Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Unajua plans zozote kuhusu revival ya General Tyre plant....Arusha has many industires but this is one of the most important one to have ..esp with recent growing of vehicles numbers ?

Nilisika Mengi alikuwa akifufue kwenye hizi new industry ya IPP automobile but ndo hivyo tena...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sina habari mzee IPP Automobile sidhani kama ipo tena especially bifu liliopo kati ya Jackyline Mengi na watoto wa Mengi!
 
Basi wala usisumbuke sn mana hyo Rwanda kwetu ni km mkoa tu so hawana kazi kubwa km iliyonayo The Giant Tz
Hiyo si sababu ya kutosha...
Rwanda ni nchi ndogo lakini pia wako na uchumi mdogo... GDP per capita yao ni 748 USD (2017 data)
Tanzania ni nchi Kubwa lakini Uchumi ni mkubwa zaidi kulingana na watu wake ndio maana GDP per capita yenu ni 936 USD (2017 data)..

Kwahivyo Tanzania inafaa iwe imeishinda Rwanda kwa kila nyanja ya maisha, lakini ukiangalia mambo si hivyo.... Kwahivyo mambo ya kusema Rwanda ni kama mkoa wenu ni upuzi mtupu, Rwanda haiko ligi yenu kabisa, na kama unasisitiza hebu niambie ni mkoa gani wa TZ ambao uko mbele ya Rwanda katika hali ya maisha?
 
37676832_1773889202646444_5327563715556409344_n.jpg
37707262_1773889159313115_5708348772921114624_n.jpg
 
Of a sudden nipunguze obsession mbona? Ni-ignore 1st class Kunya style?
Hata sisi tunajua ya SGR Tz lakini sio kila kitu ni post-worthy... Sasa unataka Uhuru a attend ceremony ya 1000 Days kwanini? He was also not there walipofanya sherehe na award ceremony ya kubeba abiria 2 Million mwaka jana, obsession yako ndo inakufanya unauliza maswali ya kijinga kama mbona Uhuru haku attend... Yani unatafuta doa kwa kila kitu.. obsessed much ?

1582895979312.jpeg

SGR1.jpg
 
MY TAKE
Kamwele says the revival of Tanga -Arusha NGR means end of Mombasa port conduit of Arusha cargo!
 
Hiyo si sababu ya kutosha...
Rwanda ni nchi ndogo lakini pia wako na uchumi mdogo... GDP per capita yao ni 748 USD (2017 data)
Tanzania ni nchi Kubwa lakini Uchumi ni mkubwa zaidi kulingana na watu wake ndio maana GDP per capita yenu ni 936 USD (2017 data)..

Kwahivyo Tanzania inafaa iwe imeishinda Rwanda kwa kila nyanja ya maisha, lakini ukiangalia mambo si hivyo.... Kwahivyo mambo ya kusema Rwanda ni kama mkoa wenu ni upuzi mtupu, Rwanda haiko ligi yenu kabisa, na kama unasisitiza hebu niambie ni mkoa gani wa TZ ambao uko mbele ya Rwanda katika hali ya maisha?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] funny
 
Hiyo si sababu ya kutosha...
Rwanda ni nchi ndogo lakini pia wako na uchumi mdogo... GDP per capita yao ni 748 USD (2017 data)
Tanzania ni nchi Kubwa lakini Uchumi ni mkubwa zaidi kulingana na watu wake ndio maana GDP per capita yenu ni 936 USD (2017 data)..

Kwahivyo Tanzania inafaa iwe imeishinda Rwanda kwa kila nyanja ya maisha, lakini ukiangalia mambo si hivyo.... Kwahivyo mambo ya kusema Rwanda ni kama mkoa wenu ni upuzi mtupu, Rwanda haiko ligi yenu kabisa, na kama unasisitiza hebu niambie ni mkoa gani wa TZ ambao uko mbele ya Rwanda katika hali ya maisha?
Ss ngj utusaidie kitu, toa Kigali natoa Dar haya taja mikoa mitano ya Rwanda na mm nitaje mikoa mitano ya Tz ishindane [emoji3][emoji3] yn aibu ata kuendelea na battle hii... by the way chuki zako nmeziona ulipoanza kudanganya per capita income ya Tz eti 900(kwnn utaje ya 2017 wkt mpya ipo) hehehehee wivu mbaya sn jamenii.

Rwanda iogopeni nyie cc kwetu mkoa tu[emoji3][emoji3]
 
Lakini Luna double standards sana hap kwa Atkins Geza...
Zile vvitu walisema in maya Kenya wanafurahia Tanzania.
Stesheni zenu pia haziko katikati ya mijii, mme kimya, stesheni ndogo sana na mnatumia pesa mingi kujenga
Mmetumia commercial loan kujenga reli, wamefurahia baada ya kuchekelea Kenya.

Kwa ukwelichamna freedom kama waKenya. Sis tukiona ubaya tutasema. Lakini siwaoni wale watanzania wanaoweza kusema kitu kikifanyika vibaya ili ifanywe vizuri next time.
 
Back
Top Bottom