Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #6,061
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ndo lengo lenu
"Lengo ni kuhudumia shehena hadi kufikia tani milioni 28 kwa mwaka na kuhudimua meli zenye urefu wa hadi mita 305. "
Wakati Mombasa port ishapitisha mizigo zaidi ya hapo...
-------
The Port of Mombasa experienced a 9.8 per cent container traffic growth registering 1,306,283 twenty foot equivalent units – an inexact unit of cargo capacity often used to describe the capacity of container ships and container terminals. – during the period January – December 2018 against 1,189, 957 TEUs handled in the same period in 2017.
In total cargo throughput, the Port recorded 1.4 per cent growth in the year 2018 compared to the previous year. The total cargo volume through the Port of Mombasa therefore was 30,759,854 tons in the period January to December 2018 against 30,344,370 tons recorded in the corresponding period in , which translates to an increment of 415,484 tons.
--------![]()
Port of Mombasa Registers 9.8% Container Traffic Growth in 2018
The Port of Mombasa experienced a 9.8 per cent container traffic growth registering 1,306,283 twenty foot equivalent units – an inexact unit of cargo capacity often used to describe the […]kenyanwallstreet.com
Natumai unaelewa tofauti ya Capacity na what you actually handled.
Wakati nyinyi mnapanga kuongeza capacity ya bandari hadi 28 Million, Sisi tayari tulisha handle mizigo mingi kushunda hio maximum capacity yenu ambayo mtafikia baada ya kumaliza expantion... Hakuna dunia ambayo Dar itaamka siku moja na ishinde Mombasa manake tumewaacha na mbali sana..... Jibu lenu ilikua inafaa liwe kwa project kubwa kama bagamoyo, lakini kwasasa hamna jibu kwa Mombasa port.
Mbali na Capacity kuna vitu kama performance rating, Msa port iko na 74 Dar iko na 53.. yani tume waosha kabisa!
View attachment 1369995
Container dwell time
View attachment 1369997
Na bado, Hio berth 22 unayoiona ikijengwa hapo
![]()
Hii ni Mastrplan ilioandikwa 2015, kamau navyoona Berth 22 ni plan ya 2020
View attachment 1370003
By 2023 tunaongeza Berth 23, na pia tunajenga Berths mbili kwa Free port (D1,D2) pale Dongo Kundu Special Economic Zone
View attachment 1370006
Hizo plan zinaendelea hadi 2032
View attachment 1370008
Kwahivyo kama unavyo ona , Hakuna mda ambao tutaacha kuboresha Msa port.... Infact watu hua wanafikiria Lamu port itakuja kuishinda Mombasa port lakini ukisoma hio ripoti utaona vile Mombasa port bado itabaki kua biggest port upande huu wa Eastern Africa seaboard manake itaendelea kupanuliwa kila mwaka hadi 2032-2035.
Bonus:
Ship carrying wind turbines for the Kipeto Power Project docks at Mombasa Port
Mombasa – January 27,2020
![]()
![]()
![]()
![]()
Deputy Minister for Transport and Communications eng Atashasta Nditiye issued the directives yesterday during his visit at the Morogoro TRC workshop and saw ongoing repair work of locomotives.Deputy Minister for Transport and Communications eng Atashasta Nditiye.

Kenya has only 1 port in use which is also Uganda's Main port of entry.
Tanzania + znbar has 4 ports combined.
Once TZ makes their central corridor cheaper & faster forget about UG cargo
U have to know Kenya got dorminant in transportation of Ugandan cargo when Tanzania neglected her superiority in water transport in Lake Victoria! But with rehabilitation of her ships n ports around Lake Victoria n two new wagon ferries U/C! The dynamics will change especially after SGR to Mwanza n pipeline to Tanga r ready!
Bad leadership for 35 years. The only time Tz Was ahead of Ke in GDP or anything else was the Nyerere era.
exactly during Nyerere era, we had a good chunk of Ugandan cargo!Bad leadership for 35 years. The only time Tz Was ahead of Ke in GDP or anything else was the Nyerere era.
4 years of Jpm & there is real progress. For the first time Tz total money committed to infrastructure is almost double that of kenya..
