Yaani juzi nilikuwa hapo Dar,hicho kipande cha Buguruni kinakatisha tamaa,ibavyoonekana pale mpaka mwezi wa 5 au 6 hivi.
0-15 km and other unfinished km for freight will take more than 3 months to be completed. nkuruma (gold star) plus ishu za umeme (catenary) zitachukua mda
Diesel na Electric even Hydrogen trains zinapita. Tofauti na SGR ya Kenya, Reli hii ina miundombinu ya umeme ambayo inafacilitate treni za umeme kupita. Hivyo ujenzi wake pia huchukua muda.Mturuki hajengi reli ya umeme anatandaza reli ya kiwango cha kueleweka..
Au unataka kusema hyo reli ya mturuki train za diesel hazipiti
Kuwekeza nguzo za umeme ndio zichukue miaka mitano[emoji1787][emoji1787]Diesel na Electric even Hydrogen trains zinapita. Tofauti na SGR ya Kenya, Reli hii ina miundombinu ya umeme ambayo inafacilitate treni za umeme kupita. Hivyo ujenzi wake pia huchukua muda.
Mturuki Mungu anamuona[emoji1787][emoji1787]Maumivu yakizidi[emoji116]View attachment 1704372
ndiyo maana tumewatema kwenye phase zijazo na wasitegemee kupata dili tena bongo,waache tu watururuki waendelee kujivuta vuta ,wanaweka vifaa vichache site kukwepa wingi wa kuajiri watu hawajui kwamba mwisho wa siku lazima kazi waimalize hii kitu tiyari imewacostni kweli, hata mim nilijua hii kazi haiwezi kumalizika april.. expectation yangu ni wamalize mda wowote lkn december, 2021 treni iwe inatembea
Kuwekeza nguzo za umeme ndio zichukue miaka mitano[emoji1787][emoji1787]
Ni ngumu sana kumuelewesha mtu aliyejitoa ufahamu kutokana na wivu.Kumbuka lazima ujenge miundombinu ya kuuleta huo umeme, na pia lazima kuwepo vituo vya ku boost huo umeme. Na hizo nguzo haziwekwi kabla reli haijatandikwa.
Itakuwa ngumu kuelewa maana huko kwenu hamna vitu kama hivi.
Kwn kutandaza reli na hyo miundombinu ya umeme haiwezi kujengwa pamoja mpka zipishanepishane..kweli mturuki hatariKumbuka lazima ujenge miundombinu ya kuuleta huo umeme, na pia lazima kuwepo vituo vya ku boost huo umeme. Na hizo nguzo haziwekwi kabla reli haijatandikwa.
Itakuwa ngumu kuelewa maana huko kwenu hamna vitu kama hivi.
Eeee!!kujenga reli na miundombinu ya umeme mpka moja ikwame isubirie sio..Ni ngumu sana kumuelewesha mtu aliyejitoa ufahamu kutokana na wivu.
Hapo unatwanga maji kwenye kinu.
Hawezi kukuelewa kamwe.
Mmewahi kujenga electric sgr?Eeee!!kujenga reli na miundombinu ya umeme mpka moja ikwame isubirie sio..
3years ya kutandaza plus 2years ya kujenga miundombinu ya umeme hyo inakuja 5years[emoji2960][emoji2960]
Kweli mturuki kiboko
Electric sgr[emoji2960]Mmewahi kujenga electric sgr?
Yani atakukujib ni karaha ...unazingua snaa...acha kuwashwa wwElectric sgr[emoji2960]
Acha masihara wewe, hakuna kitu km hicho..unataka kusema zile treni wanazo tumia yerpi ndio zile za electric sgr nazo
Huyo ni mzima sema huwa anajitea akili Sana[emoji28][emoji28]Yani atakukujib ni karaha ...unazingua snaa...acha kuwashwa ww
Msaidie mwenzio kutafuta hyo electric sgr mnayojenga bongoYani atakukujib ni karaha ...unazingua snaa...acha kuwashwa ww
Hata tuktuk zao Kenya zitapita humu yaani tunajenga one to fit all!‘diesel’ sgr ya bongo itapita humu[emoji1][emoji1]
sgr ya bongo inawatoa roho wakunyaView attachment 1706096View attachment 1706097View attachment 1706098View attachment 1706099