Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #12,121
Pia jinsi ile structure ilivyokaa naona hata baada ya underpass ya Bakhresa kutawekwa MSE retaining wall!Hizo Mechanically Stabilized Earth (MSE) retaining walls zipo pale Tazara kwa Bakhressa.
Swafii hapa patapendeza usiku balaa pakikamilika
Fidia inaanza wameshapiga alama za kubomoa pale njia panda ya segerea kutoka majumba 6Wanachosubiri ni watu kulipwa fidia kazi ianze!!
vp kuanzia Bakhresa ile underpass itaunganishwa vp na rail naona kama MSE retention wall inafuatia maana subblast inayewekwa pale inakaa kama ya kabla ya underpass!
Pananikumbusha lile jina la 'Lango la Jiji' kwa wale tulolkula chumvi kiasi...Swafii hapa patapendeza usiku balaa pakikamilika
Kama huna hoja jifundishe kupita kimya kimya si kutoa comment ambazo hazieleweki. Ama unafikiria tuko na uwezo wpa kusoma mawazo yako bila we kuyaandika sio?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji36]very predictable[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] thats why your fool....
Kule ni gongo la mboto...sio bananahata baada ya Bakhresa angalia video karibu na Pugu mitaa ya Banana!
Kama megundua saivi nguzo zimekuwa ndefuu zaidi
Pananikumbusha lile jina la 'Lango la Jiji' kwa wale tulolkula chumvi kiasi...
Hili daraja la juu linaenda kuwa city/national monument kama Brandenburg gate vile au Liberty statue!Pananikumbusha lile jina la 'Lango la Jiji' kwa wale tulolkula chumvi kiasi...
Jiji ndio lilikuwa linaanzia hapoAaha ndio mlikua mna refer nn "lango la jiji" kiongozi
Mitaa ya Migomigo Mikumi ndio original Lango la Jiji, yaani enzi hizo, ukifika maeneo yale ndio kama unaingia rasmi jijini π ..Aaha ndio mlikua mna refer nn "lango la jiji" kiongozi
Lango la Jiji linaenda kuwa Mloganzila....pale kwenye interchange!! subiri Highway ianze kutumika rasmi..ππMitaa ya Migomigo Mikumi ndio original Lango la Jiji, yaani enzi hizo, ukifika maeneo yale ndio kama unaingia rasmi jijini π ..
lazma ziwe ndefu for the stability of the whole structure maana hizo nguzo zinaendana na urefu wa daraja na zitapachikwa cables zitakazoshikilia steel structure ambayo itabeba concrete na kupitisha treni!Kama megundua saivi nguzo zimekuwa ndefuu zaidi