How is it that you are supposedly an Engineer? If true, then you are embarrassing TZs construction industry.akili za kuambiwa changanya na za kwako!
ni sawa na una nia ya kujenga ghorofa, afu nakuambia achana na ghorofa huna uwezo huo
alfu ni haohao walikataza ujenzi wa Nyerere power plant.
Peleka upumbavu wa ujuaji! kwani umeambiwa kuna malipo yameshindikana kwenye miradi inayoendelea? FYI hii EA hakuna kiongozi mwenye mipango na mikakati bora zaidi ya JPM! Tanzania ni nchi pekee yenye miradi mikubwa na inayopangiwa budget ahead na inaendelea smooth kuanzia port expansion and modernization, to SGR to MGR rehabilitation, to lake ships rehabilitation and new construction to Julius Nyerere Hydropower project to hospitals construction! Sasa kama kuweka budget si plan, ni kitu gani unaongea hapa kama si ujinga! Labda utueleze mradi gani umeshindikana kulipwa!?Makosa makubwa yamefanyika kutaka kufanya miradi mingi mikubwa kwa mkupuo wakati pesa hazitoshi.
Matokeo ya kutawanya pesa hivyo ni kwamba unakuwa na miradi mingi isiyokamilika. Miradi isiyokamilika haizalishi chochote kama tunavyojionea hali ilivyo.
Hata daraja la Kigongo-Busisi, Stiegler's gorge n.k vingeweza kusubiri mtandao wa SGR ukamilike kwa asilimia kubwa.
Tunajipa moyo kuwa deni ni himilivu wakati kodi tunayokusanya ni kiduchu.
Naona haujanipa jibu kuhusu Air TanzaniaMakosa makubwa yamefanyika kutaka kufanya miradi mingi mikubwa kwa mkupuo wakati pesa hazitoshi.
Matokeo ya kutawanya pesa hivyo ni kwamba unakuwa na miradi mingi isiyokamilika. Miradi isiyokamilika haizalishi chochote kama tunavyojionea hali ilivyo.
Hata daraja la Kigongo-Busisi, Stiegler's gorge n.k vingeweza kusubiri mtandao wa SGR ukamilike kwa asilimia kubwa.
Tunajipa moyo kuwa deni ni himilivu wakati kodi tunayokusanya ni kiduchu.
naysayers wako wengi hata Air Tanzania inafanya nafuu kuliko KQ na Rwandair kipindi hiki cha corona na sababu ni numerous local routes ukilinganisha na hizo airlines mbili kudos to JPM decision to build paved runways across many regions in the country! Meawhile serikali hiihii inayoongelewa na naysayers imelipa fidia kwa watakaopisha BRT phase III! Ina maana mradi uko mbioni kutafuta mkandarasi!
Peleka upumbavu wa ujuaji! kwani umeambiwa kuna malipo yameshindikana kwenye miradi inayoendelea? FYI hii EA hakuna kiongozi mwenye mipango na mikakati bora zaidi ya JPM! Tanzania ni nchi pekee yenye miradi mikubwa na inayopangiwa budget ahead na inaendelea smooth kuanzia port expansion and modernization, to SGR to MGR rehabilitation, to lake ships rehabilitation and new construction to Julius Nyerere Hydropower project to hospitals construction! Sasa kama kuweka budget si plan, ni kitu gani unaongea hapa kama si ujinga! Labda utueleze mradi gani umeshindikana kulipwa!?
Unajua criteria ya kupewa tender ya mradi mkubwa kama huo? Unafikiri kampuni isiyo na uwezo wa kujenga bila kusimama inaweza kupewa mradi kama wa SGR? FYI malipo hufanywa na certificates of completion! Sasa wewe unayejua malipo yamechelewa leta evidence!Port expansion na MGR rehabilitation ni miradi ya Jakaya. Jakaya ndiye aliyefanya plan hadi kutafuta pesa kwa ajili ya miradi hiyo.
SGR Dar Moro imesuasua sababu ya ukosefu wa pesa, siyo mvua kama wanavyodanganya.
Bajeti zote za JPM ni hewa maana hazitekelezwi kwa hiyo hamna mantiki ya kuzijadili hapa.
Ndoto zetu zisizidi uwezo, mwisho wa miradi mikubwa isiyo na mpangilio ni kuchukua mikopo isiyolipika.
Unajua criteria ya kupewa tender ya mradi mkubwa kama huo? malipo hufanywa na certificates of completion! Sasa wewe unayejua malio yamechelewa leta evidence!
Port expansion na MGR rehabilitation ni miradi ya Jakaya. Jakaya ndiye aliyefanya plan hadi kutafuta pesa kwa ajili ya miradi hiyo.
SGR Dar Moro imesuasua sababu ya ukosefu wa pesa, siyo mvua kama wanavyodanganya.
