Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kukopa bila kujali deni la Taifa linaongezeka kwa kiasi gani si jambo gumu. Kama huwa unasoma BOT Monthly Economic Review utaona namna madeni yanavyoongezeka kwa kasi.

Wastaafu wengi wa kuanzia mwaka jana hawapati pensheni hadi leo. Ujenzi wa miradi mikubwa lazima uwe sustainable bila kuathiri mambo mengine ya msingi.
amekopa kuliko Kikwete? Leta evidence!

Mine is here

Country-specific-trend-analysis-of-public-debt-versus-private-domestic-investment-in-EAC.png

https://www.theeastafrican.co.ke/bu...mits-Tanzania/2560-5408196-10c4mla/index.html
 
Kubeza jambo lolote ni rahisi sana,Jpm katika kipindi hiki cha miaka minne ya utawala wake amejitahidi kufanya mambo mengi kwa mkupuo na yanatekelezeka...

Katika kitu ambacho wachache hatujakipenda Ni ku freeze maslah ya watumishi no annual increment no nothing

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaeleweka hilo ila ilibidi afanye hivyo ni kama tulitoka vitani!
 
Inatofauti gani na hii? Sasa fanya mahesabu $23 bln out of a GDP of $67-70 bln! Uniambie what percent is that debt! i assure u is less than 36%! The lowest in the EAC!

Debt is within limits, says Tanzania

Kumbuka kuwa GDP hailipi madeni bali mapato yako. Halafu huwezi kuacha kulipa watu pensheni ili ujenge vitu usivyovimudu.
Sipingi ujenzi wa miradi hiyo ila timing yake siyo sahihi.
 
Kumbuka kuwa GDP hailipi madeni bali mapato yako. Halafu huwezi kuacha kulipa watu pensheni ili ujenge vitu usivyovimudu.
Sipingi ujenzi wa miradi hiyo ila timing yake siyo sahihi.
leta evidence debt servicing imeshindikana! Hilo la penseni kamueleze Kikwete aliyetumia fedha zenu za mafao kutekeleza miradi ya wizi! As a matter of fat mshukuru kupiga marufuku fedha za pension kufanya miradi ya Real estate na kuondoa wafanyakazi hewa! Na kupeleka mahakamani wahusika miradi ya wizi! Usiwe falafala mzee!
 
leta evidence debt servicing imeshindikana! Hilo la penseni kamueleze Kikwete aliyetumia fedha zenu za mafao kutekeleza miradi ya wizi! As a matter of fat mshukuru kupiga marufuku fedha za pension kufanya miradi ya Real estate! Na kupeleka mahakamani wahusika miradi ya wizi! Usiwe falafala!

Sawa, mwambie JPM kabla ya kufanya mradi wowote ajue pesa atatoa wapi. Kuanzisha miradi mingi bila kujua pesa utapata wapi ndiyo unaishia kuwa na miradi mingi inayoishia hewani.

Kuna wakandarasi wengi wa ndani wanadhulumiwa ila ndiyo hawawezi kusema kitu.

Tumalize mjadala huu maana hatuwezi kufika mwisho.
 
Shule yako vp mshikaji? Acha kujiaibisha pitia budget uone miradi yote hutengwa fedha! Na isiyotengwa huanzishwa pale tu tunapopata mkopo!
 
Shule yako vp mshikaji? Acha kujiaibisha pitia budget uone miradi yote hutengwa fedha!

Kutenga pesa na kupeleka pesa ni vitu tofauti. Utekelezaji wa bajeti tokea 2016/2017 ni wa kusuasua.

Kuhusu shule sidhani kama inahusika hapa.
 
Kutenga pesa na kupeleka pesa ni vitu tofauti. Utekelezaji wa bajeti tokea 2016/2017 ni wa kusuasua.

Kuhusu shule sidhani kama inahusika hapa.
Tembea basi ..! Maana mpaka sasa hujanipa evidence ya mradi ulioshindwa kuendelea kwasababu ya malipo!
 
Tembea basi ..! Maana mpaka sasa hujanipa evidence ya mradi ulioshindwa kuendelea kwasababu ya malipo!

Angalia mapato na matumizi ya serikali kila mwezi ndiyo utaona uwezo wetu halisi.

We're unrealistically overambitious.
 
Mkuu Gezaulole naomba huyo jamaa umpuuze tu nimegundua ana maneno ya mtaani sn, eti port expansion ni mradi wa jakaya na mbn pesa hazikutoka kipindi chake? Jakaya ni km viongozi waliotangulia huwezi kuwalinganisha na Jpm hata kdg japo ni muhimu nao kuwapa heshima yao lkn katu hawakai siti moja na jiwe katu nakwambia, hatuwezi kupata kiongozi wa kaliba ya Jpm kwa miaka mingi ijayo, mambo mengi tuliyodhani hayawezekani Magu kayafanya kuwa ya kawaida barabara za lami mitaani tena uswahilini zimejaa, wengine watakwambia kwmb ni World Bank, ss mbn hyo WB haikuwepo enzi za hao viongozi waliotangulia? Wengine wasio na fadhila wameanza kuambukizana misemo iliyokosha heshima kwa jemedari Jpm wanakuambia eti hakuna haja ya kumsifia Magu kwa kuwa anatimiza wajibu wake, Dah waafrika cc hatuna fadhila hata kdg laiti wangejua hizo pesa from WB Magu ana uwezo wa kuziweka mfukoni na hakuna kunguni yyte wa kumpigia kelele na isitoshe WaTz co wafuatiliaji wangekaa kmya tu, km hamuwezi kumpa heshima yake kwa aliyoyafanya mpk ss basi Mungu atatulani sn cc WaTz, hamuoni raia wa nchi zngne wanavyofanywa na viongozi wao mfano kenya tu hapo, acheni maneno maneno tumpe heshima yake Magu amejitahidi sana mzee wa watu.
Tatizo jukwaa la siasa kule ndio source ya habari zao 😂😂😂
 
