Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Za tazara mlijenga ngapi, ama bado mnatumia zile zile za kitambo
 

Guatrain ni Commuter rail, amabyo inahudumia mji na vitongoji vyake.... Yani ni ni reli ambayo iko na high frequency, kila baada ya dakika 15 au 30 kunapita reli inayo beba abiria waliofika kwa station kwahivyo hakuna wakati station inatarajiwa kujaa!
Hii ni model tofauti kabisaa!!! kulinganisha hizo station za commuter rail ya SA na SGR ni kama vile kulinganisha stendi za BRT hapo bongo na ile stesheni kubwa ya mabasi ya masafa marefu mnayo jenga hapo bongo.
 
Nitapost hapa kwasababu inahusiana na SGR.....


Kwa wale wanao fikiri ni bandari zao pekee ndo zinapanuliwa..


Mombasa port berth number 21 -- iliomalizwa kujengwa 2017...






2018 ilipoanza kufanya kazi





Mwanzo wa mwaka huu 2nd Container terminal (aka berth 22) ilianza kujengwa hapo kando ya Berth 21, Sasa inaonyesha wamepiga hatua kubwa





Vifaa vipya navyo vililetwa









Yani libandari linaelekea kua jibandari likubwa sana!!!!! Ukifikiria eti Lamu ita take over, fikiria tena! By the time Lamu imefika Berth 32, Mombasa itakua ilifikia berth 40!





 
Wuuue boss unakuanga umeivia hii sector sana,,
Some things hata hatujui zinajengwa...berth22
But kama ni Kwa jirani hizi mambo zingepostiwa hapa Kila siku rais akisifiwa,,,
 
And then why no synergy with Kenyan transporters?
 
And then why no synergy with Kenyan transporters?
We are undergoing a transport/logistics revolution, obviously the process cannot go without challenges. Don't think your situation will be different.
 
Hii shughuli nzito aisee, jamaa wa Mombasa hawataki kusikia habari ya SGR...
Wakifanya mzaa jamaa wa Mombasa Republic watarudi! Let the market price decide na si kulazimisha watu! I see a sabotage towards the infrastructure if this issue left unattended!
 
Wakifanya mzaa jamaa wa Mombasa Republic watarudi! Let the market price decide na si kulazimisha watu! I see a sabotage towards the infrastructure if this issue left unattended!
Wanaolazimishwa kutumia sgr wako wapi..walete tuwaone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…