Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Yaani juzi nilikuwa hapo Dar,hicho kipande cha Buguruni kinakatisha tamaa,ibavyoonekana pale mpaka mwezi wa 5 au 6 hivi.

0-15 km and other unfinished km for freight will take more than 3 months to be completed. nkuruma (gold star) plus ishu za umeme (catenary) zitachukua mda

ni kweli, hata mim nilijua hii kazi haiwezi kumalizika april.. expectation yangu ni wamalize mda wowote lkn december, 2021 treni iwe inatembea
 
Mturuki hajengi reli ya umeme anatandaza reli ya kiwango cha kueleweka..
Au unataka kusema hyo reli ya mturuki train za diesel hazipiti
Diesel na Electric even Hydrogen trains zinapita. Tofauti na SGR ya Kenya, Reli hii ina miundombinu ya umeme ambayo inafacilitate treni za umeme kupita. Hivyo ujenzi wake pia huchukua muda.
 
Diesel na Electric even Hydrogen trains zinapita. Tofauti na SGR ya Kenya, Reli hii ina miundombinu ya umeme ambayo inafacilitate treni za umeme kupita. Hivyo ujenzi wake pia huchukua muda.
Kuwekeza nguzo za umeme ndio zichukue miaka mitano[emoji1787][emoji1787]
 
kuna kitu kimenijia[emoji23][emoji23].. kadiri tunavyochelewa kuanza safar za SGR (Dar-Moro) ndivyo tunazidi kusogelea 2022, mwaka ambao wenzetu watafanya uchaguzi.. nina uhakika treni za SGR zitakaposhushwa, ndipo CV ya uhunye itaharibika na genge lake atakalolisupport kwenye uchaguzi litapata aibu[emoji23][emoji23] ..kwamba uhunye kawaletea gari moshi lakichina badala the modern trains
 
ni kweli, hata mim nilijua hii kazi haiwezi kumalizika april.. expectation yangu ni wamalize mda wowote lkn december, 2021 treni iwe inatembea
ndiyo maana tumewatema kwenye phase zijazo na wasitegemee kupata dili tena bongo,waache tu watururuki waendelee kujivuta vuta ,wanaweka vifaa vichache site kukwepa wingi wa kuajiri watu hawajui kwamba mwisho wa siku lazima kazi waimalize hii kitu tiyari imewacost
 
Kumbuka lazima ujenge miundombinu ya kuuleta huo umeme, na pia lazima kuwepo vituo vya ku boost huo umeme. Na hizo nguzo haziwekwi kabla reli haijatandikwa.

Itakuwa ngumu kuelewa maana huko kwenu hamna vitu kama hivi.
Ni ngumu sana kumuelewesha mtu aliyejitoa ufahamu kutokana na wivu.
Hapo unatwanga maji kwenye kinu.
Hawezi kukuelewa kamwe.
 
Kwn kutandaza reli na hyo miundombinu ya umeme haiwezi kujengwa pamoja mpka zipishanepishane..kweli mturuki hatari
 
Ni ngumu sana kumuelewesha mtu aliyejitoa ufahamu kutokana na wivu.
Hapo unatwanga maji kwenye kinu.
Hawezi kukuelewa kamwe.
Eeee!!kujenga reli na miundombinu ya umeme mpka moja ikwame isubirie sio..
3years ya kutandaza plus 2years ya kujenga miundombinu ya umeme hyo inakuja 5years[emoji2960][emoji2960]
Kweli mturuki kiboko
 
Eeee!!kujenga reli na miundombinu ya umeme mpka moja ikwame isubirie sio..
3years ya kutandaza plus 2years ya kujenga miundombinu ya umeme hyo inakuja 5years[emoji2960][emoji2960]
Kweli mturuki kiboko
Mmewahi kujenga electric sgr?
 
‘diesel’ sgr ya bongo itapita humu[emoji1][emoji1]
sgr ya bongo inawatoa roho wakunya
IMG_1613719091.552081.jpg
IMG_1613719104.247344.jpg
IMG_1613719116.790218.jpg
IMG_1613719133.050586.jpg
 
Back
Top Bottom