Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Duh!!mjuaji ni mjuaji, yani unataka kuelewesha kw pumba zako mwnywe[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa!!si nynyi mlisema hamlurupuki, imekuaje tena iwe kw sasa kuna vizuizi...

Kwhyo unataka kumaanisha mtazindua reli bila ya hicho kipande mpaka hyo miradi ya upanuzi na BRT ikamilike?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona hapo ni akili simple tu kwamba kipande che port hakiwezi jengwa atleast mpaka upenuzi ufikie point flan, halafu kile ni km hata kumi hazifiki so hakita take long time tuendelee na mada nyingne

Sent from Gnet Phone using JamiiForums
 
Congo and Rwanda are shitholes. That route is not profitable at all. Kenya is better off with its Uganda route.
 
Tukiwaambia humu hawasikii zaidi ya kutumia nguvu nyingi kuandika insha zisizo na umuhimu wala maana yoyote.
 
We tumbili ya slum kwani reli yetu imekamilika hiko kipande ni cha kujengwa chini ya week 3 tu kazi kwisha

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbna basi hakijajengwa, ina maana kilikua hakipo kwnye ramani..
Sio nynnyi mlikua hamjui km hapo mahali patajengwa reli ya aina gani, eti sai baada ya kuona tweet mnajikuta wanenguaji hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hapo ni akili simple tu kwamba kipande che port hakiwezi jengwa atleast mpaka upenuzi ufikie point flan, halafu kile ni km hata kumi hazifiki so hakita take long time tuendelee na mada nyingne

Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Hahaaa!!kwhyo mtanzindua mradi nusu nusu sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Buda, njia ambayo reli inatakiwa kujengwa kuna mradi mwingine unaendelea. Kuna ujenzi wa daraja jipya la magari ambapo chini reli ndiyo inapita.
Wasingeweza kujenga reli kabla ya kufikia hatua fulani ya ujenzi wa daraja.
 
Muulize reli yao ya SGR Mombasa port ilianza kutumika lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…