Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

haya nieleweshe ni vp SGR yenu yenye limit kwa wagon zenye axle load 4 na kila moja ina uzito wa 25 tons zinaweza kubeba cargo zaidi ya SGR Tanzania yenye axle load limit 35 tons na ni nne pia kwa kila wagon! Yet ur SGR ina speed limit at 80 km/h for cargo in comparison to 120 km/h for Tanzania's! Zaidi ya hapo SGR Tanzania ina provision ya kuunga treni za urefu wa 2 km ukiacha double stack! Endeleeni kudanganywa na Mchina!

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096
Duh!!mjuaji ni mjuaji, yani unataka kuelewesha kw pumba zako mwnywe[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa!!si nynyi mlisema hamlurupuki, imekuaje tena iwe kw sasa kuna vizuizi...

Kwhyo unataka kumaanisha mtazindua reli bila ya hicho kipande mpaka hyo miradi ya upanuzi na BRT ikamilike?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona hapo ni akili simple tu kwamba kipande che port hakiwezi jengwa atleast mpaka upenuzi ufikie point flan, halafu kile ni km hata kumi hazifiki so hakita take long time tuendelee na mada nyingne

Sent from Gnet Phone using JamiiForums
 
ERC90tXXkAA5JG8

ERdf3NLWsAI3raI

ERdf3NaXkAAcD9N

ERdf3NxWkAAn3j4

MY TAKE
I see a better drainage system for SGR Tanzania than for SGR Kunyaland and SGR Ethiopia!

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 asvptx

Station zenu zinafanana na banda la kuku.
 
Tanzania has 3 ports, they dont depend solely on their central transport corridor (Train +roads)like kenya does on its mombasa-Nairobi-kisumu corridor.
Their SGR will have more free capacity to carry lucrative long range goods to neigbouring countries while kenya still has to haul cargo to nairobi..Thats the logic thats how TZ wins transit goods war
Congo and Rwanda are shitholes. That route is not profitable at all. Kenya is better off with its Uganda route.
 
Tukiwaambia humu hawasikii zaidi ya kutumia nguvu nyingi kuandika insha zisizo na umuhimu wala maana yoyote.
 
We tumbili ya slum kwani reli yetu imekamilika hiko kipande ni cha kujengwa chini ya week 3 tu kazi kwisha

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbna basi hakijajengwa, ina maana kilikua hakipo kwnye ramani..
Sio nynnyi mlikua hamjui km hapo mahali patajengwa reli ya aina gani, eti sai baada ya kuona tweet mnajikuta wanenguaji hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hapo ni akili simple tu kwamba kipande che port hakiwezi jengwa atleast mpaka upenuzi ufikie point flan, halafu kile ni km hata kumi hazifiki so hakita take long time tuendelee na mada nyingne

Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Hahaaa!!kwhyo mtanzindua mradi nusu nusu sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbna basi hakijajengwa, ina maana kilikua hakipo kwnye ramani..
Sio nynnyi mlikua hamjui km hapo mahali patajengwa reli ya aina gani, eti sai baada ya kuona tweet mnajikuta wanenguaji hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
Buda, njia ambayo reli inatakiwa kujengwa kuna mradi mwingine unaendelea. Kuna ujenzi wa daraja jipya la magari ambapo chini reli ndiyo inapita.
Wasingeweza kujenga reli kabla ya kufikia hatua fulani ya ujenzi wa daraja.
 
Muulize reli yao ya SGR Mombasa port ilianza kutumika lini?
 
Back
Top Bottom