Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

😁😁😁
IMG_20240729_213344.jpg
 
Kila mtanzania akichangia elfu 2 tu tutapata pesa ya kutosha kuendeshea na kununulia mashine za kisasa kuweza kuendesha bandari yetu badala ya kuwauzia warabu milele.

Watanzania walioaminishwa na Hayati Magufuli kwamba wanaweza na nchi yao ni tajiri na wakaanza kujenga miradi ya matrillioni ya fedha kama ndege, SGR, bwawa la umeme, kuhamia Dodoma, elimu bure, madaraja marefu Afrika mashariki na ya kati etc, ghafla sasa upepo umebadilika viongozi wote wanahubiri watanzania hawawezi na hawajiwezi kwa lolote kabisa! Bunge linasema kila kitu kipitishwe kwa sababu watanzania hawana uwezo wa kifedha wala akili ya kuendeleza miradi mikubwa kama ya bandari. Wapo pia wanasema hata taasisi za bunge na urais nazo zibinafisishwe ili ziweze kutoa matokeo chanya na ya haraka kwa wananchi.
👍🏽
 
Hili ni la kweli,tutamkumbuka sana JPM.
nawashangaa sana wadau humu ndani aisee. mara sijui ubwala ubwele sijui ndio kituko gani, mwingine jana amepost bulb lights za stesheni ya Sgr akaimiminia misifa kama zote na kusema hakuna kama hizo Africa nzima. mwingine analilia AC ndani ya treni lakini kwa lile joto lililopo Dar, ikabidi nimuelewe tu. watu ni ma dunderheads sana. Nothern Tanzania yote sasa ni himaya ya mwarabu, usishangae siku moja uko zako matembezini ukakutana na text kama hii 👇
IMG_20240729_232130.jpg
 
Back
Top Bottom