komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Duh!!mjuaji ni mjuaji, yani unataka kuelewesha kw pumba zako mwnywe[emoji1787]haya nieleweshe ni vp SGR yenu yenye limit kwa wagon zenye axle load 4 na kila moja ina uzito wa 25 tons zinaweza kubeba cargo zaidi ya SGR Tanzania yenye axle load limit 35 tons na ni nne pia kwa kila wagon! Yet ur SGR ina speed limit at 80 km/h for cargo in comparison to 120 km/h for Tanzania's! Zaidi ya hapo SGR Tanzania ina provision ya kuunga treni za urefu wa 2 km ukiacha double stack! Endeleeni kudanganywa na Mchina!
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096
Sent using Jamii Forums mobile app