Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hey young man, this thread wasn't opened for renders. I can advise you take this render to that your deceiving ground you call battle.
hiyo ni station ndogo,ipo nnje ya mji kidogo haiwezekani kila sehemu ijengwe station kubwa hata sehemu isiyo na uzito kwani itakuwa ni matumizi mabaya ya kifedha,,ndiyo maana huwa mnaishi kiufisadi zaidi kwa kuchapwa kila siku,,,,,ngojeni mtajionea stations punde mradi ukikamilika

na kinachofurahisha zaidi stations zenu zote zimechapwa na hii kitu takatifu
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile appView attachment 1056054

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
And minting loss like no one's business as load factor will never substantiate the capacity!
Ubaya yetu sisi wabongo maneno ndio mingi kuliko vitendo tukiongozwa na magu/jiwe...hebu angalia vile anaashiria tuna tuta...
Mchina namshangaa kama Jiwe bubu ama hawezi jieleza hata kwa lugha aliosomea PhD
1553772334852.png
 
Render tuliwaachia kwa kuwa mnaboboea pande hizo sana si hata pugu ilikuwa hivo hivo na baadaye mkajenga mnanda wa kutoloea Ng'ombe kupe??
hiyo ni station ndogo,ipo nnje ya mji kidogo haiwezekani kila sehemu ijengwe station kubwa hata sehemu isiyo na uzito kwani itakuwa ni matumizi mabaya ya kifedha,,ndiyo maana huwa mnaishi kiufisadi zaidi kwa kuchapwa kila siku,,,,,ngojeni mtajionea stations punde mradi ukikamilika

na kinachofurahisha zaidi stations zenu zote zimechapwa na hii kitu takatifu
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile appView attachment 1056054

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo ni station ndogo,ipo nnje ya mji kidogo haiwezekani kila sehemu ijengwe station kubwa hata sehemu isiyo na uzito kwani itakuwa ni matumizi mabaya ya kifedha,,ndiyo maana huwa mnaishi kiufisadi zaidi kwa kuchapwa kila siku,,,,,ngojeni mtajionea stations punde mradi ukikamilika

na kinachofurahisha zaidi stations zenu zote zimechapwa na hii kitu takatifu
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile appView attachment 1056054

Sent using Jamii Forums mobile app
Naskia over 20 floors...with hotel amenities!
 
Za TAZARA ANGALIA NLIZIWEKA MKAKAA KIMYA WOOTE THEY ARE BETTER THAN KE SGR

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE
tuma hzo stations ndogo za bullet train kw nchi zengine ambazo zinakaa hvo...

yani nynyi ni vilaza..mnaamini dar pekeyakr ndio kunafaa kuwe sgr station modern..alafu ujuwe hkuambiwa eti lazima iwe kubwa na excuse zako za ujinga...iwe ndogo bt modern...

jiwe kaona pugu na soga hko kwaishi washamba tu wakawaida...akaona awajengee vibanda km zile choo za county za mombasa kisha anasingizia kubana matumizi...yani pia hana imani na hayo maeneo km kutaendelea...ndio manake kenya ni nchi ndogo ila small towns nyingi kushinda tanzania

heheee..mturuki atawapiga sana...
 
Leta hizo boards hapa tuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu utapewa ni povu tupu.
Tazara built in 1960s has the same traffic monitoring board as SGR Kenya launched yesterday!
Upimbi ndio mwingi
The main train stations are Dar es Salaam (Tanzania) and New Kapiri Mposhi (Zambia). Along the line, the train stops at other smaller stations and takes about 2 days to reach the final station.
 
Look at the counter displayboard! Then compare to this

NEWS

12.12.2018
Yapi Merkezi chooses Frauscher for track vacancy detection

The Tanzania Railway Corporation has commissioned the Turkish company Yapi Merkezi to implement a new railway line in the African country.

The first of a total of five sections will cover some 205 kilometres. From Dar Es Salaam on the coast to Morogoro.

