Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #9,321
Kuwa mpole kaka wabongo kwa picha utajuta, watoto wazuri kama wote bongo aisee.noma noma noma.
Main entrance.....lit 🔥🔥🔥SGR Dar-Morogoro Updates
Halafu hapo Dar SGR Terminal nje watatengeneza vituo vya mabasi ya BRT!Main entrance.....lit 🔥🔥🔥
Noma sana.Halafu hapo Dar SGR Terminal nje watatengeneza vituo vya mabasi ya BRT!
Anasema mtu kutoka tandale[emoji23][emoji23][emoji23]Station yenu iko boring sana the only thing can entertain you ni simu yako [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].
Niko Tandale ila naweza kwenda Kempinski hotel nikala bata na hakuna anayehangaika kujua mimi ni nani..napata treatment kama mteja yeyoye this is bongo jirani sio kama kwenu.Anasema mtu kutoka tandale
Mbona mambo ya kawaida hayo hta wanafunzi wanatoana out hkoNiko Tandale ila naweza kwenda Kempinski hotel nikala bata na hakuna anayehangaika kujua mimi ni nani..napata treatment kama mteja yeyoye this is bongo jirani sio kama kwenu.
Swala la inclusive kwenu ni tatizo. Mnaishi kwa matabaka as if wengine hawadeserve kuenjoy maisha.Huo ni uchoyo wa kishamba sana.Kwa watu wanaoelewa nini maana ya maisha hawana muda wa kulevo watu.Tunawafunza watu kujitambua ili twende sawa that's it.Mbona mambo ya kawaida hayo hta wanafunzi wanatoana out hko
Tatizo hujui unachokiongelea..Swala la inclusive kwenu ni tatizo. Mnaishi kwa matabaka as if wengine hawadeserve kuenjoy maisha.Huo ni uchoyo wa kishamba sana.Kwa watu wanaoelewa nini maana ya maisha hawana muda wa kulevo watu.Tunawafunza watu kujitambua ili twende sawa that's it.
VS
VS
View attachment 1679698
Ushapata kujiuliza mtu mwenye luggage trolley anafungua vp mlango?
Dar SGR Tanzania ime-consider hilo! Angalia huo mlango kuna sensors hapo juu!
Warehouse style! Unapanda floor ya kwanza halafu unashuka kufika platform! then unachukua garimoshi , Victorian style!
I have never seen any warehouse any where in the world even grade one that has an entrance of such style. If Tz has warehouses like those let is knowWarehouse style!
Mbona mlango ufungwe wakati watu wanaingia station?VS
View attachment 1679698
Ushapata kujiuliza mtu mwenye luggage trolley anafungua vp mlango?
Dar SGR Tanzania ime-consider hilo! Angalia huo mlango kuna sensors hapo juu!
Kwahiyo unataka kusema mlango wa Nairobi Terminus upo wazi wakati wote!? Haufunguki na kufunga?Mbona mlango ufungwe wakati watu wanaingia station?
[emoji23][emoji23][emoji23] yetu mmeiita mall yenu warehouse ifike muda mkubaliane tuI have never seen any warehouse any where in the world even grade one that has an entrance of such style. If Tz has warehouses like those let is know
Upo wazi hadi time ya kufunga usiku. we ukiona mlango ufungwe vipi na si ofisi.Kwahiyo unataka kusema mlango wa Nairobi Terminus upo wazi!