Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

That's a track length i.e. 250km of main line plus 91 km of parallel length! At a cost of $1.3 bln for electrical SGR!

Mind you Nairobi-Naivasha diesel SGR was 120 km and built at a cost of $1.5 bln!
Hakuna kitu km diesel sgr wala electrical sgr..

Sgr ni sgr tu[emoji1787][emoji1787]
 
vipabde vya makutopra-tabora na tabora- mwanza anajenga nani? maana maana juzi tumesign mwanza isaka
 
2663110_JamiiForums-425136919.jpg
Haya ndio mahandaki ya double stack sio
 
Tulia na gari moshi lenu lilotumika wakati wa vita ya pili ya dunia.
Double stack ndio umeona kitu cha maana kwa upumbavu uliopo kichwani mwako.
Bwahahaaa!!mumepigwa bana..
Serekali imewadangaya vibaya sana
 
Bro mbona unajikanganya jamani[emoji23][emoji23]
Hyo ni bullet lkn haina viti km walivyofanya japan wakati wa corona..
Hapo umeona container nyuma zinavutwa, au nyie ile oder yenu ya mabehewa ya mzigo mliachana nayo..

Kweli sasa nimeamini ya kwamba bado hamjui mnataka kitu gani km nchi[emoji23][emoji23]
Jamaa mumesema mumeagiza mabehewa ya double stack huku mturuki kaja kivingine
 
View attachment 1675550
Kitu ilitolewa kwenye makumbusho ikapakwa rangi.
Tulia Tz iwafundishe mlapaswa kuweka nini karne hii
Imekuingia hyo[emoji23][emoji23]
Sgr hilo linabebea double stack, yani juu chini na bado anachanja mbuga kw speed ya 80 hku mgongoni akiwa na vyuma viwili viwili..

Miaka minne kazini na bado hilo beberu hata chafya kazini halijapiga
 
Train yetu itakuwa ina speed Kali na inayoweza kubeba mizigo mzito zaidi ya yenu ina maana trip 10 kwenu ni sawa na trip 2 zetu ss unataka electric train iwe double stack ili ivumbue nn kwa mfano [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
 
Kwhyo yale mabehewa ya double stack mlio oder mtayapeleka wapi[emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli mturuki kiboko, km huna hela ya kujitengezea kitu tulia bana..

Electric trains double stack zitele[emoji23][emoji23]
In africa double utaikuta kenya na sgr dume[emoji23][emoji23]
Kweli ccm kawapumbaza
 
Back
Top Bottom