Jpm needs 5 more to set the base
Bandari zetu ni ndogo sana, ndio maana ripoti ya World Bank ilisema kujenga SGR kwa sasa haitaleta value for money, badala yake tunafaa kukarabati MGR iwe na capacity ya only 10 million tonnes p.a na tutumie hado 2035.... walisema hio 10 million tonnes ndo best case scenario ya mizigo tutakayobeba kutumia reli ...
Ukipiga hesabu ya 10 million / 356 Days = 27,000 tonnes....
27,000tn kwa siku itapelekwa na treni 3 za tanzania..... Treni tatu kwa siku inamaanisha treni moja kila baada ya masaa manane 8hrs... Hebu fikiria vile itakua ni kupoteza mda kungojea masaa manane...
27,000 kwa siku Kenya zitapelekwa na treni saba, hio ni treni inaondoka kila baada ya masaa matatu na dakika ..... Hii inamaanisha 7am mizigo inaondoka, 9.40 am treni nyengine, 1:20pm nyengine inaondoka......... Yani kunakua na distribution nzuri ya matumizi ya reli na masaa ya siku....
Yani itakua mizigo ya asubuhi inaondoka asubuhi, mizigo ya mchana in aondoka mchana, mizigo ya jioni inaondoka jioni... Lakini huko TZ mzigo ya asubuhi inaondoka mchana na ya mchana inaondoka jioni, ya jioni inaondoka Usiku....
Unafaa ujue mizigo ya contena haihitaji axle kubwa, hata viongozi wenu huko TZ washawahi sema, lengo kuu kwa TZ kujenga reli yenye axle kubwa ni kwasababu mnatarajia mtakua mnabeba raw unrefined minerals kutoka hinterlands na nchi jirani kama DRC.... Hayo madini yakiwa yado yamechanganyika na mchanga, mawe na kokoto hua ni mzigo mzito sana, kwahivyo inahitaji behewa ambalo litaweza kubeba mzigo mzito kwa mpigo......
Kwahivyo usishangae miezi sita baadae baada ya kuanzisha SGR yenu ukaona TRC inapunguza urefu wa treni zenu za kubeba contena manake treni zinapoteza mda kungoja kujaa na hakuna mizigo ya kutosha kujaza treni zote za 10,000 tonnes kila siku
Fool Tanzania is not ur level! Its has geographical comparative advantage! U should have fought to get ur SGR to Rwanda but corruption made u lose Rwanda a stategic gateway to eastern DRC! If the SGR get to Rwanda and Uganda pipeline reaches Tanga, there is no way Tanzania SGR will be underutilized! As the oil pipeline to Tanga will come with cargo! and the way it looks South Sudan might also come along!Bandari zetu ni ndogo sana, ndio maana ripoti ya World Bank ilisema kujenga SGR kwa sasa haitaleta value for money, badala yake tunafaa kukarabati MGR iwe na capacity ya only 10 million tonnes p.a na tutumie hado 2035.... walisema hio 10 million tonnes ndo best case scenario ya mizigo tutakayobeba kutumia reli ...
Ukipiga hesabu ya 10 million / 356 Days = 27,000 tonnes....
27,000tn kwa siku itapelekwa na treni 3 za tanzania..... Treni tatu kwa siku inamaanisha treni moja kila baada ya masaa manane 8hrs... Hebu fikiria vile itakua ni kupoteza mda kungojea masaa manane...
27,000 kwa siku Kenya zitapelekwa na treni saba, hio ni treni inaondoka kila baada ya masaa matatu na dakika ..... Hii inamaanisha 7am mizigo inaondoka, 9.40 am treni nyengine, 1:20pm nyengine inaondoka......... Yani kunakua na distribution nzuri ya matumizi ya reli na masaa ya siku....
Yani itakua mizigo ya asubuhi inaondoka asubuhi, mizigo ya mchana in aondoka mchana, mizigo ya jioni inaondoka jioni... Lakini huko TZ mzigo ya asubuhi inaondoka mchana na ya mchana inaondoka jioni, ya jioni inaondoka Usiku....
Unafaa ujue mizigo ya contena haihitaji axle kubwa, hata viongozi wenu huko TZ washawahi sema, lengo kuu kwa TZ kujenga reli yenye axle kubwa ni kwasababu mnatarajia mtakua mnabeba raw unrefined minerals kutoka hinterlands na nchi jirani kama DRC.... Hayo madini yakiwa yado yamechanganyika na mchanga, mawe na kokoto hua ni mzigo mzito sana, kwahivyo inahitaji behewa ambalo litaweza kubeba mzigo mzito kwa mpigo......
