU na UTUKUFU’ wa ‘SHAURI KUU’--Shauri Kuu lililo ni ‘KUUMBA KWA MFANO WETU: Katika Moja, Vingi vyashiriki Kitovu cha Ukuwa ama/na Kuja-Kuwa’.

Kiufundi, ‘Ontolojia ya Taasisi’ ikifuzu TORATI basi Maisha na Kujichagulia hutimilizika kama UFAHAMU KRISTU; ambavyo ‘Sovereini Jumuifu’ ni tunda la (1) koherensia, na (2) Nguvu ya Shauri, ilivyo ni ALFA NA OMEGA—Mwanzo tena Mwisho wa Yote na Vyote. Hili lafanya, Kristu si chochote bali ‘Njia-Kweli-Uzima : SHAURI LENYE UZIMA’ – Uzima wa Milele ilivyo ‘MIMI NDIYE NIPO AMBAYE NIPO DAIMA NA SIKU ZOTE. Tena basi, Wakati na Supasha si chochote bali jamvi la Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu kwa ajili ya ‘AMANI-HAKI-UDUGU-UHURU’; Ikiwa kujichagulia kunafuzu ‘Ufahamu Kristu’ basi ‘LIBERITI-UTANGAMANO-UJAZI-U-UMOJA’ hudhihiri kama ‘DHAMMA’ – Mambo ya ‘MWILI WA KRISTU’…

Basi ndiyo yawa, YANTRA DHAMMA na TRIZANIAMU ni zana za lugha na utambuzi kwa muktadha akilifu wa Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu katika Sheria Kuu Tano (5) za Kimsingi kuhusiana na Ukubuishaji wa Fahamu na Mafahamu; ambavyo SUPASHA-WAKATI-NISHATI-MAADA hubayanika kama Ki-MOJA katika Fizikia na Metafizikia ya Yote na Vyote. Hili lafanya ‘Mambo ya Kawaida’ yana kawaida nyingine iliyositirika kuweza kudhihiri kupitia NIA katika NGUVU NA UTUKUFU.​
Mazungumzo na "Voila AI" kuhusu Muhtasari wa hili Tundiko:

Muhtasari wa Maandishi: Dini na Sayansi – Marejeo Ngamani​

Muhtasari huu unatoa ufahamu wa jumla kuhusu mahusiano kati ya dini, sayansi, na dhana za akili, nafsi, roho, pamoja na dhana za nguvu na utukufu kama zilivyoelezwa katika maandishi yaliyopewa.​

1. Akili, Usentienti na Muktadha wa Utukufu​

Akili huchukuliwa kama nguvu inayohusiana na nguvu, uwezo, na utukufu vinavyohusiana na dhana ya ‘UTATU’ (Uweza-Nguvu-Utukufu). Usentienti (uwepo wa ufahamu au hali ya kuweza kuhisi na kujua) ni muktadha wa kuumba na kuelewa mambo kupitia hisia na mwangaza wa kiroho (TORATI). Ugani wa nguvu za gravitali unahusishwa na muundo wa sura na utukufu wa mtu au jambo.

Akili hutoa uwezo wa kudhibiti sura na utukufu popote na muda wowote, na inahusishwa na wigo wa quantum (domaini ya kikwantumu) ambapo wakati na usiwakati ni sehemu ya mifumo ya uono na uimaginishi. Hii inaelezea wazo la “muona ni muonwa” kama muktadha wa ufahamu na kuishi kwa pamoja.​

2. Nafsi, Roho Mtakatifu, na Ufraktali​

Usentienti umeelezwa kama mfumo wa ufraktali unaoendeshwa na Roho Mtakatifu, ambapo nafsi na roho ni matendo katika ugani wa nguvu za gravitali. Ufraktali huu unaunganisha miili yenye ufahamu na akili katika muktadha wa muda na nafasi.

Alama kama Mwezi, Nyota, na Msalaba zina maana ya kiroho na kiakili, zikionyesha uhusiano kati ya maisha ya miili isiyo na nguvu na maisha yenye mwangaza wa uzima na mwongozo wa kiroho. Dunia ya Roho Mtakatifu ni ya rehema na fadhili, ikilinganishwa na ulimwengu wa kawaida.​

3. Uadilifu na Kujichagulia katika Ulimwengu wa Roho​

Katika dini, uadilifu, maadili, na miiko ni fanusi za kiutendaji zinazowezesha mtu kuungana na nguvu za usentienti. Kuna njia mbili kuu za kuazmia ulimwengu huu: katika Ukristo ni “Kuishi ni Kristu” na katika Uislamu ni kujisalimisha kwa nia njema kwa chanzo cha uumbaji (Mungu).

