Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

πŸ‘πŸ½
 
Hili ni la kweli,tutamkumbuka sana JPM.
nawashangaa sana wadau humu ndani aisee. mara sijui ubwala ubwele sijui ndio kituko gani, mwingine jana amepost bulb lights za stesheni ya Sgr akaimiminia misifa kama zote na kusema hakuna kama hizo Africa nzima. mwingine analilia AC ndani ya treni lakini kwa lile joto lililopo Dar, ikabidi nimuelewe tu. watu ni ma dunderheads sana. Nothern Tanzania yote sasa ni himaya ya mwarabu, usishangae siku moja uko zako matembezini ukakutana na text kama hii πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…