Sisi tumeanza kuexport 2,000 tonnes of processed tea through SGR na nyie yenu mnavunja kwa sababu ya poor planning? Maajabu ya MusaCome out of loss n start making profit while meeting debt obligations i. e. service ur debt!
Umepata cha kuongea? Unadhani contractor anavunja kwa amri ya nani? Na kwa gharama ya nani?Sisi tumeanza kuexport 2,000 tonnes of processed tea through SGR na nyie yenu mnavunja kwa sababu ya poor planning? Maajabu ya Musa
Tea factories haul Sh600m exports on SGR
Tea factories haul Sh600m exports on SGRwww.standardmedia.co.ke
Geza Ulole joto la jiwe naona SGR ya Kenya bado ni white elephant.
Tea factories haul Sh600m exports on SGR
Tea factories haul Sh600m exports on SGRwww.standardmedia.co.ke
CC: Tony254Court suspends State order on cargo transport via SGR
The 180-day suspension will enable the government, through its agencies, to regularise the order.nation.africa
Yaani ni vipi wewe uko more updated kuhusu kinachofanyika Kenya kunishinda? Ama huwa unasoma gazeti ya nation kila siku?Court suspends State order on cargo transport via SGR
The 180-day suspension will enable the government, through its agencies, to regularise the order.nation.africa
Uache kujitamba na huu mradi!Yaani ni vipi wewe uko updated kuhusu kinachofanyika Kenya kunishinda? Ama huwa unasoma gazeti ya nation kila siku?
Wacha tutaona kitakachofanyika. Serikali inaweza hata kuignore hio court order. Hata wakati SGR ilikuwa inajengwa, mahakama iliamua kutoa order ya kusimamisha ujenzi wa SGR lakini GOK ilipuuza hio court order na kuendelea na ujenzi.Uache kujitamba na huu mradi!
Na nyie ndo huwa mnajisifu kuwa na democracy sio wakati the rule of law hamna?Wacha tutaona kitakachofanyika. Serikali inaweza hata kuignore hio court order. Hata wakati SGR ilikuwa inajengwa, mahakama iliamua kutoa order ya kusimamisha ujenzi wa SGR lakini GOK ilipuuza hio court order na kuendelea na ujenzi.
Point hapa unavunja kwa sababu yako ati inaingiliana na flyover ya kamata.Unajua sehem iliyo vunjwa ? Mana unavyo ongea ni kama uko less informed
Na ww unaya jua matope [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakulia liaPoint hapa unavunja kwa sababu yako ati inaingiliana na flyover ya kamata.
Sasa hio akili matope ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Tanzania imechanganyikiwa sana. Hio poor planning inafanya mvunje sehemu ya daraja ya SGR? Serikali yenu haijui inachofanya. Sasa mradi huu ambao ulikuwa uzinduliwe mwaka uliopita sasa hautazinduliwa mwaka huu. Yaani 200 km ya reli imeshinda hio serikali yenu kujenga? Waafrika tunapenda mchezo sanaPoint hapa unavunja kwa sababu yako ati inaingiliana na flyover ya kamata.
Sasa hio akili matope ?
Sent using Jamii Forums mobile app
99.99% ya wakenya waliopo jamiiforums hawako updated kuhusu nchi yao na ndio maana wengi wamekalia ubishi wa kijinga na kutetea ujinga unaoendelea nchini kwao,Yaani ni vipi wewe uko more updated kuhusu kinachofanyika Kenya kunishinda? Ama huwa unasoma gazeti ya nation kila siku?
Kwa hiyo "best constitution in Africa" inawasaidia nn Kama. Serikali haitii mamlaka ya mahakama jirani!?Wacha tutaona kitakachofanyika. Serikali inaweza hata kuignore hio court order. Hata wakati SGR ilikuwa inajengwa, mahakama iliamua kutoa order ya kusimamisha ujenzi wa SGR lakini GOK ilipuuza hio court order na kuendelea na ujenzi.
Kwani mm ni mwandishi wa gazeti la Nation?Yaani ni vipi wewe uko more updated kuhusu kinachofanyika Kenya kunishinda? Ama huwa unasoma gazeti ya nation kila siku?
Waah hii mpaka 2022,October's Update: electric SGR Dar-Moro 90% n counting!
Kazi iliyofanywa ni kubwa kuliko hyo unayosema ww, hyo unayosema ww ni km kumsukuma mlevi vilee.Waah hii mpaka 2022,
Vitu mob bado including Fencing, pedestrian flyover kwa stations, etc