Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kubeza jambo lolote ni rahisi sana,Jpm katika kipindi hiki cha miaka minne ya utawala wake amejitahidi kufanya mambo mengi kwa mkupuo na yanatekelezeka...

Katika kitu ambacho wachache hatujakipenda Ni ku freeze maslah ya watumishi no annual increment no nothing

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaeleweka hilo ila ilibidi afanye hivyo ni kama tulitoka vitani!
 
Inatofauti gani na hii? Sasa fanya mahesabu $23 bln out of a GDP of $67-70 bln! Uniambie what percent is that debt! i assure u is less than 36%! The lowest in the EAC!

Debt is within limits, says Tanzania

Kumbuka kuwa GDP hailipi madeni bali mapato yako. Halafu huwezi kuacha kulipa watu pensheni ili ujenge vitu usivyovimudu.
Sipingi ujenzi wa miradi hiyo ila timing yake siyo sahihi.
 
Kumbuka kuwa GDP hailipi madeni bali mapato yako. Halafu huwezi kuacha kulipa watu pensheni ili ujenge vitu usivyovimudu.
Sipingi ujenzi wa miradi hiyo ila timing yake siyo sahihi.
leta evidence debt servicing imeshindikana! Hilo la penseni kamueleze Kikwete aliyetumia fedha zenu za mafao kutekeleza miradi ya wizi! As a matter of fat mshukuru kupiga marufuku fedha za pension kufanya miradi ya Real estate na kuondoa wafanyakazi hewa! Na kupeleka mahakamani wahusika miradi ya wizi! Usiwe falafala mzee!
 

Sawa, mwambie JPM kabla ya kufanya mradi wowote ajue pesa atatoa wapi. Kuanzisha miradi mingi bila kujua pesa utapata wapi ndiyo unaishia kuwa na miradi mingi inayoishia hewani.

Kuna wakandarasi wengi wa ndani wanadhulumiwa ila ndiyo hawawezi kusema kitu.

Tumalize mjadala huu maana hatuwezi kufika mwisho.
 
Shule yako vp mshikaji? Acha kujiaibisha pitia budget uone miradi yote hutengwa fedha! Na isiyotengwa huanzishwa pale tu tunapopata mkopo!
 
Shule yako vp mshikaji? Acha kujiaibisha pitia budget uone miradi yote hutengwa fedha!

Kutenga pesa na kupeleka pesa ni vitu tofauti. Utekelezaji wa bajeti tokea 2016/2017 ni wa kusuasua.

Kuhusu shule sidhani kama inahusika hapa.
 
Kutenga pesa na kupeleka pesa ni vitu tofauti. Utekelezaji wa bajeti tokea 2016/2017 ni wa kusuasua.

Kuhusu shule sidhani kama inahusika hapa.
Tembea basi ..! Maana mpaka sasa hujanipa evidence ya mradi ulioshindwa kuendelea kwasababu ya malipo!
 
Tembea basi ..! Maana mpaka sasa hujanipa evidence ya mradi ulioshindwa kuendelea kwasababu ya malipo!

Angalia mapato na matumizi ya serikali kila mwezi ndiyo utaona uwezo wetu halisi.

We're unrealistically overambitious.
 
Tatizo jukwaa la siasa kule ndio source ya habari zao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
It looks like you're a paid agent. Tufunge mjadala kila mtu aamini anachoamini.
Yeah I am an agent of my lovely country, I can't stop educating some people who are seem to be visionary blind like u, japo unaonekana ni mzalendo lkn I can see kuna misamiati fulani ya kumezeshwa inakufanya usijiamini, all in all tuko pamoja na nikutoe hofu tu ni kwamba tunaweza.
 
Ndo mana nkakwambia uyo ana maneno ya kusikia lakini kwa ground mambo yanakwenda
 
Ndo mana nkakwambia uyo ana maneno ya kusikia lakini kwa ground mambo yanakwenda
kuna fursa Magu kamfinyia! Basi anafanya collateral damage kwa kila Magu anachofanya! Tabia hiyo mbaya kweli yuko so irrational! Yaani anamlaumu mpaka kwa madudu ya fedha za pension wakati Kikwete ndo aliidhinisha miradi mingi ya kijinga iliyodhoofisha pension funds!
 
amekopa kuliko Kikwete? Leta evidence!

Mine is here







Debt is within limits, says Tanzania
C umeona mkuu Geza maneno ya zzk yanatapikwa na huyu jamaa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu unamjibu vzr sn
 
kuna fursa Magu kamfinyia! Basi anafanya collateral damage kwa kila anachofanya! tabia hiyo mbaya kweli! Yaani anamlaumu mpaka kwa madudu ya fedha za pension wakati Kikwete ndo aliindinisha miradi mingi ya kijinga iliyodhoofisha pension funds!

Magu hajanifinyia kitu wala hana influence yoyote kwenye kipato changu.
 
Hapana bro..i see its almost you support evevrything ..a thing done was good..but at a wrong time..you cant be supporting everything.mit means hamna kitu kinakosewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…