BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,666
- 1,053
Ndivyo mlivyo. Wakikyu kuwachukia waluo. Na waluo kuwachukia wakamba. Sio Watanzania Awana tabia mbaya Kama zakoNi vile hawajajua wabongo ni watu wa aina gani maanake comments za Wabongo kwa Kenya kila mahali ni negative - hata wale ambao hawapo Jamii wako negative towards Kenya. Mimi pia nilikuwa hivo kabla ni interact na Watanzania kwenye forums kama hii na Skyscrapercity. Watanzania wana roho mbaya sana dhidi ya Kenya - ni kama kila Mtanzania anafunzwa kuichukia Kenya kuanzia utotoni hata kabla hajakutana na Mkenya hata mmoja.
kuhusu roho mbaya kwa hilo chief cooker umekosea njia ,,,,,labda huo mchsngo wako ukiwa unamaanisha kinyume sawaa....Ni vile hawajajua wabongo ni watu wa aina gani maanake comments za Wabongo kwa Kenya kila mahali ni negative - hata wale ambao hawapo Jamii wako negative towards Kenya. Mimi pia nilikuwa hivo kabla ni interact na Watanzania kwenye forums kama hii na Skyscrapercity. Watanzania wana roho mbaya sana dhidi ya Kenya - ni kama kila Mtanzania anafunzwa kuichukia Kenya kuanzia utotoni hata kabla hajakutana na Mkenya hata mmoja.
[emoji23] [emoji23]Ni vile hawajajua wabongo ni watu wa aina gani maanake comments za Wabongo kwa Kenya kila mahali ni negative - hata wale ambao hawapo Jamii wako negative towards Kenya. Mimi pia nilikuwa hivo kabla ni interact na Watanzania kwenye forums kama hii na Skyscrapercity. Watanzania wana roho mbaya sana dhidi ya Kenya - ni kama kila Mtanzania anafunzwa kuichukia Kenya kuanzia utotoni hata kabla hajakutana na Mkenya hata mmoja.
Hawawezi kubishana na huyo sister yuko makini sana na anaongea facts tupu, very good Promo from her....If you read the comments on YouTube and The comments from our Brother and sisters here From 254🤣, you find only wa hapa Ndio tuna ugomvi nao 🤣🤣🤣🤣🤣.
na ukienda katika jukwaa la siasa vile watanzania wana comment..na hawa ma refuge wa hapa kenyan news..ni total different...bwahahaaaHawawezi kubishana na huyo sister yuko makini sana na anaongea facts tupu, very good Promo from her....
Wale ni wanasiasana ukienda katika jukwaa la siasa vile watanzania wana comment..na hawa ma refuge wa hapa kenyan news..ni total different...bwahahaaa
heheee...kwhyo anayemponda jiwe kule akija hapa kenyan news atamsifia...heheeee...wacha kujichanganya....kila mtu na maoni yake...Wale ni wanasiasa
Ujue kutofautisha siasa na uhalisia
Hadi leo hujajua wanasiasa ni watu wa aina gani?
Trust none of the politicians because they are the problem of reality by che guevara
Againheheee...kwhyo anayemponda jiwe kule akija hapa kenyan news atamsifia...heheeee...wacha kujichanganya....kila mtu na maoni yake...
hhhhh!!ukwel mchungu...wakenya waki comment kuhusu ubaya wa nchi yao si siasa kwhyo...lkn watanzania ni siasa...bwahahaaaAgain
Siasa
Huyu nae anafikiri kila kitu ni siasa tu, haelewi kwanini tumeweka majukwaa ya aina mbalimbali, udaku, michezo etc, etc...Wale ni wanasiasa
Ujue kutofautisha siasa na uhalisia
Hadi leo hujajua wanasiasa ni watu wa aina gani?
Trust none of the politicians because they are the problem of reality by che guevara
Ndivyo mlivyo. Wakikyu kuwachukia waluo. Na waluo kuwachukia wakamba. Sio Watanzania Awana tabia mbaya Kama zako
kuhusu roho mbaya kwa hilo chief cooker umekosea njia ,,,,,labda huo mchsngo wako ukiwa unamaanisha kinyume sawaa....
yaani kwa watanzani iwe wakenya...
[emoji3][emoji3][emoji3] ila hiyo apointment ni kawaida ulimwengu huu lazima uende sehemu kwa taarifa japo inategemea na safari husikaWakenya wana roho mbaya naskia hata mtu ukienda kwa mwenzio uwe na appointment nae km kazin
[emoji3][emoji3][emoji3] ila hiyo apointment ni kawaida ulimwengu huu lazima uende sehemu kwa taarifa japo inategemea na safari husika
ila kikubwa tuwashangae ni kwamba hata apointment yenyewe wanaitema na ukiipata utaambulia short story bila water kisha mtu anabuni safari wakati hakuwa na safari yeyote[emoji3][emoji3]
hilo nalo neno majirani njaa kali wanakimbia majukumu[emoji3][emoji3]Hiyo kaka inatokana na budget kali kutokana na maisha magum mbona tz mgeni anakuja bila taarifa unga unaongezwa ugali unapikwa watu wala ni bcuz hakuna shida mahswus km kenya mpk kutembeleana waweke appointment
Hivi Anko MTU anaweza kukuchukia bila sababu.. Maana tz watu hawana cha kumchukia MTU but ukifanya kitu kitachofanya MTU akuchukie utachukiwa tuuu...y wtz hawamchukii mganda au mmalawi au msomalia au mrwanda aje awachukie nyieNi vile hawajajua wabongo ni watu wa aina gani maanake comments za Wabongo kwa Kenya kila mahali ni negative - hata wale ambao hawapo Jamii wako negative towards Kenya. Mimi pia nilikuwa hivo kabla ni interact na Watanzania kwenye forums kama hii na Skyscrapercity. Watanzania wana roho mbaya sana dhidi ya Kenya - ni kama kila Mtanzania anafunzwa kuichukia Kenya kuanzia utotoni hata kabla hajakutana na Mkenya hata mmoja.
Hivi Anko MTU anaweza kukuchukia bila sababu.. Maana tz watu hawana cha kumchukia MTU but ukifanya kitu kitachofanya MTU akuchukie utachukiwa tuuu...y wtz hawamchukii mganda au mmalawi au msomalia au mrwanda aje awachukie nyie
Na mbona Mganda, Mmalawi, Muethiopia, Msudan, Mrwanda na Msomalia hawachukii Mkenya yet Mtanzania anamchukia Mkenya?Hivi Anko MTU anaweza kukuchukia bila sababu.. Maana tz watu hawana cha kumchukia MTU but ukifanya kitu kitachofanya MTU akuchukie utachukiwa tuuu...y wtz hawamchukii mganda au mmalawi au msomalia au mrwanda aje awachukie nyie