Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #19,021
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mkuu kwa mwendo huo hata hao wafanyakazi wao watakua na morali kweli au ndio Punda afe mzigo ufike.Hujakosea kabisa ni kweli reli ya sasa wafanyakazi wake wana hali ngumu sana.
Na hili alilisababisha Mkapa tangu abinafsishe hili shirika.
Kipindi cha Magufuli hali ilianza kurudi sawa ila sasa hivi kunatibuka tena.
Nina ndugu wanaohudumu reli na mzee wangu amestaafia hapo relini miaka kama miwili au mitatu iliyopita.
Ila inasemekana wasimamizi mathalan mameneja,wakurugenzi ndio wanawabana sana wafanyakazi na kuwanyonya sana.