Ile gari moshi yao continuous welded rail wataisikia tuu kwenye bomba. Gari moshi hata glass haikai vizuri kwenye meza lazima ianguke plus kelele kibao.MGR Dar-Isaka train inakimbia 70-80 km/h baada ya ovehaul and continuous welding!
Mzigo utapelekwa ruvu kw gharama ya nani[emoji1787][emoji1787]Hehehehee ulivyompumbavu uliza kwanza ujue hiyo ruvu iko wapi asilimia kubwa ya mizigo inayobebwa na lorries ikitoka Dar port inapita hapo ruvu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kupeleka ruvu kwa train na kupeleka kwa gari bora ipi? Plus foleni za magari ambazo zinapoteza karibu nusu siku bora nini wewe mbunye.Mzigo utapelekwa ruvu kw gharama ya nani[emoji1787][emoji1787]
Hii ndo mfumo unaoitwa "double-heading" ni mfumo unaotumika kote duniani kwa treni za kubeba mizigo...Mtambo wa gongo ukivutwa na vichwa viwili yaani engine mbili hapo mafuta ni X2!
Tazara reli ya 5m tonnes , wakati tulikua tunatumia mgr btn msa-nai ilikua tunabeba mizigo mingi kuliko tazaraSize ya TAZARA 👇
Kenyan SGR should be compared to Tazara because both are Chinese built, same types of locomotive technology and rolling stocks, same style of chinese stations, same source of energy and same speed. Tz SGR is way above Kenyan sgr in specs quality and standards
The best 007 wewe ndio ulifungua kinywa chako na kusema kwamba hakuna kitu ambacho kiko Kenya ambacho hakiko Tanzania?
Hili dude mnalo?
New Kipevu oil terminal. First marine loading arm installed.
View attachment 1862204
Robotic arm ya kunyonya mafuta kutoka kwa meli.
Kwani mzigo ulipoingia port uliingia port gani? Kama uliingia port ya Dsm mwenye mzigo atalipia from DSM portMzigo utapelekwa ruvu kw gharama ya nani[emoji1787][emoji1787]
Sasa unakuja na matusi na haujui unachosema, kero tupu kujadili na Watz.Umetoa wapi huu upumbavu jua maana ya marshalling yard kwanza! U do shunting after loading the wagons! Therefore the position is not that important, mind u if the train goes to the coast the role is vice versa!
Blah blah tuu hizo ukweli unaumaTazara reli ya 5m tonnes , wakati tulikua tunatumia mgr btn msa-nai ilikua tunabeba mizigo mingi kuliko tazara
The locomotives are different , your stations look like somewhere in China, ours don't. The speed of Tazara is 45km/hr at best.
Tazara can hardly carry 5m tonnes a year, Kenya SGR is designed for 22m tonnes! Even your electric SGR cannot match up to this!
Unaturingishia primitive methods [emoji23][emoji23][emoji23] ushawahi kuona wapi watu wanatumia kitu kama hiko kupakuwa mafuta? Hiko kinawekwa ku troubleshoot tatizo tu. Sio njia effective na efficient .The best 007 wewe ndio ulifungua kinywa chako na kusema kwamba hakuna kitu ambacho kiko Kenya ambacho hakiko Tanzania?
Hili dude mnalo?
New Kipevu oil terminal. First marine loading arm installed.
View attachment 1862204
Robotic arm ya kunyonya mafuta kutoka kwa meli.
Sisi tunatumia robotic arm. Hii yenu ni ya kishamba tu
Kama hujui kitu ni vizuri kufunga mdomo ili usijiaibishe mbele ya watu.Unaturingishia primitive methods [emoji23][emoji23][emoji23] ushawahi kuona wapi watu wanatumia kitu kama hiko kupakuwa mafuta? Hiko kinawekwa ku troubleshoot tatizo tu. Sio njia effective na efficient .
