So kwa maelezo yako ni kwamba reli hatuna uhitaji nazo c ndio?
So unadhani sgr haitafika mwanza?Tunahitaji ndiyo maana nikasema kukarabati MGR peke yake ingekuwa suluhu kwa miaka mingi ijayo.
Hadi ifike Mwanza SGR uwe na zaidi ya TZS trillioni 20+, pesa hizi zitatoka wapi?
Ni 7bu zipi zimefanya tazara icwe na ufanisi?Reli zinahitaji ukarabati wa mara kwa mara na maintenance ili ziendelee kuwa na ufanisi. MGR na TAZARA ni mfano halisi wa watu kushindwa kufanya maintenance.
Kwa mapato kidogo tunayokusanya usitegemee miujiza kwenye SGR.
TAZARA ilikamilika mwaka 1975 lakini haina ufanisi tena.
So unadhani sgr haitafika mwanza?
Ni 7bu zipi zimefanya tazara icwe na ufanisi?
So unadhani sgr haitafika mwanza?
Mtoto wako akifeli darasa la saba unamuacha kwa sababu ni loss making?TAZARA kila siku wanalia njaa. Reli hizo hata kufanya ukarabati wa mara kwa mara tumeshindwa.
Treni zinatembea mwendo wa kinyonga, mizigo ya kubeba hakuna. Kwa ufupi zote ni loss-making.
Hiyo hesabu ya trilioni 20+ umetoa wapi? Naanza kuwa na wasiwasi na uelewa wakoTunahitaji ndiyo maana nikasema kukarabati MGR peke yake ingekuwa suluhu kwa miaka mingi ijayo.
Hadi ifike Mwanza SGR uwe na zaidi ya TZS trillioni 20+, pesa hizi zitatoka wapi?
Kukarabati MGR hata TZS trillioni 1 haifiki.
So u r waiting for wazungu waje wakwambie kwamba sgr is now needed in EA c ndyo?, na vp kuhusu jnhp c walikwambia kuwa ni uharibifu wa mazingira vp do you still agree with them?Angalia attachment hii kuona tathmini ya World Bank kuhusu SGR na East African Community.
https://africog.org/wp-content/uploads/2017/06/World-bank-Report-on-the-Standard-Gauge-Railway.pdf
View attachment 1417573
Mkuu huyu twende naye taratibu c unajua hawa ndiyo watanzania wale walioathiriwa na siasa majitaka za kina zzk, so twende taratibu ataelewa tuHiyo hesabu ya trilioni 20+ umetoa wapi? Naanza kuwa na wasiwasi na uelewa wako
Unajua maana ya neno "assumption" Kwa namna lilivyotumika hapo?Angalia attachment hii kuona tathmini ya World Bank kuhusu SGR na East African Community.
https://africog.org/wp-content/uploads/2017/06/World-bank-Report-on-the-Standard-Gauge-Railway.pdf
View attachment 1417573
So u r waiting for wazungu waje wakwambie kwamba sgr is now needed in EA c ndyo?, na vp kuhusu jnhp c walikwambia kuwa ni uharibifu wa mazingira vp do you still agree with them?
akili za kuambiwa changanya na za kwako!
ni sawa na una nia ya kujenga ghorofa, afu nakuambia achana na ghorofa huna uwezo huo
alfu ni haohao walikataza ujenzi wa Nyerere power plant.
Hiyo hesabu ya trilioni 20+ umetoa wapi? Naanza kuwa na wasiwasi na uelewa wako
Mtoto wako akifeli darasa la saba unamuacha kwa sababu ni loss making?
Nikuambie ww ndo ujiepushe maana mm huwa naamini ninachokiona co mtu aniletee makadirio ambayo hayaonekani, c waliwaambia mpk kufikia april kutakuwa na cases nearly 1000 za corona au umesahauAngalau hapo wazungu wana-make sense, jiepushe na maneno ya kupeana moyo ya wanasiasa.
Laiti kama hao wazungu mnaowaabudu wangelikuwa na moyo km wako czan km wangelifika hapo walipo, hv unadhani wazungu walianza kuwa na uwezo ndo wakajenga hyo miundombinu mnayoiona leo?Kipato chetu tunakijua, ni dhahiri kuwa hatuna uwezo wa kujenga network yote ya SGR labda baada ya miaka 50. Halafu Rwanda, Burundi na DRC wote hao hawawezi kujenga SGR hata kidogo.
Tunajitumbukiza kwenye madeni makubwa bila sababu ya msingi.
Angalia km zinazotakiwa kujengwa na wastani wa gharama ya kujenga SGR kwa km.
Mkuu Simon huyo jamaa anataka kupotosha ni vyema kumpuuza, kwn nani kasema tunataka kujenga network yote ya sgr kwa mkupuo?you’re right.
Nani kasema tunataka kujenga network yote ya sgr?Kipato chetu tunakijua, ni dhahiri kuwa hatuna uwezo wa kujenga network yote ya SGR labda baada ya miaka 50. Halafu Rwanda, Burundi na DRC wote hao hawawezi kujenga SGR hata kidogo.
Tunajitumbukiza kwenye madeni makubwa bila sababu ya msingi.
Laiti kama hao wazungu mnaowaabudu wangelikuwa na moyo km wako czan km wangelifika hapo walipo, hv unadhani wazungu walianza kuwa na uwezo ndo wakajenga hyo miundombinu mnayoiona leo?