Bajeti zote za JPM ni hewa maana hazitekelezwi kwa hiyo hamna mantiki ya kuzijadili hapa.
Ndoto zetu zisizidi uwezo, mwisho wa miradi mikubwa isiyo na mpangilio ni kuchukua mikopo isiyolipika.
Mkuu Gezaulole naomba huyo jamaa umpuuze tu nimegundua ana maneno ya mtaani sn, eti port expansion ni mradi wa jakaya na mbn pesa hazikutoka kipindi chake? Jakaya ni km viongozi waliotangulia huwezi kuwalinganisha na Jpm hata kdg japo ni muhimu nao kuwapa heshima yao lkn katu hawakai siti moja na jiwe katu nakwambia, hatuwezi kupata kiongozi wa kaliba ya Jpm kwa miaka mingi ijayo, mambo mengi tuliyodhani hayawezekani Magu kayafanya kuwa ya kawaida barabara za lami mitaani tena uswahilini zimejaa, wengine watakwambia kwmb ni World Bank, ss mbn hyo WB haikuwepo enzi za hao viongozi waliotangulia? Wengine wasio na fadhila wameanza kuambukizana misemo iliyokosha heshima kwa jemedari Jpm wanakuambia eti hakuna haja ya kumsifia Magu kwa kuwa anatimiza wajibu wake, Dah waafrika cc hatuna fadhila hata kdg laiti wangejua hizo pesa from WB Magu ana uwezo wa kuziweka mfukoni na hakuna kunguni yyte wa kumpigia kelele na isitoshe WaTz co wafuatiliaji wangekaa kmya tu, km hamuwezi kumpa heshima yake kwa aliyoyafanya mpk ss basi Mungu atatulani sn cc WaTz, hamuoni raia wa nchi zngne wanavyofanywa na viongozi wao mfano kenya tu hapo, acheni maneno maneno tumpe heshima yake Magu amejitahidi sana mzee wa watu.Unajua criteria ya kupewa tender ya mradi mkubwa kama huo? malipo hufanywa na certificates of completion! Sasa wewe unayejua malio yamechelewa leta evidence!
BTW unasema miradi ya JK mbona funds hazikutolewa kipindi chake? Mradi wa JK ni JNIA Terminal III ambao procurement yake ilikuwa na magumashi akafuta uchukuaaji mkopo wa pili wa phase II! Hamna kiongozi aliyetuingiza chaka kama JK! Hata mikataba ya Bagamoyo port na SGR ilikuwa na madudu!
Kwa upande wangu i view it differently..Air Tanzania naunga mkono ili mradi JPM aache kuleta Siasa kwenye uendeshaji wake. ATCL itakuwa na mchango mkubwa kiuchumi hasa ikiongeza safari nyingi za kimataifa.
Mfano, bila ya kufanya utafiti wowote JPM alipokuwa Katavi akaropoka Air Tanzania ianze kwenda Mpanda. Mtindo huu ni jeneza kwa ATCL.
FYI Kwa miradi mikubwa namna hii kampuni kama Yapi Merkezi lazma iwe na security fund incase malipo yanachelewa mradi usisimame! Sasa wakuambiwa na kumeza kama wewe endelea kulishwa majungu!Kama unamjua mtu yeyote anayehusika kwenye ujenzi huo unaweza kumuuliza.
Kwa upande wangu i view it differently..
I wanted air Tanzania expansion to be domestic and regionally based before going international
Lets say tungenunua Airbus A220 hata 4 kuzifanya ziwe 6 kabla ya kuchukua dreamliner
Kulikuwa hamna haja ya dreamliner 2 zinakaa tu zinabadilishana route za mumbai
Dreamliner moja inacost kama billion 500 tshs tunazo mbili which is 1 trillion..tungeongeza airbus 4 a220 alfu hela iliyobaki tungeipeleka Kwenye Phase nyingine ya reli lets say Mwanza -Isaka...au ingeenda kwenye mradi wa Nyerere hEp instead of kuchukua mkopo
Sent using Jamii Forums mobile app
wajuaji wengi as if mlifanya market research! Wabongo wajuaji mpaka mna-bore! So mnajua kuliko wakina Matindi waliokuja na expansion plan? Nani alitegemea kuwa mwaka 2020 kutakuwa na Corona China! Na wale watalii waliokuwa wamepata kuanzia nao route? wacheni upumbavu wa kuwa warahisi kulalamika na kutia ufundi wa kutoka vijiweni!Kwa upande wangu i view it differently..