WaTz tushawazoea hua mkianza kutajiwa takwimu hua hamuonani, Sasa unataka eti tukubali reli ya designed carrying capacity ya 5m tonnes na ya 22m tonnes ni sawa eti kwasababu zilijengwa na mtu mmoja. NktBlah blah tuu hizo ukweli unauma
Mmebakiwa na takwimu kwa ground ni sifuri,bure kbs.WaTz tushawazoea hua mkianza kutajiwa takwimu hua hamuonani, Sasa unataka eti tukubali reli ya designed carrying capacity ya 5m tonnes na ya 22m tonnes ni sawa eti kwasababu zilijengwa na mtu mmoja. Nkt
Hii model ni huko Kunyaland! TPA wana model tofauti na cargo ya kuja coastal toka hinterlands si lazima iwe tu ya overseas! Kuna nyingine destination Pwani, Morogoro na hata Dar yenyewe!Sasa unakuja na matusi na haujui unachosema, kero tupu kujadili na Watz.
Why do you think they do shunting in the first place? Just for fun? Mbona wasiunganishe treni nzima na wapakie mizigo mwanzo hadi mwisho?
Process ya shunting ni treni inagawanywa na Kila moja kupelekea sehemu tofauti pale kwa container yard, pale ndo inabidi Kila wagon inasukumaa kivyake hadi pale container inayofaa kubebwa ipo... Hivyo ndo sorting inafanywa kabisa manake Kila wagon inabeba mizigo inaoyenda mahali pamoja alafu baadae zikiunganishwa inakua complete train yenye mizigo inayoenda pamoja ,. So marshaling yard comes first before dry port....
Na kama mizigo inatoka upcountry, sorting inafanywa pale kwa dry port which sometimes doubles as a marshaling yard.... Ikija pwani haishukishwi kwa marshaling yard ya pwani, inapelekwa direct kwa port kwasababu ilishakua sorted huko upcountry.
gharama kwani unafikiri electrical SGR Tanzania ni reli ya mchina ya kulipa mkopo kama diesel SGR Kunyaland?Mzigo utapelekwa ruvu kw gharama ya nani[emoji1787][emoji1787]
TRC wanaoperate block trains kitambo sana masuala ya shunting yapo kwa kiasi kidogo sana.Sasa unakuja na matusi na haujui unachosema, kero tupu kujadili na Watz.
Why do you think they do shunting in the first place? Just for fun? Mbona wasiunganishe treni nzima na wapakie mizigo mwanzo hadi mwisho?
Process ya shunting ni treni inagawanywa na Kila moja kupelekea sehemu tofauti pale kwa container yard, pale ndo inabidi Kila wagon inasukumaa kivyake hadi pale container inayofaa kubebwa ipo... Hivyo ndo sorting inafanywa kabisa manake Kila wagon inabeba mizigo inaoyenda mahali pamoja alafu baadae zikiunganishwa inakua complete train yenye mizigo inayoenda pamoja ,. So marshaling yard comes first before dry port....
Na kama mizigo inatoka upcountry, sorting inafanywa pale kwa dry port which sometimes doubles as a marshaling yard.... Ikija pwani haishukishwi kwa marshaling yard ya pwani, inapelekwa direct kwa port kwasababu ilishakua sorted huko upcountry.
CongraMGR Dar-Isaka train inakimbia 70-80 km/h baada ya ovehaul and continuous welding!
Mbona huwa mnapenda kujidanganya?🤣😂🤣Acha kujiaibisha Tazara design speed yake ni 120kph na locomotives zake zinaenda mpaka 120kph acha kuwa mvivu wa kutafuta knowledge Kenya sgr mmepigwa Kubali tuu
Tafuta taarifa upate elimu acha kuwa mbishi wa kilakitu. Wakenya wengi hata wakipewa fact hawakubali watabisha tuu ndio asili yao.Congra
Mbona huwa mnapenda kujidanganya?[emoji1787][emoji23][emoji1787]