Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hivi hawa Yapi wamegoma kabisa kutoa Updates za Mwezi wa 9? Everyday nachungulia channel yao ya youtube nakuta bila bila...hakuna namna ya kuwakumbusha, ukute washajisahau...Mwezi ushakata since their last Dar-Moro video upload.
 
Mda mwingine wanachelewaga mpka tare 15 ivi....watatoa ya vipande vyote viwili...naona uko na [emoji117][emoji91][emoji91]
 
Mda mwingine wanachelewaga mpka tare 15 ivi....watatoa ya vipande vyote viwili...naona uko na [emoji117][emoji91][emoji91]
Nimefanya Trend analysis nimeona hua wanawahi...km mwezi wa 7 walitoa terehe 19 , Mwezi wa 8 terehe 9...ya Moro to Dom ndo hua inachelewa for a week..
Nna moto wa kuangalia progress ya matumizi ya kodi yangu na future ya taifa
.[emoji23][emoji23]
 
Usichojua ni kwamba hiyo meli itabeba SGR train kuipeleka Uganda! Yaani ni part n parcel of SGR across Lake Victoria!

The GoT is already having a plan of even more cargo wagons in the lake Victoria!

See a complete tender announcement
Wakati mwingine huwa nafikiri serikali yetu inafanya biashara ****** maana hii spidi si ya kitoto.
 
Mhh mbn ss wanataka kutuzingua ss hebu mwenye maelezo kamili atuwekee hapa, hz co hbr za kupuuzia hata kdg.
BTW huwa nashangaa pale kamata/gerezani intersection watawekaje flyover halafu kwa mbele kuelekea cocabs kuna cable stayed bridge na upande wa njia ya kuelekea gerezani kuna SGR viaduct? au watachimba underpass along K'koo Gerezani maana ndiyo plausible option kwangu mie?

Nimeskia kuna mpango wa kuinyanyua MGR! kuna video ya uzinduzi wa Ubungo interchange, Mfugale alikuwa anaeleza mpango wa kujenga viaduct ya MGR!
 
Back
Top Bottom