Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #2,621
Wewe unajua km ngapi zimejengwa SGR phase 2A?we kubali tu ya kwamba serikali yenu imewafumba macho. reli yenu yenyewe hamjui imefikia kilo mita ngapi...
na hakuna mtanzania yeyote atakayeweza kujuwa updates za rel
i yenu ya kuwa imefika km ngapi...na hatotokea..jiwe tu ndio anayejua...