Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Nani kasema tunataka kujenga network yote ya sgr?

Ili SGR iwe na tija haina budi kufika nchi jirani ili kuongeza wingi wa mizigo.

Tungejitahidi kukuza uchumi wetu na kuongeza ukusanyaji kodi. Tukiwa na uchumi imara na kipato cha kutosha tunaweza kupata mkopo nafuu wa kujenga network yote ya SGR.
 
sikuzote mtu anakuwa yuko sahihi kwa anavyofikiria yeye. si kwamba anakuwa sahihi kwa hali halis ilivyo, akili yake inasema hatuwez kujenga saiz mpka miaka 50 ijayo.. hata mtoto wa darasa la kwanza anajua moja kutoa mbili haiwezekan!
Noted, na sitoendelea debating naye
 
Ili SGR iwe na tija haina budi kufika nchi jirani ili kuongeza wingi wa mizigo.

Tungejitahidi kukuza uchumi wetu na kuongeza ukusanyaji kodi. Tukiwa na uchumi imara na kipato cha kutosha tunaweza kupata mkopo nafuu wa kujenga network yote ya SGR.
Nimeshakupuuza mkuu
 
Update SGR Terminal Dar
1500x500

2362066_IMG_1586350884.066456.jpg

By Simon
Yani hko ndio kupigwa haswa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani hko ndio kupigwa haswa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ss kupigwa vp wkt huo ndiyo uwezo wetu, na ndiyo maana hata sgr yenu ina gharama kubwa kuliko yetu japokuwa yenu co ya umeme, ni kwasababu cc hatuna uwezo wa kununua vitu low quality kwa gharama kubwa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Minus mabehewa, vichwa na chuo pia juu

Sent using Jamii Forums mobile app
at $1.2 bln stil its less than 1/3 of what Kunyaland paid! unless u can prove to me those mitungi ya chang'aa costed $2.6 bln, u r a fool! BTW which chuo? did Chinese build a college for Railway in Kunyaland? Or u mean sending Kunyans for training in China? see below what a cool bill of $1.2 bln can do 👇

Tanzania to send railway staff overseas for training - Xinhua | English.news.cn
 
Nchi inakusanya kodi ya kutosha na kuwa na kipato cha kueleweka. Kinyume na hapo tunabebesha nchi zetu madeni yasiyolipika.

Why MGR and TAZARA failed? I'm realistic, not pessimistic.
Tunajidanya wenyewe kama tunaamini kuwa tunaweza kujenga km 2000 za SGR.

We're not economically capable of doing that project. We just keep on borrowing huge amount of money that we cannot afford to pay back .
Point zako ni nzuri sana nadhani hatuna plan nzuri jinsi SGR itavyorudisha investement and i think tumeifanya ahead of our time..tho kama inajengwa na itakuepo..watu kusafir kwa haraka na mizigo ni faida sana kwa uchumi na kama inatumia umeme wa kutosha amabao ni nafuu tuna haja gani ya kuhofu kama itaweza rudisha gharama za kujiendesha hata kama sio profitable?

Lets say juzi nimesafir na bus to mwanza ni masaa 18 imagine reducing those to 10hrs ..i could have used my extra 8hrs kwenda shambani au dukani au hotelin...

Barabara zinaharibika kila kukicha cause ya uzito wa magari

Ni kweli ilibidi tuwe na plan nzuri ya kuifanya SGR iwe profitable which we dont thts the only postive i can take .

But hela nahakika zipo..kwann tumenunua dreamliner instead of kuwekeza hizo pesa kwenye reli ?? Return za 787s sio leo wala kesho

2.Nmeona nikuulize hili swali cause umeweka dp ya Air Tanzania..do you think it was important kutumia 1trillion kununua 787s mbili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili SGR iwe na tija haina budi kufika nchi jirani ili kuongeza wingi wa mizigo.

Tungejitahidi kukuza uchumi wetu na kuongeza ukusanyaji kodi. Tukiwa na uchumi imara na kipato cha kutosha tunaweza kupata mkopo nafuu wa kujenga network yote ya SGR.
Yes hapa ni sawa..na kingine..inabidi tujenge viwanda vya kutosha humu kati kati ya route ya SGR ili tuwe na mizigo ya kutosha bila kutegemea sana hata nchi za nje

Mfano tukiwa na viwanda vingi Dodoma na Moro itakuwa ina umaana kwenye SGR
Kwahyo tujenge mazingira rafiki ya watu kujenga viwanda hii ikiendana na SGR itakuwa profitable tuweke EPZ za kutosha humu njian mwa SGr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SGR Dar Terminal (a bit old photo the building is almost complete with glasswork n viaduct already filled up with slabs)!
2367441_E7A374F7-9771-4A3E-90DF-469765C34F68.jpeg
 
Ss kupigwa vp wkt huo ndiyo uwezo wetu, na ndiyo maana hata sgr yenu ina gharama kubwa kuliko yetu japokuwa yenu co ya umeme, ni kwasababu cc hatuna uwezo wa kununua vitu low quality kwa gharama kubwa [emoji3][emoji3][emoji3]
Lkn mnauwezo wa kujenga vitu high quality kw kutumia low quality materials[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point zako ni nzuri sana nadhani hatuna plan nzuri jinsi SGR itavyorudisha investement and i think tumeifanya ahead of our time..tho kama inajengwa na itakuepo..watu kusafir kwa haraka na mizigo ni faida sana kwa uchumi na kama inatumia umeme wa kutosha amabao ni nafuu tuna haja gani ya kuhofu kama itaweza rudisha gharama za kujiendesha hata kama sio profitable?

Lets say juzi nimesafir na bus to mwanza ni masaa 18 imagine reducing those to 10hrs ..i could have used my extra 8hrs kwenda shambani au dukani au hotelin...

Barabara zinaharibika kila kukicha cause ya uzito wa magari

Ni kweli ilibidi tuwe na plan nzuri ya kuifanya SGR iwe profitable which we dont thts the only postive i can take .

But hela nahakika zipo..kwann tumenunua dreamliner instead of kuwekeza hizo pesa kwenye reli ?? Return za 787s sio leo wala kesho

2.Nmeona nikuulize hili swali cause umeweka dp ya Air Tanzania..do you think it was important kutumia 1trillion kununua 787s mbili?

Sent using Jamii Forums mobile app

Makosa makubwa yamefanyika kutaka kufanya miradi mingi mikubwa kwa mkupuo wakati pesa hazitoshi.

Matokeo ya kutawanya pesa hivyo ni kwamba unakuwa na miradi mingi isiyokamilika. Miradi isiyokamilika haizalishi chochote kama tunavyojionea hali ilivyo.

Hata daraja la Kigongo-Busisi, Stiegler's gorge n.k vingeweza kusubiri mtandao wa SGR ukamilike kwa asilimia kubwa.

Tunajipa moyo kuwa deni ni himilivu wakati kodi tunayokusanya ni kiduchu.
 
Back
Top Bottom