πππNikionyesha Wakunya walikuwa wa kwanza kufanya Benchmarking SGR TZ utajibu nn?
Aawapi mlikuja SGR Tanzania kabla ya sisi kuja huko kwenu!πππ
View attachment 3156794
kuja kuangalia something that was non-existing... lete hapa evidence.Aawapi mlikuja SGR Tanzania kabla ya sisi kuja huko kwenu!
Waambie waboreshe na maslahi ya wafanyakazi wao.. sio wafanyakaz wanaishi kama vibarua wa viwandani wakati nje wanajionyesha wanapata faida na kuwatunuku hadi wasanii pesa za kijinga jinga
fafanua mkuu πππWaambie waboreshe na maslahi ya wafanyakazi wao.. sio wafanyakaz wanaishi kama vibarua wa viwandani wakati nje wanajionyesha wanapata faida na kuwatunuku hadi wasanii pesa za kijinga jinga
Mambo ni mengi kwenye hilo shirika mkuu.. wafanyakazi wao tuko nao mtaani uku kila siku wanalalamika tu kuhusu hilo shirika kuanzia mishahara ilivyo midogo mpaka malipo ya mengine ya maslahi ya wafanyakaz..fafanua mkuu πππ
ila nimekwazika sana na hii aya...Sasa njoo kwa wastaafu ndio kabisa huwa hawachukui time baada kustaafu.. Yan shirika halina hata kiinua mgongo cha wafanyakazi wanapostaafu..
what's the problem?kisha wako serious wanakata utepe kabisa π€£π€£π€£.
View attachment 3157195
enyewe,, to each, their own!
Hujakosea kabisa ni kweli reli ya sasa wafanyakazi wake wana hali ngumu sana.Mambo ni mengi kwenye hilo shirika mkuu.. wafanyakazi wao tuko nao mtaani uku kila siku wanalalamika tu kuhusu hilo shirika kuanzia mishahara ilivyo midogo mpaka malipo ya mengine ya maslahi ya wafanyakaz..
Sasa njoo kwa wastaafu ndio kabisa huwa hawachukui time baada kustaafu.. Yan shirika halina hata kiinua mgongo cha wafanyakazi wanapostaafu..
Sasa huwa nashangaa linavyojifunua kwamba lina mapato wakati wafanyakazi wao wanapigika uku mtaan kama wanafanya kazi kibaruani
keshachukua nini?? ππNyimbo zitasaidia nini wakati Adani keshachukua?