Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Uache kujitamba na huu mradi!
Wacha tutaona kitakachofanyika. Serikali inaweza hata kuignore hio court order. Hata wakati SGR ilikuwa inajengwa, mahakama iliamua kutoa order ya kusimamisha ujenzi wa SGR lakini GOK ilipuuza hio court order na kuendelea na ujenzi.
 
Na nyie ndo huwa mnajisifu kuwa na democracy sio wakati the rule of law hamna?
 
Point hapa unavunja kwa sababu yako ati inaingiliana na flyover ya kamata.
Sasa hio akili matope ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Tanzania imechanganyikiwa sana. Hio poor planning inafanya mvunje sehemu ya daraja ya SGR? Serikali yenu haijui inachofanya. Sasa mradi huu ambao ulikuwa uzinduliwe mwaka uliopita sasa hautazinduliwa mwaka huu. Yaani 200 km ya reli imeshinda hio serikali yenu kujenga? Waafrika tunapenda mchezo sana
 
Yaani ni vipi wewe uko more updated kuhusu kinachofanyika Kenya kunishinda? Ama huwa unasoma gazeti ya nation kila siku?
99.99% ya wakenya waliopo jamiiforums hawako updated kuhusu nchi yao na ndio maana wengi wamekalia ubishi wa kijinga na kutetea ujinga unaoendelea nchini kwao,

Na wale wachache waliopo updated wamekalia upotoshaji, propaganda na uwongo,

Na hampendi kujifunza na ndio maana media na wanasiasa wenu huwa wanawapatia mnoo kuwadanganya.
 
Wacha tutaona kitakachofanyika. Serikali inaweza hata kuignore hio court order. Hata wakati SGR ilikuwa inajengwa, mahakama iliamua kutoa order ya kusimamisha ujenzi wa SGR lakini GOK ilipuuza hio court order na kuendelea na ujenzi.
Kwa hiyo "best constitution in Africa" inawasaidia nn Kama. Serikali haitii mamlaka ya mahakama jirani!?
 
Back
Top Bottom