Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

wacha upumbavu! Dar port is way connected to SADC than even to Uganda less than 10% of Ugandan cargo uses central corridor! As a matter of fact u should be worried since the pipeline will take away cargo from northern corridor!
The pipeline is for crude oil, Something that Uganda has never exported b4, kwahivyo the pipeline will not take away any cargo business from the Northern corridor, The northern corridor will only miss a new business opportunity to add extra cargo to its route..
 
mind u a new oil terminal at Chongoleani whole dedicated for Ugandan cargo! Dreading is almost done while new terminal is also U/C!

Keep giving urself hopes ati Dar capacity will be limited at 28 mln tones! As if no other phases for expansion!
Kulikuwa na phase kabla ya 2015..imewekwa on hold .ilikuwa ya kujenga Berth Mpya 3 container terminals at a cost of 600 mil Usd by that time...

So mpka feasibility ilifanyika that means kuna nafasi ya berth 3 mpya ..in case tukiplan kujenga berth 14,15 and 16

Waliweka on hold wafanyie upanuzi hizi berth zilzipo sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamaa ukisoma comments zake unaona kabsa ana wivu.. na unamuuma kweli!
hahahaha,unajua mtu ambaye hua ni wakwanza kuita mwenzake mnafik, mwenye wivu, Mchoyo, au mbea/mdaku... Hua 99% of the time utakuta hua hizo ndo hisia zake lakini anajaribu kujitia moyo kwa kumshtaki mtu mwengine kwamba yeye ndo ako na hizo hisia..
Utakuta jamaa mmeketi naye alafu jirani akipita, jamaa anaanza za "yule jirani ni mbea sana, juzi nilimuona akiambia flani kwamba flani ni mgonjwa...blah blah" ... huyo jamaa hajioni kwamba yeye ndo mmbea number 1 kazi yake kuongelea watu wengine kila anapokwenda.

Hapa nilipo maoni yangu ni kwamba Tz iko nyuma kwa mambo mengi sana, kwahiivyo bado sijawahi ona kitu ambacho kinaweza nifanya niwe na wivu na Tanzania kabisa ...... Nchi ambayo huwa Naionea wivu hapa EAC ni Rwanda manake kuna vitu kadhaa hua napenda kuviona hapa Kenya lakini unakuta Rwanda ndo ishavifanya... Lakini hakuna lolote la Tanzania lishawahi kunifanya nitamani chochote....
 
Bado za Kiboya tu Magu waafrica wenzetu wanatuzingua bora we ufanye kweli treni gani bado kwa level za Nigeria [emoji1184] wangefanya kama Morrocco aisee

Sent from Gnet Phone using JamiiForums
ila bora kuliko za Kunyaland, SGR Kunyaland haina EMU!
 
ERxT5A2XkAAwUHt
 
Hili ndo lengo lenu

"Lengo ni kuhudumia shehena hadi kufikia tani milioni 28 kwa mwaka na kuhudimua meli zenye urefu wa hadi mita 305. "

Wakati Mombasa port ishapitisha mizigo zaidi ya hapo...
-------
The Port of Mombasa experienced a 9.8 per cent container traffic growth registering 1,306,283 twenty foot equivalent units – an inexact unit of cargo capacity often used to describe the capacity of container ships and container terminals. – during the period January – December 2018 against 1,189, 957 TEUs handled in the same period in 2017.

In total cargo throughput, the Port recorded 1.4 per cent growth in the year 2018 compared to the previous year. The total cargo volume through the Port of Mombasa therefore was 30,759,854 tons in the period January to December 2018 against 30,344,370 tons recorded in the corresponding period in , which translates to an increment of 415,484 tons.
--------

Natumai unaelewa tofauti ya Capacity na what you actually handled.
Wakati nyinyi mnapanga kuongeza capacity ya bandari hadi 28 Million, Sisi tayari tulisha handle mizigo mingi kushunda hio maximum capacity yenu ambayo mtafikia baada ya kumaliza expantion... Hakuna dunia ambayo Dar itaamka siku moja na ishinde Mombasa manake tumewaacha na mbali sana..... Jibu lenu ilikua inafaa liwe kwa project kubwa kama bagamoyo, lakini kwasasa hamna jibu kwa Mombasa port.

