Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Yani nchi zao sio kubwa kivile kutoka kigali mpk rusumo ni 100km.
Kutoka kigali mpk gisenyi mpk wa congo ni 100km , kwa makadilio sasa vipi kuna uhitaji wa treni za ability kweli hapo distance ndogo kabisa hizo,
Watahitaji kama watakuwa wanakuja Dar kwa biashara bandarini ama isaka kwenye bandari kavu
 
Hiyo route ndefu sana it will not make commercial sense.
ameuliza kuhusu 'abiria'. safari ita-make sense since utakua macho all the time yaani ni city after city after city..... very interesting.
the Tanzania route will be boring coz ni pori tupu hadi ufike Dar. very boring indeed!! nothing fascinating
 
Hiyo route ndefu sana it will not make commercial sense.
hebu cheki pale alipo Zambia 👇
Map-of-Africa-highlighting-countries.jpg

turudi kwenye historia 👇
IMG_20240511_185357.jpg

IMG_20240509_124938.jpg

IMG_20240509_125141.jpg

#iykyk 😂😂
 
ameuliza kuhusu 'abiria'. safari ita-make sense since utakua macho all the time yaani ni city after city after city..... very interesting.
the Tanzania route will be boring coz ni pori tupu hadi ufike Dar. very boring indeed!! nothing fascinating
Abiria hakuna faida ni service tuu mzigo kwa serikali.
 
kutoka September last year wanaonekana kuamka asubuhi na kuelekea kazini kumbe wanaenda kuzuga tu 🤣🤣🤣🤣🤣
alafu ukiwasikia hapa ati "mambo ni 🔥 🔥 🔥" shenzi sana hawa watu.
IMG_20240527_212608.jpg

Back
Top Bottom