It looks like you're a paid agent. Tufunge mjadala kila mtu aamini anachoamini.
Yeah I am an agent of my lovely country, I can't stop educating some people who are seem to be visionary blind like u, japo unaonekana ni mzalendo lkn I can see kuna misamiati fulani ya kumezeshwa inakufanya usijiamini, all in all tuko pamoja na nikutoe hofu tu ni kwamba tunaweza.
 
Unaposema haiwezekani unapaswa kuja na mifano! Mradi huu umeshindikana mkandarasi kabwaga manyanga na si kwa kutumia hearsays navyojua mimi SGR phase I is over 80% phase II 30% JNHPP 30% Selander bridge over 30%! Ubungo interchange over 70%! MV Victoria and MV Butiama 100% Mwanza slipway 100%! Dar-Kibaha highway over 60%! Dar port, Tanga port and Mtwara port all over 60%, wakati Kigongo-Busisi ujenzi umeanza! Haya hapo sijataja DMDP, Miradi ya Dodoma Bus stand and market 100%, Dar Bus Stand >60%. Kuna viwanja vya ndege zisivyopungua tano viki-modernize runways!

Ndio kitu ambacho naona huzitendei haki austerity measures za Dr Mpango na team yake zilizowezesha ku-sustain miradi! sijui kama unafahamu jinsi ya hii miradi inavyo-come about? Na displine inayoitajika kuiwezesha kuanza na kui-maintain! Usiwe kama demu unalalamika tu mzee unaongea bila concrete evidence! Wacha ujinga huo aisee!

BTW be prepared kulalamika ujenzi miradi ya Msalato na Dodoma Ring Highway ambayo wakandarasi wanatafutwa! Bila kusahau phase II ya ujenzi wa mahospitali! Binadamu haridhiki lakini!

Ndo mana nkakwambia uyo ana maneno ya kusikia lakini kwa ground mambo yanakwenda
 
Ndo mana nkakwambia uyo ana maneno ya kusikia lakini kwa ground mambo yanakwenda
kuna fursa Magu kamfinyia! Basi anafanya collateral damage kwa kila Magu anachofanya! Tabia hiyo mbaya kweli yuko so irrational! Yaani anamlaumu mpaka kwa madudu ya fedha za pension wakati Kikwete ndo aliidhinisha miradi mingi ya kijinga iliyodhoofisha pension funds!
 
amekopa kuliko Kikwete? Leta evidence!

Mine is here

Country-specific-trend-analysis-of-public-debt-versus-private-domestic-investment-in-EAC.png

Debt is within limits, says Tanzania
Kukopa bila kujali deni la Taifa linaongezeka kwa kiasi gani si jambo gumu. Kama huwa unasoma BOT Monthly Economic Review utaona namna madeni yanavyoongezeka kwa kasi.

Wastaafu wengi wa kuanzia mwaka jana hawapati pensheni hadi leo. Ujenzi wa miradi mikubwa lazima uwe sustainable bila kuathiri mambo mengine ya msingi.
C umeona mkuu Geza maneno ya zzk yanatapikwa na huyu jamaa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
leta evidence debt servicing imeshindikana! Hilo la penseni kamueleze Kikwete aliyetumia fedha zenu za mafao kutekeleza miradi ya wizi! As a matter of fat mshukuru kupiga marufuku fedha za pension kufanya miradi ya Real estate na kuondoa wafanyakazi hewa! Na kupeleka mahakamani wahusika miradi ya wizi! Usiwe falafala mzee!
Mkuu unamjibu vzr sn
 
kuna fursa Magu kamfinyia! Basi anafanya collateral damage kwa kila anachofanya! tabia hiyo mbaya kweli! Yaani anamlaumu mpaka kwa madudu ya fedha za pension wakati Kikwete ndo aliindinisha miradi mingi ya kijinga iliyodhoofisha pension funds!

Magu hajanifinyia kitu wala hana influence yoyote kwenye kipato changu.
 
wajuaji wengi as if mlifanya market research! Wabongo wajuaji mpaka mna-bore! So mnajua kuliko wakina Matindi waliokuja na expansion plan? Nani alitegemea kuwa mwaka 2020 kutakuwa na Corona China! Na wale watalii waliokuwa wamepata kuanzia nao route? wacheni upumbavu wa kuwa warahisi kulalamika na kutia ufundi wa kutoka vijiweni!
Hapana bro..i see its almost you support evevrything ..a thing done was good..but at a wrong time..you cant be supporting everything.mit means hamna kitu kinakosewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom