Point zako ni nzuri sana nadhani hatuna plan nzuri jinsi SGR itavyorudisha investement and i think tumeifanya ahead of our time..tho kama inajengwa na itakuepo..watu kusafir kwa haraka na mizigo ni faida sana kwa uchumi na kama inatumia umeme wa kutosha amabao ni nafuu tuna haja gani ya kuhofu kama itaweza rudisha gharama za kujiendesha hata kama sio profitable?
Lets say juzi nimesafir na bus to mwanza ni masaa 18 imagine reducing those to 10hrs ..i could have used my extra 8hrs kwenda shambani au dukani au hotelin...
Barabara zinaharibika kila kukicha cause ya uzito wa magari
Ni kweli ilibidi tuwe na plan nzuri ya kuifanya SGR iwe profitable which we dont thts the only postive i can take .
But hela nahakika zipo..kwann tumenunua dreamliner instead of kuwekeza hizo pesa kwenye reli ?? Return za 787s sio leo wala kesho
2.Nmeona nikuulize hili swali cause umeweka dp ya Air Tanzania..do you think it was important kutumia 1trillion kununua 787s mbili?
Sent using
Jamii Forums mobile app