Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kwahiyo hii comparison ni Tanzania vs Indonesia sio Kenya tena au ndio mmeomba msaada Indonesia 🀣🀣🀣🀣
 
Nachofaham ni kuwa tren inayopita kwenye MGR haiwez kupita kwenye SGR sababu miundombinu ya hizo train ni mahsusi kwa aina ya reli flani
 
Nachofaham ni kuwa tren inayopita kwenye MGR haiwez kupita kwenye SGR sababu miundombinu ya hizo train ni mahsusi kwa aina ya reli flani
Inaweza ikapita kama configuration ya wheels itaruhusu kuna treni zina dual wheels inatumia gauge zaidi ya moja.
 
Kwahiyo hii comparison ni Tanzania vs Indonesia sio Kenya tena au ndio mmeomba msaada Indonesia 🀣🀣🀣🀣
Hajielewi huyo anachanganya mambo.
Haelewi kama kuna ufanisi wa chombo na ufanisi wa reli kuruhusu chombo kifanye kazi.
Halafu anatudanganya eti mgr ilivyorekebishwa speed mwisho 70kph.
Ilhali ile ina uwezo wa kuruhusu mwendo hadi 110kph.
Kachukua ufanisi wa reli akaufananisha na ufanisi wa engine.
 
SGR Mombasa-Kisumu imeishia Naivasha sembuse Lamu-Gabon? Be realistic SGR Dar-Gitega-Kindu itafika DRC kabla ya hata hiyo ya SGR Mombasa-Naivasha haijafika Kisumu!
Hapo Hela ambayo Bado kutoka ni ya uvinza mpka Gitega huku wenzetu ndo kwanza wanatafuta mdhamini wa kutoka Naivasha mpaka Malaba
 
Nimemwambia aniletee kithibitisho kokote kule duniani kuwa MGR locomotive inavuta mizigo kwa speed ya 120km/h tena kwa mabehewa 100. Nimemuwekea video hapo locomotive wanavyosema hivyo vya TRC tena wamenunua kutoka Malaysia ni aina ya H10. Video inaonyesha inavuta mabehewa 41 na wamefunga locomotive 2 na vyote vinasaidiana kusukuma na sio locomotive moja. Na hio utasema uchakavu wa reli?
Kashindwa mpk sasa kuleta ushahidi kokote kule duniani kuwa MGR inavuta mazigo wa bahewa 100 kwa speed ya 120km/h.
Na ndio mabishano yetu hayo.
 
Mkenya amekubali yaishe
 

Attachments

  • 88B81D12-4AF0-4B4D-A7D5-8B60B7102B88.jpeg
    1.3 MB · Views: 5
Ndo yale yale SGR treni ina battery , watu wameumbuka kule.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…