Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hivi mgr nayo kwa nini wasiiwekee zege na mifereji pande zote mbili kuzuia reli kusombwa na maji na tuta kutitia mara kwa mara
tapatalk_1586689036037.jpg

Sent
 
Nina mawazo
1. Kwanza kabisa naona MGR bado tunaihitaji kwa muda mrefu tu mpaka pale SGR itakapokuwa na double track. Ukarabati unaofanyika wa dsm-isaka, ufanyike njia nzima including ya moshi mpaka Arusha, kisha wanunue behewa za kisasa vituo vikarabatiwe na ikiwezekana iwekewe umeme.

2.Magufuli akifanikiwa kujenga SGR yote kwa njia ya kati au kuacha angalau kipande cha kigoma na Rukwa wakimalizia ujenzi kipindi anaondoka, basi Raisi ajae ajenge ile ya kusini na hii ya kwenda moshi na Arusha. Hii nimechukulia kama watakuwa wakitangaza zabuni phase moja kila mwaka.

3. Napendekeza kuwepo na njia SGR itakayotoka Arusha kwenda Mbeya kupitia Dodoma na Iringa. Faida ya reli wazungu wametukalilisha kwenye mizigo tu, tena iwe inaenda au kutoka nje ya nchi, but watu wakiweza kumove kwa urahisi ndani ya nchi ni faida kubwa isiyoweza kupimwa kwa pesa maana faida yake si ile ya moja kwa moja, tukilink miji yetu mikubwa kwa SGR, watu wanaweza kuwa wanabadilisha treni Dodoma.
UK wanampango wa kujenga high speed rail kulink miji mikubwa ya London, Birmingham na Manchester, si kwamba hamna reli bali ipo ila wanataka watu wasafiri kwa haraka zaidi na hii ni special kwa abiria tu, sasa kama abiria hawana faida kwa nini wajenge reli ya gharama sana tena kwa ajili ya abiria tu.

Ni hayo kwa Leo.
 
Pamoja na kuwa idea ya kujenga SGR ni nzuri lakini si Kenya wala Tanzania yenye uwezo wa kipesa wa kujenga SGR.

SGR ya Tanzania itaishia hewani kama ya Kenya.

Wazo zuri lilikuwa ni kuimarisha MGR kama ilivyoshauriwa na World Bank na kuachana na SGR hadi nchi iwe na uchumi wa kueleweka. Ukweli ni kwamba SGR zote za Kenya na Tanzania ni white elephants.

Sababu zilizofanya MGR na TAZARA ziwe loss-making ndiyo hizo hizo zitafanya SGR iwe loss-making.
 
Hujiamini hata jinsia yako pia huiamini
 
Uchumi wa kueleweka ndo level gani bro?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu hoja mzee.
Hoja gn ya maana uliyoisema zaidi ya mawazo ya kiafrika ya pessimistic daily, yn unatumia data za nchi nyingine ku conclude kuwa sgr bongo itafeli so people like u are not needed in the soul of new Africa ( Tanzania mpya) hv mnajua kwnn mnaitwa nyani? Co kwmb mnafanana na nyani hapana bali ni mawazo ya kinyani kusubiri wazungu wafanye zen muanze kucfia, hata wachina wameshawastukia nao wanaanza kuwaita nyani
 
Jibu hoja mzee.
Kuwa na moyo wa kuthubutu na ndiyo Afrika itaendelea co mawazo ya kufeli km mliyonayo nyie eti hatuwezi kujenga sgr wkt unaona inajengwa yn asilimia kubwa ya waafrika ni very stupid and they don't believe in themselves very very stupid people on Earth
 
Uchumi wa kueleweka ndo level gani bro?

Sent using Jamii Forums mobile app

Nchi inakusanya kodi ya kutosha na kuwa na kipato cha kueleweka. Kinyume na hapo tunabebesha nchi zetu madeni yasiyolipika.
Hoja gn ya maana uliyoisema zaidi ya mawazo ya kiafrika ya pessimistic daily, yn unatumia data za nchi nyingine ku conclude kuwa sgr bongo itafeli so people like are not needed in the soul of new Africa ( Tanzania mpya) hv mnajua kwnn mnaitwa nyani? Co kwmb mnafanana na nyani hapana bali ni mawazo ya kinyani kusubiri wazungu wafanye zen muanze kucfia, hata wachina wameshawastukia nao wanaanza kuwaita nyani

Why MGR and TAZARA failed? I'm realistic, not pessimistic.
Tunajidanya wenyewe kama tunaamini kuwa tunaweza kujenga km 2000 za SGR.