Yapi chose the Frauscher Advanced Counter FAdC and the Wheel Sensor RSR180 for the planning of the track vacancy detection system.

The contract was signed in early October 2018 by Michael Thiel, CEO Frauscher Sensor Technology, and Orze Arioglu, CEO Yapi Merkezi Global Construction Group.

In total, around 450 counting heads will be installed on the first two construction phases alone.

The modularity and flexible interfaces of the FAdC allow Yapi the greatest possible independence in infrastructure design.

The axle counter can be easily and quickly integrated into various interlockings. The RSR180 has already proven its reliability in various markets around the globe.

https://www.frauscher.com/en/news/IDobj=1849

HAhahaha, first of all, that dashboard being shown there is 1970's design, where screens are hardwired and non-adjustable like the one in old power plant command center, Now a days you just have screens interconnected and server room somewhere else leaving more space for free airflow and also the big screen at the front ensures greater coordination of activities and also allows you to see whats happening on the whole train network ..... While your set-up obstructs the user so every worker can only see his dashboard and whats happening in his section of thee rail that he has control over..

Alafu badala ya kunionyesha atleast render ya SGR command center yenu umeenda kujiokotea video ya Kampuni inayotengeneza hiyo technologia ya signalling.... Ni kama vile niambiwe nchi yangu inanunua ndege ya Airbus alafu mimi nikimbie mbio kwa youtube na nitafute lidege lipya likubwa la Airbus na nianze kusifia watu.... You don't know what your command center will look like...... You don't know how it will be set up!!! You just know that company will be involved and thats all.

Anyway, wanafunzi wa Kenya wanaosomea Railway Engineering kule China wanafundishwa na the same set up, Kule China Comand center yao iko hivyo hivyo....

Beijing
1543255193865-png.946354

Jiatong University Beijing
1543254901691-png.946350

1543254984900-png.946352

1543253969926-png.946331

e67cb76df61b4e61befb54ac9a776208.jpg

8c0e26c7622d4181b3b096460bace30d.jpg

the whole of EU combined haifikii China kwa modern rail technology...... The fastest Train and 2nd fastest Trains in the world are both from China followed by Japan, na wote Command center zao ziko hivyo, So who is outdated now??

More Command centers in China
002170196e1c0d94f52e0a.jpg

b8aeed9906a718a22d8b12.jpg
 
Open interface software is 1970s technology? Wacha kuhara! Watch the video talking of future signalling system!
 
Open interface software is 1970s technology? Wacha kuhara! Watch the video talking of future signalling system!
Do you even know what Open Interface Software means, or are you just mentioning things now. Most Softwares these days are created in components/modules and can easily be integrated with other technologies through API's.. For example Huawei are the ones that set up the signalling system for Kenya's SGR, the same Huawei is also replacing some signalling components of the German railway system including the GSM-R technology which has to be compatible with ETCS equipment and softwares...

Anyway, we are not talking about that..... This was your Comment

Look at the counter displayboard! Then compare to this

https://www.frauscher.com/en/news/IDobj=1849

Sasa nimekuchomea picha nilipokwambia hio dispayboard setup yenu ni the same set up you see in old command centers za 1970, dakika mbili ushageuza wimbo sasa unaanza kuniambia eti Open Interface Software...blah blah..... Nilipo onyesha picha ya Command Center ya Nairobi, where did you see the word "software technology" mpaka ukalazimika kusema yetu ni outdated?
 
Museveni na Kenyatta wakishuhudia mizigo ya kontena na steel coil ikipakiwa kwa SGR bandarini Mombasa

D2vKlr1WoAAU1tv.jpg

D2vKlrzXcAE_ype.jpg

D2vtkftW0AANecn.jpg
D2vtipxX4AI5YuG.jpg

D2vtlYAW0AEooa1.jpg

Museveni akipanda SGR Mombasa leo saa tisa mchana kuja Nairobi

D2v5pNtWkAEIiEm.jpg

D2v5pNnWwAE4-sb.jpg
 
Back
Top Bottom