Naona kama kuna kitu cha maana ulichoongea. Ila bado mjadala uendelee kwa michango yako na wengine. Thanks. I appreciateSingularity haikutokea popote , yenyewe ndio chanzo cha kila kitu ikiwemo na muda na nafasi, hivyo bila singularity hakukua na mahali wa muda .
Kwa hiyo kuuliza ilitokea wapi maana yake hakuta kuwa na maana kwa sababu nadharia imekataa uwepo wa mahali na muda kabla ya singularity.
Lakini ndani ya singularity palikuwa na condensed matter. Tukubaliane kwenye hili au unisahihishe.Singularity haikutokea popote , yenyewe ndio chanzo cha kila kitu ikiwemo na muda na nafasi, hivyo bila singularity hakukua na mahali wa muda .
Kwa hiyo kuuliza ilitokea wapi maana yake hakuta kuwa na maana kwa sababu nadharia imekataa uwepo wa mahali na muda kabla ya singularity.
Yeah wanavyodai ilikuwepo lakin sio katika mfumo wa maada bali katika muundo wa nishatiLakini ndani ya singularity palikuwa na condensed matter. Tukubaliane kwenye hili au unisahihishe.
Sawa. And how did energy come into existence?Yeah wanavyodai ilikuwepo lakin sio katika mfumo wa maada bali katika muundo wa nishati
Energy cannot created nor destroyed but can change from one form to another form.Sawa. And how did energy come into existence?
Sifa za energy inaonyesha haiwezi kuumbwa wala kuharibika , inachofanya ni kubadilika umbile tu ,mfano binadamu ni matokeo ya sperms na yai , sperms na yai ni matokeo ya nishati inayopatikana kwenye mimea na wanyama , na pia mtu akifa anageuka nishati inayorudi kwenye mimea na wanyama pia.Let's us take it that way. Where did energy come from. I don't want to use terms like eternal or some misleading terms.
Kiranga InfropreneurLet's us take it that way. Where did energy come from. I don't want to use terms like eternal or some misleading terms.
Haiwezi kuumbwa kwa hiyo ilijiumba. That still doesn't answer the questionSifa za energy inaonyesha haiwezi kuumbwa wala kuharibika , inachofanya ni kubadilika umbile tu ,mfano binadamu ni matokeo ya sperms na yai , sperms na yai ni matokeo ya nishati inayopatikana kwenye mimea na wanyama , na pia mtu akifa anageuka nishati inayorudi kwenye mimea na wanyama pia.
Anayedai uthibitisho wa MunguKiranga tafadhali uje hapa.
Ni kwa nia nzuri tu. Namheshimu kama msomi mzuri sana but there are things that still require to be cleared. Whether yeye ni atheist si tatizo. We are here now exploring science, not faith!Anayedai uthibitisho wa Mungu
Ukiuliza hivyo je hiyo iliyoumba iliumbwa na nani?Haiwezi kuumbwa kwa hiyo ilijiumba. That still doesn't answer the question
Hapo ndipo kwenye swali la msingi. Asante. Kama wanafizikia wote wamefikia kwenye cosmic singularity basi tujadili na hiyo condensed matter au energy imetoka wapi. Tusije kuwa tuna elimu za kwenye makaratasi tu (B.Sc M.Sc,PhD,Postdoctoral.........) lakini we still can not answer these fundamental questions.Ukiuliza hivyo je hiyo iliyoumba iliumbwa na nani?
Ukiuliza imetoka wapi? Ukipata jibu ,utaulizia pia hilo jibu kuwa imetoka wapi to infinity, ila kwa binafsi yangu naona kila kitu kipo kwenye cycle tu🤔Hapo ndipo kwenye swali la msingi. Asante. Kama wanafizikia wote wamefikia kwenye cosmic singularity basi tujadili na hiyo condensed matter au energy imetoka wapi. Tusije kuwa tuna elimu za kwenye makaratasi tu (B.Sc M.Sc,PhD,Postdoctoral.........) lakini we still can not answer these fundamental questions.
YpNi kwa nia nzuri tu. Namheshimu kama msomi mzuri sana but there are things that still require to be cleared. Whether yeye ni atheist si tatizo. We are here now exploring science, not faith!