Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Mbona kila kitu ni mpaka muongelee vya Kenya? Mnababaika Sana,

Kuhusu shambulizi la kigaidi, Historian itakuonyesha kwamba shambulio la Kwanza la kigaidi Kenya lilifanyika 1980, wakenya 20 waliuwawa, shambulizi Hilo lilifanywa na wapalestini waliodai walikua wanalipiza kisasi Kenya Kwa kusaidia Kwa matibabu ya waliojeruhiwa na ndege za Israeli kujaza mafuta kabla kuelekea Entebbe kuokoa waisraeli waliokua wametekwa nyara ... kwahivyo kama ni cha high risk basi tulianza kitambo na Hadi sasa bado tuko mbele yenu
Sasa hapa napo unajisifu kushambuliwa? Duh, kaazi kweli kweli.
 
Aah unatuharibia Uzi bhana yaani tuanze tena kuangalia garimoshi Mzee aah,

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hivi ndo reli ya Tz iko then I'm eager to see it complete
tapatalk_1547906357151.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapa napo unajisifu kushambuliwa? Duh, kaazi kweli kweli.
Shida yenu ni inferiority complex... Mkenya akiongea kitu akili zenu zinaona mtu mwenye masifa ....

Nyinyi ndo mmekua mkifurahia na kusema shambulizi la kigaidi litaifanya Kenya kuwa high risk Kwa wawekezaji... Kwahivyo faida kwenu katika haya mashindano ya miundombinu, Yani Kwa kifupi watanzania mmeshindwa kuipiku Kenya Hadi mnaona shambulizi la kigaidi kama opportunity ya kusonga mbele ya Kenya.....
Kwahivyo Mimi nimekupatiia historia kidogo kwamba kama ni cha high risk basi tumekua high risk tokea kitambo Sana ..
 
Pole sana mkuu, unaongea kwa uchungu sana. Chukua kitambaa upanguse makamasi na machozi, kwa hili nipo pamoja na wewe [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aah unatuharibia Uzi bhana yaani tuanze tena kuangalia garimoshi Mzee aah,

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kazi ya reli ni nini?
Umesahahu reli ya Ethiopia ni ya umeme?

Unajua Kati ya reli ya Ethiopia na ya Kenya Gani ndo inabeba mizigo mingi? Tunangoja hio yenu ianze kazi tukuonyeshe vile haya mambo hufanywa..
 
The last T-Beam (daraja) casting at Emali factory, signifying phase 2A is only a few months from completion..

lVWq81F.jpg
 
I'm talking about the line not train you bustard.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha [emoji23]lol...wanazungumzia reli ama mmeshaleta bullet train?
Kwani train inatembea sakafuni!! Au ulitaka niwaambie mlete picha ya train ikiwa juu ya reli! Niliwatega naona mmetoa povu kama nilivyo tegemea [emoji23]. Haya ebu tuonyesheni hiyo high quality train ikiwa juu ya high quality reli tuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani train inatembea sakafuni!! Au ulitaka niwaambie mlete picha ya train ikiwa juu ya reli! Niliwatega naona mmetoa povu kama nilivyo tegemea [emoji23]. Haya ebu tuonyesheni hiyo high quality train ikiwa juu ya high quality reli tuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
Typical Tanzanian, let me just guess you don't know what a train is.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom