Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Eti nini[emoji1787][emoji1787]umeshtuka kuona mafuta x2 mzigo x4..pole sana baba

What are some differences between a diesel-electric and an electric locomotive?






 
Yani nyoka kawakosha nyoyo zenu kabisa lkn hisia za kijinga tu ndio mnaleta hapa
yaani nina uhakika kama locomotives za TAZARA zingekuwa na rangi ya mtambo ya chang'aa wa SGR Kunyaland, mjadala ungechukua mrengo mwingine! Ungesema hiyo ni SGR Kunyaland na hapo ni Kunyaland!! Unabisha? Kitu cha 1970s kinahamsha hari za Wakunya kujidai! IRMAO 🤣 🤣 🤷‍♂️ 🤭
 
Atakaelipa hyo gharama nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona unakwepa mzee
Kwn kila mtu ndio anapitia Ruvu
Mbona hutumii akili wewe kwani ukichukua mzigo wako port kwenda Rwanda Burundi au Zambia si unalipa freight cost kwa kilometers. Na barabara zote zinapita Ruvu. Let me explain it to you on simple terms Dar port to Lumbumbashi 2100km let's say cost per km ni USD 2 hivyo total cost will be usd 4200. Now if you pick up cargo from Ruvu the distance to Lumbumbashi will be 2040 hence × 2 usd per km total will be 4080 plus add the cost on SGR which is way cheaper than road transport on those 60km between Dar and Ruvu. Embu nyambulisha mahesabu hapo mwenyewe nione kama una akili.
 
KAMA sio[emoji1787][emoji1787]
Mzee tafuta sehemu ukatue
 
Wewe sasa unaleta habari za alinasi, nimekuuliza swali moja tu..kwan ni kila mtu atapitia Ruvu, we ulipaswa kujibu ndio au la!!hayo maneno yote ya nn..
Mzigo wa dar nao utachukuliwa Ruvu[emoji1787][emoji1787]
Posta mpka Ruvu ni 106KM yani mzigo wa temeke uulipie upelekwe ruvu alafu ukaufuate tena na truck uurudishe..

Au ilikua unamaanishaje uliposema lorries zitachukulia mizigo ruvu, yani serekali inatafuta pesa kw lazima vile ile kulipa yale madeni ya siri mliyochukua
 
ndo maana yake!! Halina ubishi hili! Au tuweke poll kabisa? Halafu zote ni joint welded!
 
Acha ushamba umeona imetajwa mizigo ya Temeke au mbagala hapo? Hukuona nchi nilizotaja au kujitoa ufahamu tuu mizigo yote ya Transit pick up location yake ni Ruvu ICD. And yes most cargo to the hinterlands if not all past via Ruvu.
 
Acha ushamba umeona imetajwa mizigo ya Temeke au mbagala hapo? Hukuona nchi nilizotaja au kujitoa ufahamu tuu mizigo yote ya Transit pick up location yake ni Ruvu ICD. And yes most cargo to the hinterlands if not all past via Ruvu.
nimekuambia mizigo ya nje ya Dar region!
 
Umenipigia story ndefu ambayo sina mda wa kuijibu yote leo kwahivyo ntakujibu tu hio aya ya Kwanza manake hapo bado nachanganyikiwa. Kwahivyo Kwala Dry port ndo ya Kwanza alafu Ruvu marshaling yard iko mbele yake?
Kwahivyo kwa kifupi vile Mimi naelewa ni Kwala ni kama extension ya Dar port kwasababu Dar port hakuna nafasi ndo wakaamua wajenge dry port ambapo huko ndo shughuli za kushuhulikia mizigo ya wateja wa mbali zitafanyika.

Manake vile nijuavyo Mimi Marshaling Yard ndo hua ni ya Kwanza alafu dry port inapatikana bara karibu na kule mizigo inaenda. Sasa nilikua nashangaa inakuaje mko na dry port karibu na port ya Dar (ambayo inafanya kazi sawa na dry port) alafu marshaling yard iko mbele ya dry port.
FYI marshaling yard ndo mizigo inakua sorted , pale ndo boggy za reli hugawanywa na kuzungushwa kwa yard zikipakiwa mizigo tofauti kulingana na wapi inaenda (sorting) alafu hizo boggy zikijazwa zote ndo zinaunganishwa ndo inakua moja kisha zinaunganishwa na kichwa Cha treni na kusafirishwa bara, zikifika huko bara ndo zinapelekwa kwa dry port hapo ndo zinashukishwa ili zije kuchukuliwa na wateja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…