Watahitaji kama watakuwa wanakuja Dar kwa biashara bandarini ama isaka kwenye bandari kavuYani nchi zao sio kubwa kivile kutoka kigali mpk rusumo ni 100km.
Kutoka kigali mpk gisenyi mpk wa congo ni 100km , kwa makadilio sasa vipi kuna uhitaji wa treni za ability kweli hapo distance ndogo kabisa hizo,
Hiyo route ndefu sana it will not make commercial sense.mkuu! ondoa shaka kuhusu hilo! cheki hapa route watakayotumia Burundi... strategic points only... iwe cargo au passengers,,, wako sorted 👇
View attachment 3000594
ameuliza kuhusu 'abiria'. safari ita-make sense since utakua macho all the time yaani ni city after city after city..... very interesting.Hiyo route ndefu sana it will not make commercial sense.
hebu cheki pale alipo Zambia 👇Hiyo route ndefu sana it will not make commercial sense.
yeah. Mturuki alishindwa na kazi, akabwaga majembeLabda baada ya miaka ishirini ijayo. Sasa hivi hiyo ni ndoto tu😎
Unateseka ukiwa wapi?yeah. Mturuki alishindwa na kazi, akabwaga majembe
View attachment 3000852
Abiria hakuna faida ni service tuu mzigo kwa serikali.ameuliza kuhusu 'abiria'. safari ita-make sense since utakua macho all the time yaani ni city after city after city..... very interesting.
the Tanzania route will be boring coz ni pori tupu hadi ufike Dar. very boring indeed!! nothing fascinating
Says who? Watu ambao hawajawahi hata kushika nyadhifa zozote na wala hawana inside story yoyote ndio umaowaamini?hebu cheki pale alipo Zambia 👇
View attachment 3000842
turudi kwenye historia 👇
View attachment 3000844
View attachment 3000845
View attachment 3000846
#iykyk 😂😂
mambo imechemka!!!Kwahiyo kila MTU twitter ni mfanyakazi wa SGR slot flani??
Bado tu unatafuta kwa tochi vijihabari visivyo na mbele wala nyuma alimradi ufurahishe nafsi yako? Ha ha ha😎😎mambo imechemka!!!
Tanzania’s SGR completion concerns rise amid broken promises
As Tanzania's ambitious Standard Gauge Railway (SGR) project inches towards completion, a cloud of uncertainty looms over its progress.www.thecitizen.co.tz
gazeti la The Citizen. habari napata kwenye news feedBado tu unatafuta kwa tochi vijihabari visivyo na mbele wala nyuma alimradi ufurahishe nafsi yako? Ha ha ha😎😎
Huwa unanichekesha sana wewe nyang’au wa bongo😎😃😎gazeti la The Citizen. habari napata kwenye news feed