We're not economically capable of doing that project. We just keep on borrowing huge amount of money that we cannot afford to pay back .
 
Nchi inakusanya kodi ya kutosha na kuwa na kipato cha kueleweka. Kinyume na hapo tunabebesha nchi zetu madeni yasiyolipika.

Why MGR and TAZARA failed? I'm realistic, not pessimistic.
Tunajidanya wenyewe kama tunaamini kuwa tunaweza kujenga km 2000 za SGR.

We're not economically capable of doing that project. We just keep on borrowing huge amount of money that we cannot afford to pay back .
Ngj nkuulize swali, je unadhani tunaweza kujenga MGR?
 
Hatuna uwezo wa kujenga MGR ila kuna mkopo wa World Bank unatumia kukarabati MGR.

Kukarabati MGR ni nafuu, ingawa haifiki specifications za SGR lakini inatosha kabisa kukidhi mahitaji ya nchi kwa miaka mingi ijayo.
 
maendeleo hayamngojei mtu mzee,,,kama upo hivyo.....utafel sana

endelea kungojea mpaka uwe na mtaji wa milion 80 wa kujenga nyumba yako ya kuishi "

wakati hiyo million 50 uliyonayo inauwezo wa kujenga nyumba nzuri ya kisasa na nyingine ikabaki na ukafanyia biashara ambayo itaweza kuzalisha upya million 50....na mwisho wa siku ukaweza kuifikia hiyo million 80 nakuipita

Sent using Jamii Forums mobile app

Linganisha gharama ya kujenga SGR na kodi tunayokusanya. Pia mradi huu hautakuja kurudisha gharama za ujenzi wake.

Tungejiuliza kwa nini tumefeli kwenye MGR na TAZARA kabla ya kuwa na ndoto kubwa zisizo na uhalisia.
 
Hatuna uwezo wa kujenga MGR ila kuna mkopo wa World Bank unatumia kukarabati MGR.

Kukarabati MGR ni nafuu, ingawa haifiki specifications za SGR lakini inatosha kabisa kukidhi mahitaji ya nchi kwa miaka mingi ijayo.
Tuchukulie kwamba wasingetujengea hyo MGR hao unaoamini kuwa ndio wenye uwezo, je tungefanyaje? Au tungeacha tuwasubr watujengee au tungepotezea tu tusiwe na reli cz hatuna uwezo!!
 
Linganisha gharama ya kujenga SGR na kodi tunayokusanya. Pia mradi huu hautakuja kurudisha gharama za ujenzi wake.

Tungejiuliza kwa nini tumefeli kwenye MGR na TAZARA kabla ya kuwa na ndoto kubwa zisizo na uhalisia.
Unaposema MGR na tazara zimefeli unamaanisha nini kwamba hazifanyi kazi au unamaanisha nini
 
Na unaposema mradi hautakuja kurudisha gharama unamaanisha kwamba mradi huu utakuwepo kwa miaka kadhaa zen utafutika c ndio
 
TAZARA kila siku wanalia njaa. Reli hizo hata kufanya ukarabati wa mara kwa mara tumeshindwa.

Treni zinatembea mwendo wa kinyonga, mizigo ya kubeba hakuna. Kwa ufupi zote ni loss-making.
 
So kwa maelezo yako ni kwamba reli hatuna uhitaji nazo c ndio?
 
Na unaposema mradi hautakuja kurudisha gharama unamaanisha kwamba mradi huu utakuwepo kwa miaka kadhaa zen utafutika c ndio

Reli zinahitaji ukarabati wa mara kwa mara na maintenance ili ziendelee kuwa na ufanisi. MGR na TAZARA ni mfano halisi wa watu kushindwa kufanya maintenance.

Kwa mapato kidogo tunayokusanya usitegemee miujiza kwenye SGR.

TAZARA ilikamilika mwaka 1975 lakini haina ufanisi tena.
 
Back
Top Bottom