Nipo serious kabisa.
Show us wapi itapita njia ya SGR Kutoka bandarini na itaungana wapi ? Buguruni ? Pugu? Soga?
Tangu juzi nime kupeni challange wapi kipande hicho kitakua joined hamna jawabu.
Au ndio philosophy ya mradi kuacha kitendawili tega
Hamko serious
Hata kuipeleka SGr mwanza ni umimi tu nyumbani kwanza but sio sababu za kiuchumi haswa.
Mtaelewa tu
Sent from my iPad using JamiiForums
Nipo serious kabisa.
Show us wapi itapita njia ya SGR Kutoka bandarini na itaungana wapi ? Buguruni ? Pugu? Soga?
Tangu juzi nime kupeni challange wapi kipande hicho kitakua joined hamna jawabu.
Au ndio philosophy ya mradi kuacha kitendawili tega
Hamko serious
Hata kuipeleka SGr mwanza ni umimi tu nyumbani kwanza but sio sababu za kiuchumi haswa.
Mtaelewa tu
Sent from my iPad using JamiiForums
Tanroads, Japanese firm in road dealUnajua Sgr itapita under new Gerezani Bridge, unajua, ukilazimisha unavotaka wewe unajisumbua tu, Sgr ujue wanaweza kuamua ipite hata viwandani, kurasini, nk, lkn unatakiwa kuelewa Sgr iko planned
Sent from Gnet Phone using JamiiForums
5.33 "waJapani wakasema hapana"Unajua Sgr itapita under new Gerezani Bridge, unajua, ukilazimisha unavotaka wewe unajisumbua tu, Sgr ujue wanaweza kuamua ipite hata viwandani, kurasini, nk, lkn unatakiwa kuelewa Sgr iko planned
Sent from Gnet Phone using JamiiForums
plan-less kivipi wakati wao ndo waliwaleta waka-survey na wakaja na design mpya ya daraja? Najua umenuna kuona evidence ya SGR kufika bandarini! Daraja linajengwa as u r reading my post!5.33 "waJapani wakasema hapana"
Sentensi kama hizi zinanikoroga sana!! inaonyesha viongozi ni plan-less kabisa
plan-less kivipi wakati wao ndo waliwaleta waka-survey na wakaja na design mpya ya daraja? Najua umenna kuona evidence ya SGR kufika bandarini! Daraja linajengwa as u r reading my post!
Umeenda mbali.... nimeongelea tu kauli nilionukuu. Mfano Ukiwa baba mwenye nyumba ukaenda kukopa hela kwa kakako kumnunulia mtoto zawadi ya baiskeli, Kakako akakushauri badala ya baiskeli mnunulie mpira. Je utarudi kwa mtoto uripoti eti babako mkubwa kasema hapana? Its all am sayingplan-less kivipi wakati wao ndo waliwaleta waka-survey na wakaja na design mpya ya daraja? Najua umenna kuona evidence ya SGR kufika bandarini! Daraja linajengwa as u r reading my post!
You are raising very valid points... sioni wakikujibu!!!Na kwa sababu wali over look kutokana na kukurupuka basi hicho kipande bado kinatafutiwa wapi kiungwe.
Kwani tukikubali tumekosea tutakufa ?
Tangu mwanzo hakuna mchoro wowote wala usanifu yakinifu wa hicho kipande chenu.
YAPI’s environmental impact assessment report haigusii kabisa hicho kipande chenu cha dhahabu.
I challenge you kutoa njia , michoro na vipi kitaunganishwa na main Tracks kutoka Main station.
Ninafahamu pale Kwala kibaha inajengwa Inland port na mizigo yote kutoka bandarini itapelekwa hapo kwa reli ya zamani inayo fanyiwa ukarabati.
Transit cargo kwenda Uganda na mizigo ya Moro , Dodoma, na Maanza ! Ndio itapakiwa kwa SGR kuanzia hapo.
