kilam
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 2,092
- 2,128
So kwa maelezo yako ni kwamba reli hatuna uhitaji nazo c ndio?
Tunahitaji ndiyo maana nikasema kukarabati MGR peke yake ingekuwa suluhu kwa miaka mingi ijayo.
Hadi ifike Mwanza SGR uwe na zaidi ya TZS trillioni 20+, pesa hizi zitatoka wapi?
Kukarabati MGR hata TZS trillioni 1 haifiki.