Mbona kila kitu ni mpaka muongelee vya Kenya? Mnababaika Sana,
Kuhusu shambulizi la kigaidi, Historian itakuonyesha kwamba shambulio la Kwanza la kigaidi Kenya lilifanyika 1980, wakenya 20 waliuwawa, shambulizi Hilo lilifanywa na wapalestini waliodai walikua wanalipiza kisasi Kenya Kwa kusaidia Kwa matibabu ya waliojeruhiwa na ndege za Israeli kujaza mafuta kabla kuelekea Entebbe kuokoa waisraeli waliokua wametekwa nyara ... kwahivyo kama ni cha high risk basi tulianza kitambo na Hadi sasa bado tuko mbele yenu