Kwahivyo usishangae miezi sita baadae baada ya kuanzisha SGR yenu ukaona TRC inapunguza urefu wa treni zenu za kubeba contena manake treni zinapoteza mda kungoja kujaa na hakuna mizigo ya kutosha kujaza treni zote za 10,000 tonnes kila siku
Tupe ushahidi kua total money commited to infrastructure doubles that of Kenya.Bad leadership for 35 years. The only time Tz Was ahead of Ke in GDP or anything else was the Nyerere era.
4 years of Jpm & there is real progress. For the first time Tz total money committed to infrastructure is almost double that of kenya..
Jpm needs 5 more to set the base
those r trials Mr first class fool! Our SGR trials will be 200 km/h! with safety parameters under consideration, ur SGR is designed to handle trains moving at 120km/h! actually ur PAX trains r moving at an average speed of 110 km/h!Mbona unawashwa na vitu vya watu
![]()
![]()
☝SGR Kenya at 134 km/hr
ni pale anapofananisha potentials za Tanzania na Kenya wakati JPM "anafanza" mambo anajenga ports all over the lakes navyojua mimi kuna ujenzi wa badandari zisizopungua nne Lake Victoria U/C, zisizopungua nne Lake Tanganyika na zisizopungua mbili lake Nyasa ukaiachia mbali ICDs Kigoma, Mbeya, Isaka, Kwala ukiachia mbali the 3 sea ports! hapo hatujaongelea meli zinazojengwa!jamaa ukisoma comments zake unaona kabsa ana wivu.. na unamuuma kweli!
During trials ilifika 158km/hr...those r trials Mr first class fool! Our SGR trials will be 200 km/h! with safety parameters under consideration, ur SGR is designed to handle trains moving at 120km/h! actually ur PAX trains r moving at an average speed of 110 km/h!
You have always had the so called "Geographical advantage".. It did not stop JKIA from being the business and the airline hub of EA.. It did not stop Mombasa port from being the logistical hub of EA.Fool Tanzania is not ur level! Its has geographical comparative advantage! U should have fought to get ur SGR to Rwanda but corruption made u lose Rwanda a stategic gateway to eastern DRC! If the SGR get to Rwanda and Uganda pipeline reaches Tanga, there is no way Tanzania SGR will be underutilized! As the oil pipeline to Tanga will come with cargo! and the way it looks South Sudan might also come along!
www.tesfanews.net
wacha upumbavu! Dar port is way connected to SADC than even to Uganda less than 10% of Ugandan cargo uses central corridor! As a matter of fact u should be worried since the pipeline will take away cargo from northern corridor!You have always had the so called "Geographical advantage".. It did not stop JKIA from being the business and the airline hub of EA.. It did not stop Mombasa port from being the logistical hub of EA.
And you do realize that if oil pipeline to Tanga leads to the development of Tanga port and Uganda starts using Tanga port for cargo, it will mean less cargo for Dar port which is the one that has the SGR connection. So if Tanga deals in more cargoit means less business ffor the SGR.... This is the reason why Ethiopia cancelled the construction of an oil pipeline from Djibouti port to adis ababa so that their SGR can benefit from transporting the oil using oil wagons..
![]()
Ethiopia Cancels Planned Ethio-Djibouti Oil Pipeline Project
The Ethiopian government said it has canceled the planned Ethio-Djibouti fuel pipeline project indefinitely due to financial reasons.www.tesfanews.net
Dar port handles like 93% - 97% of all the cargo, the rest of the ports handle the rest....Kenya has only 1 port in use which is also Uganda's Main port of entry.
Tanzania + znbar has 4 ports combined.
Once TZ makes their central corridor cheaper & faster forget about UG cargo
Kwani unafikiri tulipokua tunapanga kupanua Mombasa port na kujenga Lamu port hatuku anticipate kwamba bandari za nchi jirani pia zitapanuliwa????![]()
National port masterplan for Tanzania
NIRAS has signed a contract for study and design of a new oil terminal and expansion of Tanzania’s second largest port in Tanga. The agreement includes a masterplan for the strategic development of the ports of Tanzania during the next 25 years.www.niras.com