Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Yani wewe ndo umedanganya.
Yani ni ulivyosema ni sawa na
Tanzania tuna SGR ya design speed 160km/h.
Afu tulete train ya Kichina inayoitwa "CR400AF" ambayo ipo indoneshia inajulikana kwa jina la "Whoosh" high speed train iliyotengenezwa na
"CRRC Qingdao Sifang Co., Ltd. Kutoka Shandong province" ambayo inatembea speed ya 450km/h.
View attachment 3083094
Hafu hio treni tuilete hapa TZ kwenye SGR yetu , kisha useme treni yetu inatembea kwa speed 450km/h.
Afu ujitete kwa kusema treni inaspeed hio ila reli yetu ya SGR design yake inakubali 160km/h.

Afu kwa hakina Meter gauge railway tena kwa treni ya mizigo iende ya speed ya 120km/h hii ni ngumu kwa hakika. Tena hata ikirekebishwa hii ikaweka mpya. Tena ipitishwe humo humo Tena, mmmm ni ngumu kwenda speed ya 120km/h Tena ya mizigo. Sasa kama behewa 41 zinasaidiana na vichwa kingine.
Kwahiyo hii comparison ni Tanzania vs Indonesia sio Kenya tena au ndio mmeomba msaada Indonesia 🤣🤣🤣🤣
 
Mimi nadhan hujamwelewa , anachomaanisha ni kuwa engine za trc zinauwezo wa kutembea spidi ya mpaka 140km/hr ila kutokana reli ya mgr kutokuwa na uwezo wa kuhimili hiyo speed haziwezi kutembea kwa hiyo speed maana reli inahimili speed ya 70km/hr ila ukikichukua kichwa kama hicho ukakipeleka kwenye reli inayohimili speed hiyo kitatembea tu
Nachofaham ni kuwa tren inayopita kwenye MGR haiwez kupita kwenye SGR sababu miundombinu ya hizo train ni mahsusi kwa aina ya reli flani
 
Nachofaham ni kuwa tren inayopita kwenye MGR haiwez kupita kwenye SGR sababu miundombinu ya hizo train ni mahsusi kwa aina ya reli flani
Inaweza ikapita kama configuration ya wheels itaruhusu kuna treni zina dual wheels inatumia gauge zaidi ya moja.
 
Kwahiyo hii comparison ni Tanzania vs Indonesia sio Kenya tena au ndio mmeomba msaada Indonesia 🤣🤣🤣🤣
Hajielewi huyo anachanganya mambo.
Haelewi kama kuna ufanisi wa chombo na ufanisi wa reli kuruhusu chombo kifanye kazi.
Halafu anatudanganya eti mgr ilivyorekebishwa speed mwisho 70kph.
Ilhali ile ina uwezo wa kuruhusu mwendo hadi 110kph.
Kachukua ufanisi wa reli akaufananisha na ufanisi wa engine.
 
SGR Mombasa-Kisumu imeishia Naivasha sembuse Lamu-Gabon? Be realistic SGR Dar-Gitega-Kindu itafika DRC kabla ya hata hiyo ya SGR Mombasa-Naivasha haijafika Kisumu!
Hapo Hela ambayo Bado kutoka ni ya uvinza mpka Gitega huku wenzetu ndo kwanza wanatafuta mdhamini wa kutoka Naivasha mpaka Malaba
 
Mimi nadhan hujamwelewa , anachomaanisha ni kuwa engine za trc zinauwezo wa kutembea spidi ya mpaka 140km/hr ila kutokana reli ya mgr kutokuwa na uwezo wa kuhimili hiyo speed haziwezi kutembea kwa hiyo speed maana reli inahimili speed ya 70km/hr ila ukikichukua kichwa kama hicho ukakipeleka kwenye reli inayohimili speed hiyo kitatembea tu
Nimemwambia aniletee kithibitisho kokote kule duniani kuwa MGR locomotive inavuta mizigo kwa speed ya 120km/h tena kwa mabehewa 100. Nimemuwekea video hapo locomotive wanavyosema hivyo vya TRC tena wamenunua kutoka Malaysia ni aina ya H10. Video inaonyesha inavuta mabehewa 41 na wamefunga locomotive 2 na vyote vinasaidiana kusukuma na sio locomotive moja. Na hio utasema uchakavu wa reli?
Kashindwa mpk sasa kuleta ushahidi kokote kule duniani kuwa MGR inavuta mazigo wa bahewa 100 kwa speed ya 120km/h.
Na ndio mabishano yetu hayo.
 
Mkenya amekubali yaishe
 
Attachments

  • 88B81D12-4AF0-4B4D-A7D5-8B60B7102B88.jpeg
    88B81D12-4AF0-4B4D-A7D5-8B60B7102B88.jpeg
    1.3 MB · Views: 5
Back
Top Bottom