Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #9,201
Hakuna kitu km diesel sgr wala electrical sgr..That's a track length i.e. 250km of main line plus 91 km of parallel length! At a cost of $1.3 bln for electrical SGR!
Mind you Nairobi-Naivasha diesel SGR was 120 km and built at a cost of $1.5 bln!
Mumewaajiri wapi mnataka mkopoTumewaajiri wajenge tunawalipa sasa support from China kivipi ?propagandists wakikenya wanaboa
Wakenya wana ushamba mwingi sana na ndo wanaotukwamisha EA kwnd mbele. Wanataka kuongoza wkt hamna kitu kbs.Huo ujinga wa-tz hatuutaki tena.Njooni ubaoni tuongee ili twende sawa.Debe tupu nyie.Mumewaajiri wapi mnataka mkopo
Mkopo tutauhutaji kwa awamu iliobaki ndioMumewaajiri wapi mnataka mkopo
So mnaikana Chinese first class sio? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 👆Hakuna kitu km diesel sgr wala electrical sgr..
Sgr ni sgr tu[emoji1787][emoji1787]
Ndio nakurekebisha..So mnaikana Chinese first class sio? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji115]
Haya ndio mahandaki ya double stack sio
Tulia na gari moshi lenu lilotumika wakati wa vita ya pili ya dunia.Haya ndio mahandaki ya double stack sio
Nioneshe nchi yyte duniani yenye bullet train ambayo ni double stack[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90]Haya ndio mahandaki ya double stack sio
Nionyeshe nchi yyte yenye bullet train ambayo inabeba mzigoNioneshe nchi yyte duniani yenye bullet train ambayo ni double stack[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90]
Bwahahaaa!!mumepigwa bana..Tulia na gari moshi lenu lilotumika wakati wa vita ya pili ya dunia.
Double stack ndio umeona kitu cha maana kwa upumbavu uliopo kichwani mwako.
[emoji116][emoji116]Nionyeshe nchi yyte yenye bullet train ambayo inabeba mzigo
Bwahahaaa!!mumepigwa bana..
Serekali imewadangaya vibaya sana
Bwahahaaa!!mumepigwa bana..
Serekali imewadangaya vibaya sana
Bro mbona unajikanganya jamani[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
Imekuingia hyo[emoji23][emoji23]View attachment 1675550
Kitu ilitolewa kwenye makumbusho ikapakwa rangi.
Tulia Tz iwafundishe mlapaswa kuweka nini karne hii
Train yetu itakuwa ina speed Kali na inayoweza kubeba mizigo mzito zaidi ya yenu ina maana trip 10 kwenu ni sawa na trip 2 zetu ss unataka electric train iwe double stack ili ivumbue nn kwa mfano [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]Imekuingia hyo[emoji23][emoji23]
Sgr hilo linabebea double stack, yani juu chini na bado anachanja mbuga kw speed ya 80 hku mgongoni akiwa na vyuma viwili viwili..
Miaka minne kazini na bado hilo beberu hata chafya kazini halijapiga
Kwhyo yale mabehewa ya double stack mlio oder mtayapeleka wapi[emoji23][emoji23][emoji23]Train yetu itakuwa ina speed Kali na inayoweza kubeba mizigo mzito zaidi ya yenu ina maana trip 10 kwenu ni sawa na trip 2 zetu ss unataka electric train iwe double stack ili ivumbue nn kwa mfano [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]