Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ilikua safari ya kwenda tu.kumbe free rides.... kuenda na kurudi! 🤭
View attachment 3056290
Hili ni la kweli,tutamkumbuka sana JPM.
sio mm nilosema 👇Hiyo ilikua safari ya kwenda tu.
Ila ya kurudi na zilizofuata zote zimelipwa na wasafiri wenyewe.
Basi itakua ni safari za ufunguzi tu.sio mm nilosema 👇
View attachment 3056437
![]()
Over 900 enjoy free rides as Tanzania conducts test run of SGR service between Dar, Dodoma
Tanzania on Thursday, July 25, gave a test run of the standard gauge railway (SGR) service between the port city of Dar es Salaam and the national capital of Dodoma, with more than...www.newtimes.co.rw
Hiyo ni first day na trip moja go n return! The government paid!Basi itakua ni safari za ufunguzi tu.
Ila baada ya hapo ni wenyewe raia wanalipa nauli zao.
sasa ngoja Trc wauskilize mziki 😂😂Basi itakua ni safari za ufunguzi tu.
Ila baada ya hapo ni wenyewe raia wanalipa nauli zao.
👍🏽Kila mtanzania akichangia elfu 2 tu tutapata pesa ya kutosha kuendeshea na kununulia mashine za kisasa kuweza kuendesha bandari yetu badala ya kuwauzia warabu milele.
Watanzania walioaminishwa na Hayati Magufuli kwamba wanaweza na nchi yao ni tajiri na wakaanza kujenga miradi ya matrillioni ya fedha kama ndege, SGR, bwawa la umeme, kuhamia Dodoma, elimu bure, madaraja marefu Afrika mashariki na ya kati etc, ghafla sasa upepo umebadilika viongozi wote wanahubiri watanzania hawawezi na hawajiwezi kwa lolote kabisa! Bunge linasema kila kitu kipitishwe kwa sababu watanzania hawana uwezo wa kifedha wala akili ya kuendeleza miradi mikubwa kama ya bandari. Wapo pia wanasema hata taasisi za bunge na urais nazo zibinafisishwe ili ziweze kutoa matokeo chanya na ya haraka kwa wananchi.
nawashangaa sana wadau humu ndani aisee. mara sijui ubwala ubwele sijui ndio kituko gani, mwingine jana amepost bulb lights za stesheni ya Sgr akaimiminia misifa kama zote na kusema hakuna kama hizo Africa nzima. mwingine analilia AC ndani ya treni lakini kwa lile joto lililopo Dar, ikabidi nimuelewe tu. watu ni ma dunderheads sana. Nothern Tanzania yote sasa ni himaya ya mwarabu, usishangae siku moja uko zako matembezini ukakutana na text kama hii 👇Hili ni la kweli,tutamkumbuka sana JPM.
Punguza upumbavu wako.View attachment 3056404
here we go 🚶🚶🚶
View attachment 3056405
moments later 😁😁😁👇
View attachment 3056406
aisee... huyu Mzanzibari siyo mtu! nchi inaelekea kuuzwa.
mea akiliPunguza upumbavu wako.
Ruto amesema nyang'au sasa wanaweza kubadilisha passport kwa siku saba. Ikiwezekana kabadilishe upate mpya, ha ha ha😎mea akili
Acha upumbavu wewe kujenga ndo kuuzwa? Mbona egypt wamejenga Julius Nyerere kwa hela zetu na hiyo gati tumeshatenga hela kwenye budget pamoja na gati za bagamoyo.View attachment 3056404
here we go 🚶🚶🚶
View attachment 3056405
moments later 😁😁😁👇
View attachment 3056406
aisee... huyu Mzanzibari siyo mtu! nchi inaelekea kuuzwa.
Ruto anajua kuwapumbaza hawa nyangau hivyo ndio vitu vya muhimu kwao wakimbia nchi hao😁Ruto amesema nyang'au sasa wanaweza kubadilisha passport kwa siku saba. Ikiwezekana kabadilishe upate mpya, ha ha ha😎