Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #8,541
Mda mwingine wanachelewaga mpka tare 15 ivi....watatoa ya vipande vyote viwili...naona uko na [emoji117][emoji91][emoji91]Hivi hawa Yapi wamegoma kabisa kutoa Updates za Mwezi wa 9? Everyday nachungulia channel yao ya youtube nakuta bila bila...hakuna namna ya kuwakumbusha, ukute washajisahau...Mwezi ushakata since their last Dar-Moro video upload.
Nimefanya Trend analysis nimeona hua wanawahi...km mwezi wa 7 walitoa terehe 19 , Mwezi wa 8 terehe 9...ya Moro to Dom ndo hua inachelewa for a week..Mda mwingine wanachelewaga mpka tare 15 ivi....watatoa ya vipande vyote viwili...naona uko na [emoji117][emoji91][emoji91]
Wakati mwingine huwa nafikiri serikali yetu inafanya biashara ****** maana hii spidi si ya kitoto.Usichojua ni kwamba hiyo meli itabeba SGR train kuipeleka Uganda! Yaani ni part n parcel of SGR across Lake Victoria!
The GoT is already having a plan of even more cargo wagons in the lake Victoria!
See a complete tender announcement
Sijaelewa hapa [emoji121][emoji121]Lile daraja nilijua tu wata bomoa lile pale kkoo nyerere road, walizingua
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Pale walipo toa machuma kwenye cable bridge?Lile daraja nilijua tu wata bomoa lile pale kkoo nyerere road, walizingua
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Atakuw anamanish lile cable bridge walivyo fungua zile beam za chumaSijaelewa hapa [emoji121][emoji121]
Tena nityping error wamelivunja loteAtakuw anamanish lile cable bridge walivyo fungua zile beam za chuma
Lile daraja la Sgr la kamba pale kkoowamevunja nn?
kwanini wamelivunja?
Sijui ila japo mm si mjenzi lkn niliona tu there was a mistake with that bridgekwanini wamelivunja?
Sijui ila japo mm si mjenzi lkn niliona tu there was a mistake with that bridge
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Mhh mbn ss wanataka kutuzingua ss hebu mwenye maelezo kamili atuwekee hapa, hz co hbr za kupuuzia hata kdg.
BTW huwa nashangaa pale kamata/gerezani intersection watawekaje flyover halafu kwa mbele kuelekea cocabs kuna cable stayed bridge na upande wa njia ya kuelekea gerezani kuna SGR viaduct? au watachimba underpass along K'koo Gerezani maana ndiyo plausible option kwangu mie?Mhh mbn ss wanataka kutuzingua ss hebu mwenye maelezo kamili atuwekee hapa, hz co hbr za kupuuzia hata kdg.