Mbali na Capacity kuna vitu kama performance rating, Msa port iko na 74 Dar iko na 53.. yani tume waosha kabisa!
View attachment 1369995

Container dwell time
View attachment 1369997

Na bado, Hio berth 22 unayoiona ikijengwa hapo

2318967_1582722054606.png

Hii ni Mastrplan ilioandikwa 2015, kamau navyoona Berth 22 ni plan ya 2020

View attachment 1370003

By 2023 tunaongeza Berth 23, na pia tunajenga Berths mbili kwa Free port (D1,D2) pale Dongo Kundu Special Economic Zone
View attachment 1370006

Hizo plan zinaendelea hadi 2032

View attachment 1370008

Kwahivyo kama unavyo ona , Hakuna mda ambao tutaacha kuboresha Msa port.... Infact watu hua wanafikiria Lamu port itakuja kuishinda Mombasa port lakini ukisoma hio ripoti utaona vile Mombasa port bado itabaki kua biggest port upande huu wa Eastern Africa seaboard manake itaendelea kupanuliwa kila mwaka hadi 2032-2035.

Bonus:

Ship carrying wind turbines for the Kipeto Power Project docks at Mombasa Port

Mombasa – January 27,2020

DSC_5751.jpg

DSC_5799.JPG

DfehyhGX0AEUugl

Dv-G4bGX4AUnBSd

MY TAKE
Arusha-Musoma on Lake Victoria next...
 
ni pale anapofananisha potentials za Tanzania na Kenya wakati JPM "anafanza" mambo anajenga ports all over the lakes navyojua mimi kuna ujenzi wa badandari zisizopungua nne Lake Victoria U/C, zisizopungua nne Lake Tanganyika na zisizopungua mbili lake Nyasa ukaiachia mbali ICDs Kigoma, Mbeya, Isaka, Kwala ukiachia mbali the 3 sea ports! hapo hatujaongelea meli zinazojengwa!

Huwa zinajengwa tu sijawahi sikia zimekamilika.
 
hiv mshawah kufanya uchunguzi kuwa watu wanaandikaga texts au comments ndefu in reality huwa wanakuaje???

nimegundua wengi sana huwa wanyonge sana wanapokuwa in social interaction .. au wanashida ya kuongea in social interactions, so they use texting to interact with people ..

just saying randomly .. kuna watu watacatch feelings angawa hata hawajatwajwa
 
hahahaha,unajua mtu ambaye hua ni wakwanza kuita mwenzake mnafik, mwenye wivu, Mchoyo, au mbea/mdaku... Hua 99% of the time utakuta hua hizo ndo hisia zake lakini anajaribu kujitia moyo kwa kumshtaki mtu mwengine kwamba yeye ndo ako na hizo hisia..
Utakuta jamaa mmeketi naye alafu jirani akipita, jamaa anaanza za "yule jirani ni mbea sana, juzi nilimuona akiambia flani kwamba flani ni mgonjwa...blah blah" ... huyo jamaa hajioni kwamba yeye ndo mmbea number 1 kazi yake kuongelea watu wengine kila anapokwenda.

Hapa nilipo maoni yangu ni kwamba Tz iko nyuma kwa mambo mengi sana, kwahiivyo bado sijawahi ona kitu ambacho kinaweza nifanya niwe na wivu na Tanzania kabisa ...... Nchi ambayo huwa Naionea wivu hapa EAC ni Rwanda manake kuna vitu kadhaa hua napenda kuviona hapa Kenya lakini unakuta Rwanda ndo ishavifanya... Lakini hakuna lolote la Tanzania lishawahi kunifanya nitamani chochote....
Basi wala usisumbuke sn mana hyo Rwanda kwetu ni km mkoa tu so hawana kazi kubwa km iliyonayo The Giant Tz
 
jamaa ukisoma comments zake unaona kabsa ana wivu.. na unamuuma kweli!
Mimi nimeshaacha kujibizana naye naona napoteza muda tu.
Ni Wale watu ukimwambia 2x2=4 anakubishia anakuambia ni 2 eti tu kwa sababu 1x1=1
 
Back
Top Bottom