Na ile ya Rwanda , DRC , Zambia na Burundi itapakiwa hapo na Magari kama kawaida.
Kawailizeni tena TRC kama haya sio kweli .
SGR haitopita Bandari kwa kusahau na pia kwa sasa sio muhimu kwani nchi zinazotumia sana Bandari yetu ni
Zambia
DRC
Rwanda
Malawi
Huko Uganda cargo yao inayopitia Dar ni michache sana. Na hatutarajii kama watabadilisha mjia kutoka Mombasa ambako njia ni fipi zaidi na efficient ya MSA port ni bora zaidi.
Kwa sasa ujenzi kulekea Rwanda utachukua may another 10years kwani Rwanda wenyewe hawako tayari kuwekeza gharama kubwa labda tuwapekee mpaka mlangoni.
Miradi hii ni mizuri na mawazo yalikua mazuri lakini yamefanyika kwa ego ya kisiasa.
Sent from my iPad using JamiiForums
You nailed it man. The man can now relax and smile.mawazo yako yapo sahihi budda, unaweza kulala sasa!
hujielewi mzee kujenga bridge si kununua biskuti! Mawazo yako pelekea serikali ya Kikunya inayojenga SGR halafu hamna access road to the train station! That's a true plan-less!Umeenda mbali.... nimeongelea tu kauli nilionukuu. Mfano Ukiwa baba mwenye nyumba ukaenda kukopa hela kwa kakako kumnunulia mtoto zawadi ya baiskeli, Kakako akakushauri badala ya baiskeli mnunulie mpira. Je utarudi kwa mtoto uripoti eti babako mkubwa kasema hapana? Its all am saying
Pumbavu!!... nani kaongelea kujenga bridge?. Siwajibiki na uelewa wako mdogo!hujielewi mzee kujenga bridge si kununua biskuti! Mawazo yako pelekea serikali ya Kikunya inayojenga SGR halafu hamna access road to the train station!
Nairobi - Nanyuki (approx 200km) MGR rehabilitation begins in earnest!
This BRT highway will connect to Gerezani/Kkoo n have a design to cater for SGR line to Dar port via an underpass!Unajua Sgr itapita under new Gerezani Bridge, unajua, ukilazimisha unavotaka wewe unajisumbua tu, Sgr ujue wanaweza kuamua ipite hata viwandani, kurasini, nk, lkn unatakiwa kuelewa Sgr iko planned
Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Unajua Sgr itapita under new Gerezani Bridge, unajua, ukilazimisha unavotaka wewe unajisumbua tu, Sgr ujue wanaweza kuamua ipite hata viwandani, kurasini, nk, lkn unatakiwa kuelewa Sgr iko planned
Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Acha siasa, tatizo lako nikupenda ubishi usio na msingi halafu hutaki kueleweshwa na watu wanaoelewa haya mambo kiundani. Usipokuwa mstaarabu soon tutaanza kuignore maswali yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo jamaa ana amini kwa imani yake alivyoelewa.....Sasa crabat, umeshaekewa mpaka video ya kukuonesha kwamba sgr ya kutoka bandarini ipo na hata kama haijengwi sasa hivi lakini plan yake iko in place lakini wewe bado waendelea kubisha tu.
Sasa tukuelewe vipi mzee?
Sent using Jamii Forums mobile app
Video ni mradi wa dart.Sasa crabat, umeshaekewa mpaka video ya kukuonesha kwamba sgr ya kutoka bandarini ipo na hata kama haijengwi sasa hivi lakini plan yake iko in place lakini wewe bado waendelea kubisha tu.
Sasa tukuelewe vipi mzee?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo hana tofauti na wale waliowahi kusema tuonyesheni kilometer 1 ya reli, leo hii kilometer 1 zipo ila hawaulizi tena utadhan hawakuwahi kuuliza. So mwacheni alivyo, wala msibishane nae, mda tu ndo utamprove wrong! Kubishana nae ni kupoteza mda.