Watahitaji kama watakuwa wanakuja Dar kwa biashara bandarini ama isaka kwenye bandari kavuYani nchi zao sio kubwa kivile kutoka kigali mpk rusumo ni 100km.
Kutoka kigali mpk gisenyi mpk wa congo ni 100km , kwa makadilio sasa vipi kuna uhitaji wa treni za ability kweli hapo distance ndogo kabisa hizo,