I wanted air Tanzania expansion to be domestic and regionally based before going international
Lets say tungenunua Airbus A220 hata 4 kuzifanya ziwe 6 kabla ya kuchukua dreamliner
Kulikuwa hamna haja ya dreamliner 2 zinakaa tu zinabadilishana route za mumbai
Dreamliner moja inacost kama billion 500 tshs tunazo mbili which is 1 trillion..tungeongeza airbus 4 a220 alfu hela iliyobaki tungeipeleka Kwenye Phase nyingine ya reli lets say Mwanza -Isaka...au ingeenda kwenye mradi wa Nyerere hEp instead of kuchukua mkopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Gezaulole naomba huyo jamaa umpuuze tu nimegundua ana maneno ya mtaani sn, eti port expansion ni mradi wa jakaya na mbn pesa hazikutoka kipindi chake? Jakaya ni km viongozi waliotangulia huwezi kuwalinganisha na Jpm hata kdg japo ni muhimu nao kuwapa heshima yao lkn katu hawakai siti moja na jiwe katu nakwambia, hatuwezi kupata kiongozi wa kaliba ya Jpm kwa miaka mingi ijayo, mambo mengi tuliyodhani hayawezekani Magu kayafanya kuwa ya kawaida barabara za lami mitaani tena uswahilini zimejaa, wengine watakwambia kwmb ni World Bank, ss mbn hyo WB haikuwepo enzi za hao viongozi waliotangulia? Wengine wasio na fadhila wameanza kuambukizana misemo iliyokosha heshima kwa jemedari Jpm wanakuambia eti hakuna haja ya kumsifia Magu kwa kuwa anatimiza wajibu wake, Dah waafrika cc hatuna fadhila hata kdg laiti wangejua hizo pesa from WB Magu ana uwezo wa kuziweka mfukoni na hakuna kunguni yyte wa kumpigia kelele na isitoshe WaTz co wafuatiliaji wangekaa kmya tu, km hamuwezi kumpa heshima yake kwa aliyoyafanya mpk ss basi Mungu atatulani sn cc WaTz, hamuoni raia wa nchi zngne wanavyofanywa na viongozi wao mfano kenya tu hapo, acheni maneno maneno tumpe heshima yake Magu amejitahidi sana mzee wa watu.
wajuaji wengi as if mlifanya market research! Wabongo wajuaji mpaka mna-bore! So mnajua kuliko wakina Matindi?
Wewe umefanya market research ipi mpaka uje kutuambia atu hiki wamekosea hiki wameweza!?It looks like you're a paid agent. Tufunge mjadala kila mtu aamini anachoamini.
Unless uniambie ndege inaenda tupu tena na evidence! Huwezi kuniambia one or three times flights a week tena kwa dash inaleta hasara kuna wanunuzi wengi wa nafaka upande ule!Nani alipanga route ya Mpanda? Sidhani kama Ladislaus Matindi ana uhuru kwenye kazi yake.
Wewe umefanya market research ipi mpaka uje kutuambia atu hiki wamekosea hiki wameweza!?
Unaposema haiwezekani unapaswa kuja na mifano! Mradi huu umeshindikana mkandarasi kabwaga manyanga na si kwa kutumia hearsays navyojua mimi SGR phase I is over 80% phase II 30% JNHPP 30% Selander bridge over 30%! Ubungo interchange over 70%! MV Victoria and MV Butiama 100% Mwanza slipway 100%! Dar-Kibaha highway over 60%! Dar port, Tanga port and Mtwara port all over 60%, wakati Kigongo-Busisi ujenzi umeanza! Haya hapo sijataja DMDP, Miradi ya Dodoma Bus stand and market 100%, Dar Bus Stand >60%. Kuna viwanja vya ndege zisivyopungua tano viki-modernize runways!Hoja yangu kubwa ni uwezo wa kiuchumi wa nchi kumudu miradi yote hiyo. Haihitaji research kujua kuwa Tanzania na Kenya hazina uwezo wa kujenga SGR na wala hazikopesheki kiasi hicho cha pesa.
Unaposema haiwezekani unapaswa kuja na mifano! Mradi huu umeshindikana mkandarasi kabwaga manyanga na si kwa kutumia hearsays navyojua mimi SGR phase I is over 80% phase II 30% JNHPP 30% Selander bridge over 30%! Ubungo interchange over 70%! MV Victoria and MV Butiama 100% Mwanza slipway 100%! Dar-Kibaha highway over 60%! Dar port, Tanga port and Mtwara port all over 60%, wakati Kigongo-Busisi ujenzi umeanza! Haya hapo sichataja DMDP, Miradi ya DodomaBus stand and market 100%, Dar Bus Stand >60%
Ndio kitu ambacho naona huzitendei haki austerity measures za Dr Mpango na team yake zilizowezesha ku-sustain miradi! sijui kama unafahamu jinsi ya hii miradi inavyo-come about? Na displine inayoitajika kuiwezesha kuanza na kui-maintain! Usiwe kama demu unalalamika tu mzee unaongea bila concrete evidence! Wacha ujinga huo aisee!