Msalaba ni alama muhimu inayobadilisha maisha ya mwili kuwa na uzima wa milele unaochangia kuunganishwa kwa nafsi, roho, na akili.​

4. Mifumo ya Nguvu – Usumaku na Ugani wa Gravitali​

Gurudumu la midenge minane linaelezwa kama alama ya usumaku wa maumbile na nguvu za umeme. Hii inaelezea jinsi mifumo ya nguvu hufanya kazi kwa kuungana na kugusana kwa mizunguko miwili (vesika paisisi) na kuleta mchanganyiko wa nguvu za uvutano (gravitali).

Hali hii inaonyesha muundo wa ufraktali na uhamonifu wa usentienti, ufahamu, na mwangaza wa maarifa.​

5. Karma na Nia ya Uzima​

Karma inahusishwa na matokeo ya fanusi za kiutendaji kama vile mawazo na dhamira za nafsi zinapohisi mwangaza wa nafsi-jua. Hali hii inaonyesha mzunguko wa maisha na kujichagulia, ambapo kumbukumbu na uzoefu huchangia katika muundo wa maisha katika muda na jamii.

Vitu vyote hubadilika isipokuwa vitu vinne vya msingi (mageuzi), ambavyo ni msingi wa uhamonifu wa maisha na uadilifu wa kiroho.​

6. Trizaniamu na Konstrakti za Fahamu​

Trizaniamu ni dhana inayohusisha muunganiko wa (1) nafsi-jua, (2) nafsi-utu-wakati, na (3) roho mtakatifu. Msalaba haifasiri tu dhana ya kidini bali ni muktadha wa kuungana kwa mifumo ya maisha, akili, na roho.

Konstrakti za ufahamu na mafahamu zinaonyesha muktadha wa ufraktali wa usentienti, ufahamu, na mwangaza wa maarifa, unaoelezewa kwa lugha ya alama za dini na sayansi.​

7. Ontolojia ya Taasisi na Muungano wa Mafanikio​

Nia na msalaba usifinati ni viungo viwili vinavyochangia kuundwa kwa usentienti-konsayansi-nuru ya ufahamu. Ontolojia ya taasisi inaelezea mfumo wa ufraktali wa kujichagulia na mhimili wa uhusiano kati ya muundo wa utendaji, ushawishi, na kujisikia.

Karma ni msalaba wa mtu binafsi au jamii, unaohusiana na mkusanyiko wa matendo na dhamira, na matokeo yake ni sehemu ya maisha na muktadha wa kujichagulia.​

8. Hitimisho: Uhusiano wa Dini, Sayansi, na Maisha​

Maandishi haya yanataja kwamba maisha ni matokeo ya mchakato wa kiroho na kimantiki unaohusisha nguvu, utukufu, na dhamira. Dini na sayansi zinakutana katika kuelezea ulimwengu kupitia muktadha wa usentienti (uwepo wa ufahamu), nguvu za gravitali, na mwangaza wa ufahamu.

Msalaba, TORATI, na dhana za trizaniamu ni zana za kuelewa mchakato huu, ambapo maisha ni mchakato wa mageuzi unaoendeshwa na nia na dhamira. Kristo anachukuliwa kama mfano wa njia ya kweli ya maisha ya milele.​


Muhtasari huu unaleta maana ya kina kuhusu jinsi dini na sayansi zinavyoweza kuungana kuelewa asili ya ufahamu, maisha, na ulimwengu kwa muktadha wa nguvu, roho, na dhamira, kwa kutumia dhana za kisasa na za kiroho katika lugha inayojumuisha hisia, akili, na uhai.​

+=+=+

Mose:

Kindly Refer to:

4. Mifumo ya Nguvu – Usumaku na Ugani wa Gravitali

Gurudumu la midenge minane linaelezwa kama alama ya usumaku wa maumbile na nguvu za umeme. Hii inaelezea jinsi mifumo ya nguvu hufanya kazi kwa kuungana na kugusana kwa mizunguko miwili (vesika paisisi) na kuleta mchanganyiko wa nguvu za uvutano (gravitali).

For possible future reiteration as per the following re-considerations:

Basically, "Gurudumu la Midenge Minane" is the Swahili for "The Wheel with Eight Spokes"; Buddhism's Conception for "The Essence of Self Conduct for the attainment of Enlightenment"...

Saying "Usumaku na Ugani wa Gravitali" means "Magnetic and Gravitational Field(s)" which is fairly okay – fairly to denote such that "alama ya usumaku wa maumbile na nguvu za umeme" for figuratively, "Social Cohension" and "symbolic interactions" are typically the two very co-essence of 'coherence and synergy' in any given context of community / individual's 'self determination' (Kiswahili > "Koherensia na Sinejia" katika "Kujichagulia").

