Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hii station usiku itakuwa ikivutia sana,dawa yake ni kusafiri usiku ukiwa na kampani moja matata sana tunaanza kulewa Dar, level 8,tunaingia mjengoni tunaendelea kuwaka..tunachukua umeme tukiendelea na shangwe ndani ya umeme wakawaka ikiendelea buffet, dk 90 tuko Moro bata moja ndefu sana alfajiri tunarudi na umeme,majumbani kwetu DSM tunakufa tunafufuka jioni,the rest is history.Popo, party animals.
 
Anasema mtu kutoka tandale
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Niko Tandale ila naweza kwenda Kempinski hotel nikala bata na hakuna anayehangaika kujua mimi ni nani..napata treatment kama mteja yeyoye this is bongo jirani sio kama kwenu.
 
Niko Tandale ila naweza kwenda Kempinski hotel nikala bata na hakuna anayehangaika kujua mimi ni nani..napata treatment kama mteja yeyoye this is bongo jirani sio kama kwenu.
Mbona mambo ya kawaida hayo hta wanafunzi wanatoana out hko
 
Mbona mambo ya kawaida hayo hta wanafunzi wanatoana out hko
Swala la inclusive kwenu ni tatizo. Mnaishi kwa matabaka as if wengine hawadeserve kuenjoy maisha.Huo ni uchoyo wa kishamba sana.Kwa watu wanaoelewa nini maana ya maisha hawana muda wa kulevo watu.Tunawafunza watu kujitambua ili twende sawa that's it.
 
Tatizo hujui unachokiongelea..
 
Kwahiyo unataka kusema mlango wa Nairobi Terminus upo wazi!
Upo wazi hadi time ya kufunga usiku. we ukiona mlango ufungwe vipi na si ofisi.

We fikiria, watu wanapitia wangapi kwa mlango kama huo na baada ya muda upi?

Mlango huo utafungwa na kufunguka mara ngapi ????

maana yake itakuwa ni ipi??
passengers-who-arrived-in-train-launched-to-operate-on-the-standard-gauge-railway-sgr-line-con...jpg
 
Back
Top Bottom