joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kwahiyo unekubali kwamba Kenya imeachwa mbali sana katika idadi ya Engineers na Tanzania?, Hivyo hivyo katika idadi ya Doctors na Lawyers, tunewapita kwa mbali sanaOk, hapa nimesurrender. Ningekuwa engineer ningeendelea na argument but bahati mbaya I'm not one and I can't access the portal ya Kenyan side[emoji1787][emoji1787]
Nimekuambia Kenya has 2 times the number of Engineers as Tanzania. Kama unapinga leta ya Tanzania alafu nilete ya Kenya.
kwa style hii,,,engeneers wenu ni kiboko,,,kweli mna maengeneer wengi tena bora dunia nzima tunatambua....[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe huoni aibu kuwa nchi ya watu 60 million kuna engineers 400 pekee?[emoji1787][emoji1787]
turudi hapa[emoji23][emoji23] nimeleta ya Tanzania, haya ya kenya iko wap[emoji23][emoji23]
tuko vizuri kwa huo upande.....msiguseWazee wa kuficha ishu zao za millitary, mpka oder wanaficha kule armoury wanaachiwa wanachukua vitu kisiri alafu wanafanya kulipa hela tu[emoji1787][emoji1787]
Registered consulting engineers ni 433. That's now 17,101 + 433turudi hapa[emoji23][emoji23] nimeleta ya Tanzania, haya ya kenya iko wap[emoji23][emoji23]
Registered professional engineers ni 2,067.turudi hapa[emoji23][emoji23] nimeleta ya Tanzania, haya ya kenya iko wap[emoji23][emoji23]
Registered professional engineers ni 2,067.
Now let's add
uachage ujinga,huwa mnajitutumua kwa vitu ambavyo hamna huwa mnadanganyana sana...[emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji1787][emoji1787]Ok, hapa nimesurrender. Ningekuwa engineer ningeendelea na argument but bahati mbaya I'm not one and I can't access the portal ya Kenyan side[emoji1787][emoji1787]
uachage ujinga,huwa mnajitutumua kwa vitu ambavyo hamna huwa mnadanganyana sana...[emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji1787][emoji1787]
huwa mnapenda kuzungumzia vitu msivyovijua kwa kuokota okota vilink uchwara......
endeleeni tu,,mwanzo nilikuambia kwa kukukejeri kuwa hata kwenye millionaires mlijitia vidole hivyo hivyo
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16] ni mpuuzi sana yaani wakenya ni kunguni kabisa huwa wanacreate vilink uchwara kisha huwa wanachukulia kama ni real evidence bila kuangalia hali halisi iliyopo ndani ya nchi yao......ndiyo maana wanaishia kuumbuka tu,,,,ashabadili gear tayar [emoji23][emoji23].. eti wapo 19,000+ wakat mwanzo alisema wapo 2000 [emoji23][emoji23]
sasa ivi umetoka kwenye 2000 engeneers umepaa kama yesu umefikisha 19,000 engeneers..[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Registered professional engineers ni 2,067.
Now let's add
17,101 + 433+ 2,067 = 19,601.
So mmetushinda na 950 engineers and remember these are 2019 figures wakati zako ni 2020.
Watu wazima mnabishania utoto,
Ati number za registered engineers!!!
3rd world mentality.
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16] ni mpuuzi sana yaani wakenya ni kunguni kabisa huwa wanacreate vilink uchwara kisha huwa wanachukulia kama ni real evidence bila kuangalia hali halisi iliyopo ndani ya nchi yao......ndiyo maana wanaishia kuumbuka tu,,,,
usidiscuss. na huyo kichaa kizuri ni mweupe sana hajui hata anachokizungumza mara 2000 sasa ivi karuka yupo 19,000 na anaongelea habari za kuadd
huyo ilibidi tumchore tu aendelee na ujinga wake......at least nimemfungua ubongo.. [emoji23][emoji23].. either aendelee kuwadanganya wenzie Tanzania kuna maengineers 400 tu afu wao wapo 2000
Wao wana only 2000 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]hii mada imenipita.. mnaweza kuirudia tena?? hapa umeingia 18 zangu
View attachment 1637933
Aliambiwa na joto la jiwe akawa mbishi, ss hapo umemuonesha 20550 wkt wao wana only 2000 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji205][emoji205][emoji205]www.erb.go.tz
au
registration.erb.go.tz
karibu kwa maswal mengine
wazee huyu kwenye hii sector hachomoki [emoji23][emoji23]
kaingia kwenye 18 za watu[emoji23]
jamaa kashatoka uko sasa hivi kahama huku anasema kuwa wapo 19,000 engeneers,,,,yaani anahangaika kugoogle nondo kwa kutafuta link uchwara kinachotokea sasa kila link anayoipata inakuwa ni tofauti na vilink alivyovitafuta nyuma.....Wao wana only 2000 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
Hahahaha Teargass I told you don't mess with that nigga [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ok, hapa nimesurrender. Ningekuwa engineer ningeendelea na argument but bahati mbaya I'm not one and I can't access the portal ya Kenyan side[emoji1787][emoji1787]