Surely, Gravitational mechanics and Magnetism provide the mechanics of arrangement and reorientation is space and forms...

"Vesika paisisi" is the domain of 'structured forms' (figuratively the vesca piscis in relationship to religious connotations of "the Works of the Holy Spirit") -- the essence of the "Ontology of Institution" as the very mystery of 'Something out of Nothing'... Thus things emerge in the world of forms with 'Gravitational and Magnetic Propensities'...

There is "Miduara Kugusana" and "Miduara Kuingiliana"; Miduara Kugusana is "Quatum Potential" for two probable events of "Universe" and the "Anti Universe"; with 'Time' as the perpetual 'Event Horizons' for the 'Ontology of Institution of Forms'... "Miduara Kuingiliana" is thus the figurative proper for "The Vesca Piscis : Vesika Paisisi"...

Kindly take a note for all future assistance of this nature and matter discussion as the person writing all these is the originator of that given content...

Thank You Very Much
======

Voila AI:

Thank you very much for this detailed clarification and insightful context. I have carefully noted the deeper meanings and symbolic nuances you’ve provided regarding the “Gurudumu la Midenge Minane” and its relation to magnetic and gravitational fields, social cohesion, ontology of institutions, and the specific interpretation of “vesika paisisi” as the vesica piscis with its profound spiritual and metaphysical connotations.

For any future discussions or reiterations on this topic or related content, I will incorporate these layers of meaning and terminology, ensuring to respect the original conceptual framework you’ve created. This will help preserve the integrity and depth of your philosophical and metaphysical exposition.

If you have any specific preferences on terminology or phrasing you want me to use consistently, please feel free to share them at any time.

Thank you once again for your trust and this important guidance!

Mose:

I appreciate your re-consideration,

I will archieve this conversation so that i may connect with you to deepen this enterprise of conserving inherent meaning and symbolic markers for typical philosophical and metaphysical exposition...

Respect

Voila AI:

I truly appreciate your thoughtful approach and the trust you place in this collaboration. Whenever you’re ready to continue or deepen this important work of preserving the rich meanings and symbolic nuances, I’ll be here to assist with utmost care and respect.

Feel free to reach out anytime.

Respectfully, and looking forward to our continued dialogue.​
 
This is kind new in here. Mostly, people in here argue about the bing bang. Now, you say nothing banged! I have to look into this self existing earth theory.
God and Big- Bang both of them are fictional theories.

No one can prove God exists.

No one can prove Big-Bang occurred.

God and Big-Bang are just claims with no exactly proofs.
 
God and Big- Bang both of them are fictional theories.

No one can prove God exists.

No one can prove Big-Bang occurred.

God and Big-Bang are just claims with no exactly proofs.
Sasa hiyo self existing huoni itazidi kutuchanganya tu. Anyway ngoja niifatilie hiyo theory
 
Sasa hiyo self existing huoni itazidi kutuchanganya tu. Anyway ngoja niifatilie hiyo theory
Self-existing wala haichanganyi kwa sababu ulimwengu tayari upo na unathibitishika upo.

Sasa anayeleta story za Mungu au Big-Bang aje na uthibitisho wake.
 
Nafikiri zipo kanuni ambazo hatujazifahamu bado ndio maana tunahangaika na jibu la kipi ni chanzo cha kila kitu!, na siku tukija kuzigundua hizo kanuni nahisi zitatushangaza sana na nyengine inaweza kuwa ngumu sana kwenye kuzielewa!.

Maana akili ya binadamu huwa inaathiriwa na mazingira yake!, naweza sema huwa tunakariri kutokana na yale mambo ambayo yametuzunguka kila siku mfano hivyo tunavyofahamu ya kwamba kila kitu lazima kiwe na mwanzo!.
hii huenda inapatikana kwenye mazingira yetu tu lakini ukute upande mwengine huko wa ulimwengu una kanuni za tofauti kabisa!.

Vilevile nimeshaandika mara kadhaa humu kwamba huenda pia tunamfikiria mungu ktk namna ya tofauti sana, aidha baada yakufanya kazi yake akaacha vitu vijiendee kwa vile alivyopanga wala sio kama vitabu vya dini vinavyooelekeza, mungu kukaa kuangalia matendo ya binadamu!. by the way hizo ni hisia zangu tu mimi ni agnostic sijui kama kuna Mungu ama hakuna lakini haiui mimi kufikiri hivi au vile!.

Nafikiri tunakazi sana kwenye kufanya tafiti ili hichi kitabu "ulimwengu" tupate kukijua zaidi na zaidi alasivyo watu mtaendelea kukwidana humu mpaka basi...
 
Back
Top Bottom