Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Sasa hapa napo unajisifu kushambuliwa? Duh, kaazi kweli kweli.Mbona kila kitu ni mpaka muongelee vya Kenya? Mnababaika Sana,
Kuhusu shambulizi la kigaidi, Historian itakuonyesha kwamba shambulio la Kwanza la kigaidi Kenya lilifanyika 1980, wakenya 20 waliuwawa, shambulizi Hilo lilifanywa na wapalestini waliodai walikua wanalipiza kisasi Kenya Kwa kusaidia Kwa matibabu ya waliojeruhiwa na ndege za Israeli kujaza mafuta kabla kuelekea Entebbe kuokoa waisraeli waliokua wametekwa nyara ... kwahivyo kama ni cha high risk basi tulianza kitambo na Hadi sasa bado tuko mbele yenu
Kama hivi ndo reli ya Tz iko then I'm eager to see it completeAah unatuharibia Uzi bhana yaani tuanze tena kuangalia garimoshi Mzee aah,
Sent using Jamii Forums mobile app
Huhu inakaa funny sana,kujengwa shagalabagalaKama hivi ndo reli ya Tz iko then I'm eager to see it completeView attachment 999646
Sent using Jamii Forums mobile app
Low quality kabisa.Huhu inakaa funny sana,kujengwa shagalabagala
Shida yenu ni inferiority complex... Mkenya akiongea kitu akili zenu zinaona mtu mwenye masifa ....Sasa hapa napo unajisifu kushambuliwa? Duh, kaazi kweli kweli.
Pole sana mkuu, unaongea kwa uchungu sana. Chukua kitambaa upanguse makamasi na machozi, kwa hili nipo pamoja na wewe [emoji1]Shida yenu ni inferiority complex... Mkenya akiongea kitu akili zenu zinaona mtu mwenye masifa ....
Nyinyi ndo mmekua mkifurahia na kusema shambulizi la kigaidi litaifanya Kenya kuwa high risk Kwa wawekezaji... Kwahivyo faida kwenu katika haya mashindano ya miundombinu, Yani Kwa kifupi watanzania mmeshindwa kuipiku Kenya Hadi mnaona shambulizi la kigaidi kama opportunity ya kusonga mbele ya Kenya.....
Kwahivyo Mimi nimekupatiia historia kidogo kwamba kama ni cha high risk basi tumekua high risk tokea kitambo Sana ..
Unajua kazi ya reli ni nini?Aah unatuharibia Uzi bhana yaani tuanze tena kuangalia garimoshi Mzee aah,
Sent using Jamii Forums mobile app
Embarkments zao hazina slop protection... Wanapanda Tu nyasi, very 'advanced technology'
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]povu lilivyokujaa hadi unatia hurumaEmbarkments zao hazina slop protection... Wanapanda Tu nyasi, very 'advanced technology'
Kwani train inatembea sakafuni!! Au ulitaka niwaambie mlete picha ya train ikiwa juu ya reli! Niliwatega naona mmetoa povu kama nilivyo tegemea [emoji23]. Haya ebu tuonyesheni hiyo high quality train ikiwa juu ya high quality reli tuone.Hahaha [emoji23]lol...wanazungumzia reli ama mmeshaleta bullet train?
Typical Tanzanian, let me just guess you don't know what a train is.Kwani train inatembea sakafuni!! Au ulitaka niwaambie mlete picha ya train ikiwa juu ya reli! Niliwatega naona mmetoa povu kama nilivyo tegemea [emoji23]. Haya ebu tuonyesheni hiyo high quality train ikiwa juu ya high quality reli tuone.
Sent using Jamii Forums mobile app
I'm repeating again, very low quality railway lineKwani train inatembea sakafuni!! Au ulitaka niwaambie mlete picha ya train ikiwa juu ya reli! Niliwatega naona mmetoa povu kama nilivyo tegemea [emoji23]. Haya ebu tuonyesheni hiyo high quality train ikiwa juu ya high quality reli tuone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha inferiority complex wala nini. Hayo ni mawazo yako tu ya kujifariji, hayanipi shida hata kidogo.Shida yenu ni inferiority complex...
Show me drainage system like that in whole of ur SGR!I'm repeating again, very low quality railway lineView attachment 999958
Sent using Jamii Forums mobile app
I'm repeating again, very low quality railway lineView attachment 999958
Sent using Jamii Forums mobile app